JWTZ, JKT je hii haiwezekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JWTZ, JKT je hii haiwezekani?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Mtazamaji, Jun 25, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wakuu Salaaam

  Nchi kama China kabla haijafikia ilipo leo makampuni makubwa ya kwanza yalichochea maendelo ilikuwa ni ya jeshi. BAE ya UK ambayo ni kampuni iliyoajiiri waingereza wengi ni kampuni ya Jeshi. Tunajua Majeshi ni one of the wing ya serikali

  Nini nachotaka kusema ?
  Ni kujidangaya kuwa tupata maendeleo kwa serikali kukaa pembeni eti kuwa kigezo cha biashatra huria na uchumi huria. Tunaweza tusiwe na uwezo wa kuwa na viwanda kama China au UK lakini kuna fursa ya mazingira na vijana wetu tunaweza kutumia kwa kutumia jeshi .

  JWTZ, JKT au serikali wanaweza kufanya nini ?

  Michezo mbali mbali ina nafasi kubwa ya kuzalisha nyota lakini tumelalala. Kwa nini
  • JWTZ au JKT Kigamboni isianzishe chuo cha kuongelea. Kuna vijana nawaona wanakimbiza na viongozi wa fery sababu wanapenda kuchezea maji. Vijana wale ujuzi wao ukitumiwa mapena wakapata wakufunzi wazuri Tanzania itakuwa mbali kimchezo.
  • JWTZ JKT Mkoni Arusha ianishe kituo cha mafunzo na mazoezi ya riadha ambapo wanafunzi wa shule mbali mbali za primary na sekondary wanaweza kuhudhuria kwa muda fulani na
  • JWTZ JKT Mwanza wanaweza kushirikiana na wavuvi. Kule kun watu wanapiga kasia . Pia Kuna watu pia wanaendesha basikeli kama kina armstrong
  Hii ni mifano michache nimetoa

  Michezo ni chanzo ajira nzuri inayoweza kuinua maisha ya watu hata ambao hawana elimu kubwa na vile vile kuitangaza Tanzania. Tatizo tulilonalo hakuna taasisi ya kuweza kutambua na kuwandeleza watu wenye vipaji fulani vinavyoweza kuwasaidi watu wa kawaida na kuitangaza nchi katika dunia.

  Serikali isisishie tu kujenga vyuo vikuu tu nchii hii haitajengwa na wavaa tai tuuuuu. Serikali iangalie uwezekano wa kuwapa uwezo watu wa matabaka ya kati na chini na wale ambao hawakuendelea na elimu.
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Mawazo mazuri sana, lkn kuna taarifa kuwa meremeta ni mradi wa jeshi, ikianzishwa watakuwa na malengo ya kifisadi naona kwanza tuondoe utawala huu olioshindwa tufunue ukurasa mpya
   
 3. M

  MNYAKI MZALENDO Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da! umenigusa mtazamaji,kinachotakiwa kufanywa na majeshi ya nchi maskini kama sisi ni kushiriki katika shughuli zote za kiuchumi na kijamii maana hatuna vita sisi.tunahitaji mchango chanya kutoka kwa majeshi yetu na wataalam wa jeshini watumike kuleta maendeleo
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tatizi hii nchi yetu watu wote tumeshakuwa wanasiasa.
  • Watu wamefanya kuamini mbunge bora ni yule mwenye Phd na dr. Matokeo yake wato wanaihisi dar ndio wanawakilisha watu wa vijijini. Katika siku 365wachache wanakaa kwenye majimbo yao japo siku 100 achana na hata mkoa.
  Tumeaminishwa ili ufanikwe ni lazima ufike chuo kikuu. matokeo yake wote tunahsia kufanya white collar job za kuvaa tai tu. Mtu aliyeishia darsa la saba anaitwa failure kumbe sio falure ni sababu ya ufinyu wa nafasi za kusoma. mwanaridha akishinda London maratahon moja anabadilisha si tu maisha ya familia yake bali hata ya kijiji chake.

