Dondoo kuhusu ubabe wa japani vita ya dunia.

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,827
2,000
Habari wakuu, natumai mnaendelea vizuri na sikuku za christmas na wale ndugu zangu na mimi tunapiga kazi kama kawaida.
Nimeanzisha huu uzi ili tubadilishane uzoefu na elimu kuhusu taifa ili la japani.
Kwa kifupi japani ni nchi inayoundwa na mamia ya visiwa kusini mwa bara la asia.

Imekua ikikumbwa na majanga mbalimbali hasa mafuriko.

Matetemeko ya ardhi muda mrefu sana kwa sababu wako kwenye zone mbaya ya dunia (Kwa wale wajajiolojia na geography watanielimisha hapa) Sasa huu ukanda ni weak kwa maana hiyo ni sehemu dhaifu ambayo pengine tetemeko likitokea panaweza kuchimbika an kuachana kabisa na kuunda nyufa kubwa au bonde kama bonde la ufa hapa east africa. Kutokana na hiyo hali wajapani wameweza kupambana nayo kwa kutumia teknolojia ya juu wameweza kujilinda kwa kutengeneza mindombinu imaa ya kukabiliana na haya majanga. Unaweza kuona hata majengo yao marefu kabisa wala hawana shaka nayo.

Ni nchi ambayo iko vizuri kiuchumi pia kiteknolojia na kijeshi. Kwa wale wapenzi wa vifaa vya electronics mtakua mnaona signature ya japan katika hivyo vifaa.

Umewahi kujiuliza hiyo teknolojia na uchumi bora wameupataje ikizingatia ni nchi inayokumbwa na majanga kila mwaka pamoja na lile bomu la nyuklia 1945 lililoacha maafa makubwa hadi leo kwa mazingiza ya hiroshima na nagasaki na raia wake kuzaliwa viwete! Tuseme yangekua yanatokea hapa tanzania basi hili taifa lingeshakua kuzimu muda mrefu sana. Kwanza tetemeko likipiga pale dar magorofa yote yapo ICU maana ni yakuunga unga tuu nyie wenyewe ji mashahidi.

Sasa lengo la huu uzi ni kuichambua Japani ubabe wake miaka ya nyuma hadi kufikia kutisha mataifa makubwa kama marekani na china kipindi hicho.
Japan amewahi isumbua sana china akitaka aitawale pia Japani ameitawala Korea, Taiwan, Manchuria na visiwa kadhaa southern pacific vilivokua chini ya ukoloni wa wajerumani.
Vita ya pili ya dinia mwishini 1945 Japan alivishambulia visiwa vya hawaii huko marekani kwa kushambulia kambi za kijeshi hayo maeneo hali iliyowatia wamarekani katika wakati mgumu.
Rais alieingia madarakani hata kabla miezi minne haijapita Henry S Truman alidondosha bomu la nyuklia maeneo ya hiroshima na nagasaki huko japani hali iliyosababisha Japan wa surrender vita na kuweka silaha chini ili kumaliza vita hapo hapo viongozi wa Japani walijiua mfano Japanese General Anami Korechika as Minister of War (akijiita Waziri wa vita).

Nimejiuliza kama yale mabomu ya kwanza ya nyuklia kupigwa hapa duniani (Faty boy little boy) Kama yalivvyouitwa na viongozi wa wakati huo wa uingereza na marekani. Mabomu sa sasa yataiweka dunia mahala gani?? Tuchukulie mfano Saturn S18 ya urusi ina madhara mara 1000 ya mabomu yaliyopigwa japani hii dunia si itateketea?

Nawasilisha wakuu tupeni habari kuhusu ubabe wa japani na kuimarika kwake hadi leo.
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,424

Pia, soma The Attack on Pearl Harbour. Utajua Japan hakua mtu wa mchezo mchezo. Kivita alikua vizuri. Ni sawa na umtandike vema ngumi bondia mwenzako, halafu yeye baada ya kushindwa anaokota jiwe au chuma na kukupiga nacho, ndicho alichofanya US, kwa medan ya kivita Japan alikua yuko vizuri. Alaaniwe aliye amuru Little Boy/Enola Gay kufanya uharibifu kule Japan!
 
mabaki

Member
Dec 18, 2016
33
95
Japan kwa sasa kijeshi amekua mdebwedo anazidiwa na makolon yake kama China na Korea
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,827
2,000
Pia, soma The Attack on Pearl Harbour. Utajua Japan hakua mtu wa mchezo mchezo. Kivita alikua vizuri. Ni sawa na umtandike vema ngumi bondia mwenzako, halafu yeye baada ya kushindwa anaokota jiwe au chuma na kukupiga nacho, ndicho alichofanya US, kwa medan ya kivita Japan alikua yuko vizuri. Alaaniwe aliye amuru Little Boy/Enola Gay kufanya uharibifu kule Japan!
Hapa ndo namuona Henry S Truman alikua kichaa kabisa yani alikua hata hajamaliza miezi minne aingie madarakani
 
Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,626
2,000
uzi unaning'inia sana mkuu...!!.kiasi unakosa maana ya kutokea jukwaa hili...
 
ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
1,614
2,000
Miongoni mwa mataifa yaliyokuwa yanaogopeka kipindi Hicho ilibaki kidogo Sana kuvamia Washington. Tatizo la Japan ni 1 kuruhusu America kutawala Nchi Yao kuomba nafasi ya kulindwa na USA, wanategemea ulizi kutoka USA. Wametekwa kisaikology wanashindwa kuwa wabunifu ndo Tatizo kubwa ndo Ilo.
Ila wanajifuza sasa hivi baada ya kuingia Trump madarakani kashasema kabisa mpango wa kugharamia budget ya ulizi Kwa Nchi nyingine hakuna Nchi husika lazima kujitegemea yenyewe.
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,707
2,000
Kamikaze ni sawa na jihad kwa waarabu Walichokuwa wanakifanya wajapan ni kuruka na ndege zao za kivita mpaka
Hawaii kwenye kituo cha kijeshi
Cha marekani cha Pearl Harbour
Wajapan wanashambulia kwa kujilipua ndani ya ya kituo cha kijeshi cha marekani
 
Nimekupata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom