Religion VS Science

AfroCodes

Member
Jan 27, 2017
79
23
Salaam ndugu,
Huu uzi nimeanzisha kwa madhumuni ya kuwasaidia wale wasio na imani kwa MUNGU kutokana na sababu kadha wa kadha walizonazo.

Kwa kuanzia, naanza na maswali yanayoweza kuanza kujenga imani yako kwa MUNGU hasa kwa wasioamini...

Embu jiulize maswali haya machache..

1.nani aliunda ulimwengu?
Kama unaamini theory za sayansi, kama Big bang embu jiulize..... can anything develop from nothing, really?

2.fikiria vitu vilivyo well organized apa duniani, kweli inawezekana amna chanzo cha yote haya? fikiria kuhusu solar system fikiria kuhusu kifo, kuzaliwa na vyote vinavyotokea.(jaribu kuangalia kwa jicho la tofauti)
....sayansi inachofanya ni kusoma na kuangalia jinsi vitu vinavyofanya kazi ila aihusiki na uwepo wa vitu ivyo, kusema kuna sayari tisa au kujua dunia inazunguka jua na vitu vingine vingi bila ya kujiuliza vimetoka wapi, ..?

3.jiulize kwanini utakufa? na kwa nini mpaka saivi wanasayansi hawawezi kuzuia kifo
...he uyo aimaanishi kua science INA limit?

4.je, unapofariki unaenda wapi?

ni bora uamini MUNGU yupo ukamkose kuliplko uamini hayupo ukampate

Itaendelea.......
 
Back
Top Bottom