Jana wakati nipo katika mizunguko yangu pale Kawe - Dsm lilitokea jambo ambalo nilikuwa nasikia katika hadithi za vijiweni but for the first time nlikuwa katika scene iliyomuhusisha kijana mmoja...
Almost half of the global population believes in the concept of re-incarnation. This is a belief of the soul re-living the physical life after the death of an individual. The form and status of...
Kwanini Marekani ! Kila Kichwa Cha Mtu Duniani Anasema Yake Kwa Amerika Ivi Nchi Ya Marekani Wanategemea Nini Haswa Kwa Ubabe Wake Ambacho Ukikipata Hicho Umemuua Mwamerika
Ni Nini Icho Na...
Excluding few freethinkers and philosophers, good number of human race believe in scriptures. Can somebody give me the logical reasons behind this fate..?
Wakuu!
Nimeanzisha uzi huu kujaribu kutoa utetezi kinyume na hoja inayopinga uwepo wa Mungu kwa hoja kwamba ulimwengu huu unathibitisha kwamba 'Mungu mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote'...
Mnyama huyu hufahamika pia kwa jina la ndovu au kwa lugha ya kigeni huitwa Elephant, lakini pia jina lake la kisayansi hufahamika kama Loxodanta Africana.
Tembo ndio mnyama pekee ambaye ni...
Wakuu,
Nina miaka 4 sasa nafanya utafiti kuhusu kuwepo kwa uchawi sijapata kujiridhisha kihalisia kuwepo kwa ushirikina.Nimetembelea maeneo yote yanayosemekana ni maarufu kwa ushirikina kama...
Habari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!
Kuna haka ka...
Wasaaalam wana JI!
Kama wewe ni mpenzi wa Science fiction(sayansi ya kubuni),bila shaka jina Isaac Asimov sio geni kwako.
Mwaandishi huyu wa kimarekani aliwahi kuandika kitabu chenye mkusanyiko...
Wakuu habari za jioni..
Kumekuwa na makala mbalimbali zinaozo elezea umbali ambao wanasayansi wameshafikia angani. Wameweza safiri mpaka kwenye mwezi na wameweza tuma vyombo vya uchunguzi katika...
Wanabodi, mtakubaliana nami kuwa matatizo mengi katika hii Dunia yanasababishwa na ujuaji mwingi wa Binadamu kwa mgongo wa maendeleo ya Sayansi na Teknolojia. Hapa chini ni mifano michache...
Growth of human homo (being)huyu ndiye mnyama anaeshi middle time ya uhai wa bustanini akiwa balanced huyu ndiye mwenye one hulf second ya utashi dhidi ya wanyama wenzie akiwa na uwezo wa kuunda...
Human homo ni sehemu ya umungu(god,lyrans)wasanifu wa muundo huo.
ndivyo ilivyo waumbaji waliumba human homo kwa mifano yaki,maumbo,ufahamu,n.k kwa moja ya sehemu walizonazo wao,baasi human homo...
INAENDELEA UZI NA #44 SEHEMU YA 2
INAENDELEA UZI NAMBA #166 SEHEMU YA 3
SEHEMU YA NNE INAENDELEA UZI NAMBA #217
SEHEMU YA TANO INAENDELEA UZI NAMBA ,,,,,,,,,,,,,,
,,,#243
SEHEMU YA MWISHO UZI...
Habari Wana Jamii intelligence
Mda mrefu kweli,nilitamani kuwe na Uzi ambao Watu watakua huru kutoa Ushuhudu Binafsi kuhusu uwepo wa Mungu katika Maisha Yao
Jinsi gani Mungu amewapigania mpaka...
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri...
Mwaka 2008 pengine ulikwa moja ya miaka ya purukushani Sana duniani kuanzia uwepo wa Alqaidah yenye nguvu, mgogoro wa Georgia, pamoja na mpango wa Iran wa nyuklia.Iran walkwa katika hatua za Kati...
Wadau, this is for your information. Ripoti juu ya sakata la rada inayoonyesha jinsi Rashid na Chenge walivyohusika. Jamani, hivi ni kipi kinaendelea mbona iko wazi kabisa kuwa hawa jamaa wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.