Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,703
Hizi ndo nchi saba Trump alizozizuia kuingia America kwa madai ni za kigaidi.
– Syria, Iran, Iraq, Libya, Somalia, Yemen, Sudan.
Katika hizo nchi, nchi 5 tayari America ameshazivamia na kuharibu uchumi wao, bado mbili ambazo ni Iran na Sudan na hizo zipo katika lists za kupigwa.
Waislam wanaandama uku bila kujua kuwa USA wanaenda kwa mpango na hizo nchi zipo ktk orodha ya kuvurugwa kitambo.
Tuje hapa: kwanini USA haijawafungia Waarabu wa Saudia, Qatar, UAE, Misri? Ni kwasababu hao ni # PAPPET waaminifu wa Usa na wote ni wasuni ambao ndio wanamuunga mkono USA ktk harakati zake za kijeshi, kwanzia kumwondoa Sadam, Gadafi, na sasa Asad kisha Iran.........na ktk hao pappeti mkuu ni Saudia wahabi ambao ndio wanaeneza chuki kwa washia na hao ndio wanachochea Iran ipigwe kijeshi na USA, na ndio hao hao wamevamia Yemen ili kuwaondoa waasi wa Uth(shia) lakini wameshindwa vibaya sababu Iran yupo hapo, ikabidi waombe msaada kwa baba yao USA, kwaiyo sahv USA anaitumia ardhi ya Saudia kuichapa Yemen. Kwaiyo mfitini wa mashariki ya kati ni Saudia ila wajinga hawaelewi.
Kwaiyo vita vitakavyoinuka zama hizi ni kati ya USA na washirika wake akiwemo Saudia kinyume cha Iran atakayepata msaada toka Russia then NWO itasimama. Wassuni mmejaa usaliti. Hivi Uislam uleeee bado upo?
.......The whole world was filled
with wonder and followed the beast. Rev 13:3