Kuna vyanzo vingi vinavyo elezea kuwepo kwa freemasonry Kabla ya 1717, vyanzo hivyo ni vingi, vinahitaji muda na uyakinifu ilikuweza kutofautisha baina ya almasi na vipande vya vioo. Kuna vilivyo...
Tunaingia kwenye ulimwengu wa akili bandia (AI)kwa kasi mno isiyozuilika.. Kila kitu kinabadilika hakuna kinachoachwa nyuma, ni mabadiliko ya pamoja
Zile sinema za Matrix zilizodhaniwa ni za...
Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh...
Je ulishawahi kuwaza kuwa labda jamii ya watu ambayo ilikuwa na watu maarufu duniani kama Yesu, mfalme Daudi na mfalme Sulemani walikuwa na ngozi nyeusi?
nakuletea taarifa kuwa jamii ya Wayahudi...
Vifo tata! Kuna watu walikufa vifo visivyo vya kawaida, vifo vya lazima, vifo vya kuuliwa, kuna mbinu kama forensic investigation ziliweza kung'amua kilichojiri kabla ya kifo.
Kuna technology ya...
Tume kuwa tukidanganywa sana, Mara ooh kuna waganga wanatibu Uchawi, Mara ooh kuna Mganga ana uwezo wa kukuonyesha Mbaya wako kupitia maji au kioo, Mara ooh kuna Mganga ana kupa dawa ya Kumfanya...
Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya...
Habari wana jukwaa.
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Leo ningependa tuangazie hatma ya kijana wa Kitanzania.
Nikiwa nimekaa zangu nimetulia nikiwaza ni namna gani naweza kuleta mchango...
Hello JF,
Katika uumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana Kuna hatua za uumbaji na majira ambayo hayo yote yalitokea.
Ufahamu wa aliyeumba yaani Mungu Baba ambaye uhalisia wake ni CHANZO HALISI...
wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe
VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu...
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU...
Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu...
Wakati waumini wote wa dini ya kikristo duniani wakiwa wanaazimisha sikukuu ya kufufuka Kwa bwana yesu kristo, ningependa tuiangazie tekinolojia ya ufufuko na namna ambavyo wanadamu wanajaribu...
Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius).
Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika...
Heri ya Mwaka Mpya Great Thinkers,
Leo nimeamua kuja na huu uzi mahususi kwasababu ni mwisho wa mwaka na wengi wetu tunapenda kurudi makwetu. Wapare na Wachaga wataenda kwao Kilimanjaro, Wameru...
RICHARD SORGE
Jasusi huyu anahesabika kama jasusi mwerevu kuliko wote katika karne ya 20. Jasusi huyo Mrusi na mwalimu wa hujuma alifanya kazi dunia nzima kabla na wakati wa Vita Kuu ya Pili ya...
Anaitwa Victor Glover ndiye atakuwa kiongozi wa chombo Orion space craft katika safari nzima ya kuelekea mwezini ambayo Itafanyika Mwezi novemba mwaka 2024
Rubani huyu wa chombo amezaliwa...
Hi socrates,
Wengi wetu tumekuwa tukijua kwamba dollar ya marekani ndio fedha yenye thamani zaidi duniani lakini kuna pesa zingine ambazo zina thamani kuzidi ata hiyo dollar ya marekani
Na hii...
Siku moja, Mungu alinyang'anya kila mtu mali yake. Watu wote waliachwa bila chakula na walikuwa na njaa siku nzima. Siku ya pili yake jioni, Mungu alimpa kila mtu kuku.
Kundi la kwanza lilifurahi...
Many religions teach life after death: after our life in the world, we have another life in heaven.
This is a doctrine common to most religions in the world.
I find it hard to understand how we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.