mbewe
Senior Member
- Dec 15, 2015
- 175
- 141
Habari WanaJF,
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika uzi humu jf,nimekuwa nikicomment tu,ila kuna suala nataka kusashirikisha kidogo.
Kuna kitu naweza kuita natural power which has been guiding me in my whole life, hii nguvu ni ya ajabu sana kwan imekuwa ikinipa kitu kama taarifa hivi in terms of dreams au kama flash tu nikiwa nimechoka au kutulia sana yaani nikiconcentrate.
Hii nguvu nilianza kuiexperience nilipokuwa primary, kuna siku tulienda Makumbusho (Mwenge hapo) kujifunza kama darasa basi nlipofika tu kuna tukio lilitokea lilinishangaza sana coz nlihisi labda nlishawah fika hapo kabla ila nlivyojiuliza vizuri niligundua nlishawahi kuota kitu km hicho.
LakinI pia nIlipokuwa O-Level, kuna siku nilikaa peke yangu najisomea ghafla lilikuja wazo tu niangalie dirishani, mara nlikumbuka hali kama hiyo ilishawah kunitokea ila nlijiuliza mbona hii ndio mara yangu ya kwanza kufika eneo hilo?!
Hakika nlishangaa sana kwanini hii kitu inatokea kwangu tu na sijawahi hata kumsikia mtu akiongea kama alishawahi kutokewa na kitu km hicho.
Matukio ni mengi sana siwezi kuelezea yote ila hali hii ilishamiri zaidi nilipokuwa chuo mpaka kupelekea mimi mwenyewe kuanza kujichunguza mpaka nikafikia point ya kuamua kwenda meditation moja hivi, hapo ndipo nilipokuja kujua hii kitu ni nini na nini nifanye ili niendane nayo.
Basi kwenye hiyo centre nlikutana na Mabudha ambao walinielekeza vizuri sana juu ya nguvu ambazo zipo ndani ya akili ya mtu, basi tokea hapo nlianza kuishi maisha ambayo hayana stress kabisa kwan nimekuwa nikitumia nguvu sana kwan niliwanaweza kujua matukio ambayo yanayoweza kunitokea.
Hii ilinipa tahadhar pia lakini pia hii nguvu ilishawahi KUNIPONYA vidonda vya tumbo hadi sasa navyoandika sina ulcers kabisa, na nliweza pia kupata mengi nliyoyataka.hakika ni nguvu ya ajabu sana ambayo inafanya kazi vizur kama ukiwa na imani na uvumilivu.
Mwisho kabisa niweke waz tu licha ya kwenda kwenye iyo meditation centre na kusoma vitabu vingi vya mabudha ila bado naamin katika dini ile ile nliyoikuta kwa wazaz wangu, kwahiyo mimi bado ni yule yule ila naitumia tu hii nguvu ya akili katika kujua tu mambo meng mfano najua upo muda utafika na mimi ntakutana na kile kitu nlichokiwaza ata miaka kadhaa nyuma.
Karibuni kwa maoni wandugu.