Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Kulikuwa na maneno nikiyasikia kwa muda mrefu kwamba TISS huwa hawalali akaja Rais Magufuli kuyapigilia msumari kuwa kweli TISS hawalali wakati akizindua ujenzi wa makao makuu ya TISS Zanzibar.
Sasa kuna maswali au ningependa kujuzwa ni kwa nini TISS hawalali? Kwa nini wasipeane shift Ili wawe wanalala sababu kulala ni jambo la kibaolojia muhimu mno kama kula n.k halina mbadala.
Sasa kuna maswali au ningependa kujuzwa ni kwa nini TISS hawalali? Kwa nini wasipeane shift Ili wawe wanalala sababu kulala ni jambo la kibaolojia muhimu mno kama kula n.k halina mbadala.