Njoo tucheze pool asibuhi...

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,549
fd7e64e8edcb63bab82e26f86cf0d625.jpg

ca6c8cc3b6dc482b38c3d7478f114242.jpg

Usiogope mkwara wa Anko Magu

Kitaani kwetu pool table tunakinukisha tu morning to evening daily...
 
Asa mm leo siendi lindon shamba sina nyumban siwez kukaa muda wote nikienda kwe pool table je
 
Mwananchi ya Leo March 19 Page ya 5 Gaming board of Tanzania imetoa rasmi tangazo la kupiga marufuku mchezo huo wa kuinama inama nyakati za Asubuhi na Mchana. Inapaswa kuanza saa 10 alasiri mpaka 5 uck during week days, weekend kuanzia saa 8 Mchana mpaka 6 usku.
 
Tutachezea uani kwetu
 
Tutacheza to awajui siku kama ya leo watu tunaongeza vipato alaf wao wanatuambia jion jion mda wakujipongeza kuka bar kidogo
Na kuweka mzigo kwa Wahindi watazuia....
 
Tutacheza keram......si kama pool table tu......na tutarudisha mdako........kucheza kupo pale pale......mi na mwenzangu tushaanza.......
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    44.8 KB · Views: 69

Similar Discussions

Back
Top Bottom