Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,056
- 23,509
Una search vipi mkuu naomba maujanja kiongozi.Hiyo picha ukiisachi google inakuambia ni ya mwaka 2014.
Mi natumia komputer nikiipeleka mausi yangu kwenye picha niki-click inanipa machaguo,sasa sijui kwa wenye cm inakuaje.Una search vipi mkuu naomba maujanja kiongozi.
Thanks.