Kila taifa imara duniani lina nguzo za kiroho. Wachina wana confucianism, wajapan wana shintoism, Urusi wana orthodox church, Ueropeans wana christianity, wayaudi wana judaism, wahindi wana...
Nilikuwa mapumzikoni kidogo nikavinjari MMU, JAMII PHOTOS na JUKWAA LA SIASA.... likizo imeisha salama nimerejea tuendelee
mada ziliyopita, tulijifunza, tukachambua na kujadili sana kuhusiana na...
"OPERATION GERONIMO EKIA" (EKIA - Enemy Killed In Action "Adui ameuawa kwenye mapambano") NI OPERATION ILIYO RATIBU NA KUFANIKISHA KIFO CHA OSAMA BIN LADEN.
Na. Comred Mbwana Allyamtu.
Thursday-...
Kuna mtindo wa kwenye social media watu kutosoma maelezo marefu sana. Hivyo basi nimeamua kuileta sehemu tu ya ile sehemu ya pili, enjoy;
....................kukazia pointi kadhaa na kufunga...
WAPENZI wa Dansi katika miaka ya 1970 mpaka 1990, hawatosita kusimulia burudani tamu iliyokuwa ikiporomoshwa kutoka bendi ya MAQUIS du ZAIRE.
Watoto wa mjini katika kumbi za starehe walipagawa...
Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying...
AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO..
1. Watu Majani
2. Watu Tawi
3. Watu Mizizi
Watu Majani:
Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu...
Nani aliandika kitabu cha Samweli? = Samweli
Nani aliandika kitabu cha Yoshua? = Yoshua
Nani aliandika Kumbukumbu la Torati = Musa?
1Samweli 25:1 “Samweli akafa, na wana wa Israeli wote...
Mnamo mwaka 1957 tarehe 25 mwezi wa pili, mwili wa mvulana mdogo ulikutwa ndani ya boksi sehemu ambapo haparuhusiwi kutupia vitu huko eneo la Philadelphia, Marekani. Mtoto huyo anakadiriwa kuwa na...
It geting crazy
Kwa mara ya kwanza kinachosemekana ni ALIEN ameonyeahwa kwa kamati ya bunge huko nchini Mexico. Am so excited, what a time, hapa bado mu USA aka baba lao aje na yeye kusema vyakee.
(1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe...
HAYA NDIYO MAMBO TATA KUHUSU NEIL ARMSTRONG NA SAFARI YA MWEZINI
Jana nlifanikiwa kuangalia video , baada ya shirika la anga la MAREKANI, NASA kufanikisha kupeleka chombo cha utafiti katika...
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu...
binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini...
Labda ulikuwa miongoni mwa watu waliosikia taarifa ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya nchini Mexico, Joaquín Guzmán Loera AKA “El Chapo Guzmán”, na ukajiuliza kuhusu wauzaji madawa ya...
Mara nyingi wanajeshi husema kuwa wanapindua nchi sababu ya uongozi mbaya, kwa ajili ya wananchi blah blah. Ukweli hizo si sababu kabisa zinazofanya wafanye hivyo.
Mara nyingi wanajeshi hupindua...
Wadau nawasabahi.
Nimeona nije na baadhi ya MASWALI MAGUMU yaliyokosa Majibu kupata kutokea hapa Tanzania licha ya Vyombo husika kuwepo. Miongoni ya Maswali hayo ni haya
1.Nani ALIMTEKA...
Kulikuwa na maneno nikiyasikia kwa muda mrefu kwamba TISS huwa hawalali akaja Rais Magufuli kuyapigilia msumari kuwa kweli TISS hawalali wakati akizindua ujenzi wa makao makuu ya TISS Zanzibar...
Alijua kuwa ni kosa litakalo mgharimu maisha yake. Haijalishi kama kifo chake kitachelewa au kitawahi lakini kwa vyovyote vile Waisraeli wasingeweza kumuacha hai kwa kosa la kumwaga damu ya...