Chid B new model

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
298,186
751,363
efee4f3598a5470166e5cbb7ffdc5382.jpg

Hujafa hujaumbika...Mungu hadhihakiwi na uumbaji wake hautukanwi
 
!
!
Simuombei mabaya ila kama hatafanya juhudi za haraka aisee tutamzika soon. Hiyo sio kawaida aisee daaah. Sisemi sitakufa ila kwa hali hiyo huyu anko abadili uelekeo haraka
 
!
!!
Namkumbuka Marehemu Geez Mabovu pale mitaa ya Aika kinondoni B alikuwa hivi hivi tukampoteza. Daah. Ngweir, Mez B, aisee na huyu naye. Hatari mno aisee.
 
!
!
Simuombei mabaya ila kama hatafanya juhudi za haraka aisee tutamzika soon. Hiyo sio kawaida aisee daaah. Sisemi sitakufa ila kwa hali hiyo huyu anko abadili uelekeo haraka
Ngoja afe ili cc tujifunze kutoka kwake maana yy alishindwa kujifunza kutoka kwa mangwea na rayc wanasema tunajifunza kutokana na makosa ila ni ujinga kujifunzia makosa yako mwenyewe RIP
 
Kila msanii aliyetumia drugs dunia hii wengi wamekuwa na bad ending vifo vya masikitiko makubwa" Whitney Houston, Amy Winehouse even MJ alikua overdose with drugz, Ngwair, Langa thy die young inasikitisha sana R.I.P,
Ubaya ni kuwa ukishaanza hii kitu ni kama umeanza kutiana ngumu mno kuacha..
#SayNoToDrugs
 
Kumbe afadhali addiction ya juju
 
Back
Top Bottom