  Sasa ulizia sera ya michezo . wambulu wana vipaji vya kukimbia serikali imefanya nini. Wasukuma wana uwezo wa kuendesha baiskeli. what are we doing?Nilishangaa yule jamaa aliyetumia baiskeli kwenda kumtembela kikwete.Kikwete alichotakiwa kufanya ni kumpeleka wenye trainingg ya mud amfupi then ashiriki mashindanoya Tour de Frace.

  Mi naamin JWTZ na hsa JK linaweza kuwa na role kubwa sana zaidi ya wanayofanya sasa
   
 5. Umutimbaru

  Umutimbaru Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kweli maendeleo yanaletwa na wenye moyo, Mwenye moyo ni Yule ambaye anaonyesha au kutafsri mipango mingi iliopangwa kuwa matendendo. Hivyo sio Majesshii tuu ambayo yahitaji kutafsiri mipango mingii ya maendeleo kuwa vitendo . Hii ni changa moto kwa watu ambao wanajali nchi yao. MAjeshi ni sehemu ya watanzania wengi ambao pia wanahitaji hayo maendeleo.. Tushiriki kwa pamojja tulifikishe gurudumu la maendeleo mbele kwa ajili ya vizazaji vijazo
   
 6. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 7. D

  Derimto JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo watu wameweka siasa kwenye kila kitu mpaka tunachanganyikiwa
   
 8. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Matatizo ni mengi sana-kiasi kwamba hata unapataka kuhoji mada yoyote kuhusu jeshi unambiwa "shut up"-eti kwa sababu unaingilia mambo ya nyeti ya taifa-mambo mengi sana yanayohusu hili jeshi letu wanaya-regard as siri-hata pale wanapokosea na kuiba inabaki kuwa siri yao
   
 9. M

  Maga JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wakwetu wamekuwa WACHUUZI wa POWER TILLER.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sasa inachekesha wanakuwa wachuuzi ma matrekta wakati wenyewe hawana hata hayo mashamba ya mfano. AU kuna sehemu Jeshi lina shamba la mfano. Kuna program serikali ingefanya basi hata Magereza na JKT ndio yangekuwa mfano wa kilimo kwanza.
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Jeshi mbona linafanya bishara ya matrekta mkuu!
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu we umeridhika na jKT kuwa mchuuzi tu wa hayo matrekta bila kuwa na mashamba ya mfano.???

  Kama ndio hivi basi ipo kazi. Kuuza matrekta hayo hata std 7 anaweza.
   
 13. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mawazo mazuri sana ila kwa mfumo uliopo ni vigumu sana wakalikubali hilo labda kwa nguvu ya UMMA. Keep it up mkubwa usikate tamaa labda kuna siku watakumbuka. Majeshi mara nyingi hutumiwa kuleta maendeleo kama hakuna vita ktk nchi husika. Tumesikia Misri jeshi lina miradi mingi tu na kwingineko duniani. Hapa kwetu shida ni mfumo unahitaji overhaul.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sitashangaa kuona na kusikia msururu wa wanamichezo mwaka kesho 2012 tena wakiwa na viongozi kadhaa wa seriali wakienda kushiriki na sio kushindana Kwenye olympic london.

  Kwa wenzetu kenya michezo kama riadha sio tu chanzo cha matumizi ni chanzo n shemu ya kugenerate mapato. Siijui kwa miaka mitano iliypita wanamichezo wa tanzania wamvuna shilingi ngapi kama Tuzo.????

  Je ni kwamba hatuna watu wenye vipaji au hatuna mfumo nampango wa kuibua na kuendeleza vipaji?
   
 15. mjumbe wa bwana

  mjumbe wa bwana JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 1,965
  Likes Received: 1,570
  Trophy Points: 280
  hayo mawazo mazuri tatizo tz undugu na uchama umetawala
   
Loading...