Mbowe anaingiaje hapa?na sasa pale government inapowabana hao the rich walipe kodi.... watu (Mbowe) anakuja kuwatetea kuwa wanabanwa sababu walisapoti mageuzi....
Kitu ambacho mi napinga. Kama wanadaiwa kodi ambayo wanapaswa kulipa walipe tu. hakuna namna... Ila kama "wanabambikiwa" wana haki ya kulalamika japo malalamiko yao wayaweke bayana.
Kwanza Mbowe anaingiaje hapa? Tuchukulie anaingia, Mbowe aliongelea watumishi wa umma wanaotimuliwa? Au wafanyabiashara? Mkuu sio kila ukimuwaza Mbowe lazima umuandike hata mahali pasipohusikana sasa pale government inapowabana hao the rich walipe kodi.... watu (Mbowe) anakuja kuwatetea kuwa wanabanwa sababu walisapoti mageuzi....
Kitu ambacho mi napinga. Kama wanadaiwa kodi ambayo wanapaswa kulipa walipe tu. hakuna namna... Ila kama "wanabambikiwa" wana haki ya kulalamika japo malalamiko yao wayaweke bayana.
Badala ya kujadili hoja kuna baadhi watajadili watuKwanza Mbowe anaingiaje hapa? Tuchukulie anaingia, Mbowe aliongelea wafanyabiashara wanaotimuliwa? Au wafanyabiashara? Mkuu sio kila ukimuwaza Mbowe lazima umuandike hata mahali pasipohusika
wataje hao watu. tuanzie hapoAnahusika maana aliwatetea watu wanobanwa kulipa kodi akisema wanaonewa na serikali sababu walisapoti mageuzi.... ALIKOSEA
Na alipokosea tumkosoe.... yeye sio UNTOUCHABLE.... poleni mawakili wake