Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,845
- 6,445
Hii ni picha ya kumuaga aliyekua Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Bbc, Ndugu Dunstan Tido Mhando mwaka 2006 Mjini London!
Watatu kati ya waliopo hapo ni wakuu wa vitengo na Mmoja ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Azam Tv!
Wakwanza Kushoto ni Ally Saleh Akifuatiwa na Mariam Omar..Mwenye Hijab na Mtandio wa Blue ni Suluma Kassim (Mrembo sana huyu dada ana sauti ya kipekee kabisa ) Anae mfuatia Suluma ni Peter Musembi na Wakwanza Kulia ni Hassan Mhelela!