Mwenye mji wake anapochomekewa......

Mwenye mji wake anapochomekewa......

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,207
Reaction score
15,896
551101a08383e4739ffadc5694216467.jpg
huyu jamaa kama angepewa uwaziri sijui ingekuwaje.
 
Huyu dawa yake kuonesha hautishiki anakuweka hizo saa 48 usimjibu kitu unakauka tu
 
Sijui ushamba,maana kwa jiji kama dar kuchomekeana jambo la kawaida sana mtu asikukwaruze tu..sasa huyu kachomekewa dereva anashuka yeye kufanya nini?hapo inawezekana anamwambia unanijua mimi wewe,nitakupotezaa!!
 
alikuwa anaulizia walimu waliolipishwa nauli ama nini....
 
na kama hutaki kuchomekewa pita na king'ora (nolii nolii nolii)
 
Huyu dawa yake kuonesha hautishiki anakuweka hizo saa 48 usimjibu kitu unakauka tu
Kula kulala bure ila msoto wake hatariiii.....usikie kwa mwingine usiombe yakukute
 
inatakiwa wakati anamsemesha huyo dereva we unampigia honi non stop mpaka masikio yazibe .....
 
Anamuuliza kuhusu issue za maticha na nauli bure!
 
Back
Top Bottom