Wadau kwa Wakristo katika ile Sala ya Baba yetu uliye Mbinguni kuna maneno yanasomeka kuwa " Usitutie Majarubuni bali utuokoe na yule Muovu."Swali langu je Mungu anaweza kututia Majaribuni?Mie...
JOHN EDGAR HOOVER, MWASISI WA SHIRIKA LA FBI, NA JASUSI MAHIRI NDANI YA USA.
Jina lake halisi ni John Edgar Hoover lakini alipenda kujulikana zaidi kama J. Edgar Hoover. Ni Kachero...
Kuna meli ama sijui ni manowali tatu za Ukraine zilipigwa na kuchukuliwa na Urusi baada ya raisi wa Ukraine kipindi icho Poroshenko kuingizwa mkwenge na wazungu kuwa alianzishe watamsaidia ila...
MENTAL TOUGHNESS SECRETS OF THE WORLD CLASS by Steve Siebold
THE WORLD CLASS COMPARTMENTALIZES EMOTIONS
WALIOFANIKIWA WANAZIGAWA KWENYE MAKUNDI HISIA ZAO.
"Nothing external to you has any...
UCHAWI na MUUJIZA ni masuala tata katika jamii, pamoja na utata wake lakini yamekuwa ni masuala ya kawaida kusikika. Ni kawaida kusikia fulani ni mchawi au nimefanyiwa uchawi. Pia ni kawaida...
Miaka ya Nyuma - wilaya ya Biharamulo ndo ilikuwa Engine wa Ukombozi Kumngoa Idd Amini- Rada iliyotumika ilisimikwa Ruziba . Inasemekana imezeeka inaweza lete madhara kutokana na Mionzi; wananchi...
Habari wana jamvi, natumai wote mu wazima na mimi kwa upande wangu ni mzima na bukheri wa afya.
Kama heading inavyosema hapo, nataka kujua ki undani zaidi kwanini tunakufa? Na kwanini binadamu...
Habari wana JF
Salute....
Nimekuja na huu Uzi baada ya kuishi kwa muda mrefu nikiwa nashangazwa na mengi, vitu vingi zinavyotokea katika maisha yangu vinaniachia alama ya mshangao? Mind yangu...
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Ukiitafari hizi...
MENTAL TOUGHNESS SECRETS OF THE WORLD CLASS by Steve Siebold
CHAMPIONS EMBRACE RELATIVITY
MABINGWA WANAAMINI KWENYE KUTEGEMEANA KWA VITU
Waliofanikiwa wanafahamu kuwa mitazamo yote...
Wapendwa waumini wakatoliki wenzetu Tumsifu Yesu Kristo. Asanteni sana kwa michango yenu kuhusu group letu na changamaoto mnazoziona. Leo kulikuwa na post ya mmoja ambaye ameeleza changamoto...
Mnamo siku ya tareh 27.06.2005 usiku…(makomando) wan ne vijana kutoka jeshi la marekani walishushwa katika kilele kimojawapo cha milima ya Hindu kush kijulikanacho kama (mountain tiger) na...
Venus ni sayari ya pili ktk mfumo wa jua. lakini kwa kiswahili hujulikana kama zuhura, ni sayari inayoongoza kwa kung'aa kuliko sayari yeyote ile .........pia hujulikana kama morning star vile...
Wasalaam wanabodi.......
Tukio moja limetokea kijijini kwetu wananchi wamemtimua kwa mapanaga mtumishi wa serikali(mwalimu was kiume) kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wake zao kiuchawi. Jamaa...
1.Kwenye Dunia hii kuna watu wanaishi maisha ya furaha maisha yenye kila kitu wanachohitaji. Je hatuwezi kusema kuwa hao watu wanaishi peponi? Sababu miili yao na roho zao zinapata wanachohitaji...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Jinsi adhabu ya kusubishwa ilivyoondoshwa hapa duniani ilikuwa ni desturi ya Wayahudi hata Warumi kuhukumu watu kusulubishwa katika msalaba waliokutwa na makosa mbalimbali kama
Kutaka kupindua...
Sniper ni specialists/wataalamu wanaohusika na ulengaji shabaha mahiri sana wanaotumia silaha maalumu. Snipers hutimiza misheni zao aidha wakiwa peke yao yaani "one man army" au wakiwa katika...
Habari wazee wa kazi kwema kabisa?.Leo ningependa kuwashirikisha suala moja kwangu nimeona ni njia ya mafanikio kwa yeyote yule ambaye ataiweza ataiishi.
Njia yenyewe ni Kuushinda mwili,mwili ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.