Maswali magumu kupata kutokea Tanzania

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nawasabahi.

Nimeona nije na baadhi ya MASWALI MAGUMU yaliyokosa Majibu kupata kutokea hapa Tanzania licha ya Vyombo husika kuwepo. Miongoni ya Maswali hayo ni haya
1.Nani ALIMTEKA Mfanyabiashara MO DEWJI?

2 .Nani Alimpiga RISASI Mwanasiasa TUNDU LISSU?

3.Nani Alimpiga RISASI Mwanachuo AKWILINA?

4 .Wapo Wapi BEN SAANANE AZORY GWANDA na wengine?
Maswali haya kwa Watanzania tumekuwa Tunajiuliza pamoja na NDUGU JAMAA MARAFIKI wa Wahanga bila MAFANIKIO Licha ya Uwepo wa VYOMBO vya Kutupa MAJIBU.

Na iwapo Vyombo hivyo Vimeshindwa kwanini VISIOMBE Usaidizi wa KIMATAIFA ili Watanzania tupate MAJIBU?

20230517_231405.jpg
1649840785448.jpg
20220125_194452.jpg
1651831328033.jpg
 
Swali no1: jibu ni dereva taxi
Swali no2: jibu ni "wasiojulikana"
Swali no3: jibu ni polisi
Swali no4: majibu wanayo waajili wao
Msitutoe kwenye reli jibuni kwanza ndege ya rais iko wapi,,
Dereva Taxi aliachiwa kwa kutohusika Acha uongo
 
Wadau nawasabahi.

Nimeona nije na baadhi ya MASWALI MAGUMU yaliyokosa Majibu kupata kutokea hapa Tanzania licha ya Vyombo husika kuwepo. Miongoni ya Maswali hayo ni haya
1.Nani ALIMTEKA Mfanyabiashara MO DEWJI?

2 .Nani Alimpiga RISASI Mwanasiasa TUNDU LISSU?

3.Nani Alimpiga RISASI Mwanachuo AKWILINA?

4 .Wapo Wapi BEN SAANANE AZORY GWANDA na wengine?
Maswali haya kwa Watanzania tumekuwa Tunajiuliza pamoja na NDUGU JAMAA MARAFIKI wa Wahanga bila MAFANIKIO Licha ya Uwepo wa VYOMBO vya Kutupa MAJIBU.

Na iwapo Vyombo hivyo Vimeshindwa kwanini VISIOMBE Usaidizi wa KIMATAIFA ili Watanzania tupate MAJIBU?

View attachment 2725680View attachment 2725686View attachment 2725687View attachment 2725688
Ni hasara gani Kenya wanapata kwa kutokuwa na mbio za mwenge? Ni faida gani Tanzania inapata kutokana na mbio za mwenge?
 
Matukio yote haya huwa yanafanya na watu wenye training na skills kubwa, na watu hao ni jesi na polisi, hawa watu ndio wanajua mchongo mzima
 
Swali no1: jibu ni dereva taxi
Swali no2: jibu ni "wasiojulikana"
Swali no3: jibu ni polisi
Swali no4: majibu wanayo waajili wao
Msitutoe kwenye reli jibuni kwanza ndege ya rais iko wapi,,
😳😳😳kunani tena na ndege ya rais? Kwani haijulikani ilipo?
Trimmer
 
Back
Top Bottom