Cheti cha kifo

Cheti cha kifo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
a3a4af0aa2a28f833d2fa74302414325.jpg
 
nikategemea kuona bonge la saini limepigwa kwa chini hapo na lile li kalamu lenye manyoa unachovya wino kwenye bakuli...
 
kwa hyo mtu akifa kikwelikweli na sio mgomba ndio imezikwa ndio hiki cheti cha kichawi kinatolewa na vizazi na vifo wa wachawi????,sijui ndio huyo Coroner au??
 
kwa hyo mtu akifa kikwelikweli na sio mgomba ndio imezikwa ndio hiki cheti cha kichawi kinatolewa na vizazi na vifo wa wachawi????,sijui ndio huyo Coroner au??
Mpaka ufe kabisa kabisa tena ufe kikweli kweli
 
duuih,kweli nimewakubali,yaani wana mfumo kama wa kidunia kabisa,hawa watu mbelembele mwenyezi mungu asipochukua hatua thabiti watamsumbua sana
Kuna mstari mwembamba kati ya Mungu na shetani
 
Mwanangu na mada zako na usiku ushakua mnene,wengine tunakokaa huku balaa kila SAA unaskia minyato Mara nyau sasa nikichanganya na haya mambo yako inakuwa balaa

acha uoga wewe,kama siku zako za kufa zikifika zimefika tu huwezi kuzuia,acha tupate dawah
 
Mwanangu na mada zako na usiku ushakua mnene,wengine tunakokaa huku balaa kila SAA unaskia minyato Mara nyau sasa nikichanganya na haya mambo yako inakuwa balaa
Kachungulie chumba cha pili chini ya kitanda bila kuwasha taa. Unyate kama paka!kisha uje uniambie umeona nini...it's very interesting utakachokiona...! Si wewe tu bali mwingine yeyote atakayeweza kufanya hivyo usiku huu
 
Kachungulie chumba cha pili chinhii ya kitanda bila kuwasha taa. Unyate kama paka!kisha uje uniambie umeona nini...it's very interesting utakachokiona...! Si wewe tu bali mwingine yeyote atakayeweza kufanya hivyo usiku huu

ulivyojaribu uliona nn mkuu ili nitakayoyaona nisipatwe na mshtuko wa moyo
 
[emoji23] sikwambii takuharibia uhondo


mkuu niambie tu,mi ni jasiri siogopi kitu,ina maana mkuu hata chini ya kitanda nacholala na mke wng mpendwa sana nisipowasha taa kuna mambo huwa yanaendelea chini ya kapeti???
 
mkuu niambie tu,mi ni jasiri siogopi kitu,ina maana mkuu hata chini ya kitanda nacholala na mke wng mpendwa sana nisipowasha taa kuna mambo huwa yanaendelea chini ya kapeti???
Chungulia kuna mtu au kivuli chake lakini utakiona at a glimpse of a second halafu utapata vague image yake...sio mimi lakini
 
mkuu niambie tu,mi ni jasiri siogopi kitu,ina maana mkuu hata chini ya kitanda nacholala na mke wng mpendwa sana nisipowasha taa kuna mambo huwa yanaendelea chini ya kapeti???
Mkuu umeambiwa chumba cha pili sasa kuji nasibu ujasili ndio vipi tena, harafu unalipuka na swali jingine? just go then lete mrejesho, usisahau kunyata tu. Tuna subiri ushuhuda wako.
 
Mkuu umeambiwa chumba cha pili sasa kuji nasibu ujasili ndio vipi tena, harafu unalipuka na swali jingine? just go then lete mrejesho, usisahau kunyata tu. Tuna subiri ushuhuda wako.
Akishindwa jaribu hata wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom