Serial Killer

Curvyminx

Senior Member
Nov 29, 2016
179
221
Baada ya kuangalia CSI, na channels za CI na ID, nimebaki najiuliza, ivi? kuna serial killers hapa Tanzania? nikakumbuka miaka ya nyuma, kulikuwa na stories za mtu anaua changudoa na kuwaacha gesti sijui kama ni stori ya kweli au la. Are there serial killers in T?
 
Mmmaa!!! Sasa kwanini waitwe jina hilo? Na kwann wanaua watu kama wapo kweli?
"A serial killer is a person who typically murders three or more people, usually in service of abnormal psychological gratification, with the murders taking place over more than a month and including a significant break (a "cooling off period") between them" according to google.
 
"A serial killer is a person who typically murders three or more people, usually in service of abnormal psychological gratification, with the murders taking place over more than a month and including a significant break
(a "cooling off period") between them" according to google.

Je ni kundi la kihalifu??
 
Je ni kundi la kihalifu??
hapana, huwa ni mtu mmoja, mara nyingi inatokea anakuwa hawako sawa akilini wakati wanafanya mauaji ambayo huwa yamekusudiwa, sometimes for fun because they enjoy it ndio maana nasema 'hawako sawa akilini' coz sio kitu cha kawaida
 
Napenda sana kua serial killer ila ngoja niitafutie familia yangu pesa alafu nianze kazi rasmi
 
Baada ya kuangalia CSI, na channels za CI na ID, nimebaki najiuliza, ivi? kuna serial killers hapa Tanzania? nikakumbuka miaka ya nyuma, kulikuwa na stories za mtu anaua changudoa na kuwaacha gesti sijui kama ni stori ya kweli au la. Are there serial killers in T?
Kuna jamaa alipewa jina "kenonkee".. 2014 alitisa sana mkoa wa mara, hasa wilaya ya Tarime!!
 
Nilipata kusikia kwa dada mmoja wakati fulani kuna mzungu alikuja basi yeye akawapeleka rafiki zake wakawa wavunja tu amri ya 6 ,yeye anachukua hela zake anasepa ,Mzungu alikuwa na pesa kweli kweli leo akilala Serena ,kesho Double tree ,kumbe jamaa alikuwa muuaji anatafutwa na hawa polisi wa dunia ,huyu anaye wauza wenzake akapigiwa simu na polisi wa dunia na wakaweka mtego wakamkamate mzungu ,sasa lile lizungu sijui ni FSB akapotea kwenye mazingira ya kutatanisha ,alikuwa anahusishwa na mauaji ya wanawake sio chini ya 50 popote aendapo duniani

Kilicho shangaza hawa dada zetu wa kibongo hakuwaua ,sijui alikutana na mtoto wa Kitanga anamuogesha na maji katia iliki na mdalasini ,mwili umechorwa hina atafuna kungu tu macho yamelegea akikuangalia kama akata roho ,K yaoshewa asali ,bafuni wabebwa mgongoni mweeee Tanga raha
 
Back
Top Bottom