Hapana sio fix kabisa zipomkuu siyo fiksi kweli hii? mbona itakuwa tabu kuovertake?
Kwenye seatCentral drive unawekaje kishoka?
Mkuu hivi walivyokua wanasema hivyo maana yake ilikua ni gari LHD au RHD ?? mimi nadhani ni barabara kuendeshea kushoto au kulia kutokana na hiyo ramani na sio gari ,Kuondoa huu utata siku hizi kuna magari ni central drive
Ni kweli ila barabara ni all weather inaweza kuwa kushoto ama kulia kulingana na uelekeo lakini sio gariMkuu hivi walivyokua wanasema hivyo maana yake ilikua ni gari LHD au RHD ?? mimi nadhani ni barabara kuendeshea kushoto au kulia kutokana na hiyo ramani na sio gari ,