Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Zana ya kiimani kuwa viumbe hai viliumbwa ndani ya siku moja au vimeumbwa kwenye mfumo wa theory ya evolution of life ya Charles Dawn imekanushwa kwa vitendo vya mawimbi ya program ya nguvu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ufafanuzi hapa. Kati ya MWEZI na JUA kipi kina nguvu zaidi ya kingine? Pili wanasayansi wengi husafiri kwenda mwezini, Je! Kwa nini hawaendi kwenye jua? Pia wanasayansi hao hao...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kombora la ajabu: Je ni silaha gani iliofanyiwa majaribio na Urusi Arctic? Hakimiliki ya pichaRUSSIAN DEFENCE MINISTRY Wahandisi watano wa nguvu za kinyuklia waliofariki kufuatia kulipuka kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dunia haiko kama unavyoiona, Kuna agenda ya siri sana, na wahanga wakubwa watu, weusi, lazima uamke ili uione picha kubwa...ukifanya hivyo, utajikuta uko vitani mtu mweusi, karibu tuko hapa...
22 Reactions
1K Replies
106K Views
It is too late now but not too late enough.. kama uko kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na hauko tayari kusalimu amri, nakushauri kuachilia namba za simu za Vodacom ASAP. As a matter of fact...
16 Reactions
236 Replies
35K Views
Ilikuwa mwaka 2011 ndipo alipoonekana kwa Mara mwisho kiongozi wa zamani wa Libya colonel GADAFI. Ni katika hotuba zake na pia akiuawa na vikosi vya waasi wakisimamiwa na NATO air Force. Lakini...
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Huyu ni mtoto wa meneja wa zamani wa NBC Urambo na mzawa wa Masasi,Ibrahim Salumu Khatau na mama yake karani wa bank ya NBC Isike Tabora na baadae Urambo Bi.Stella Ezekiel,wote ni marehemu sasa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wale wahenga wanakumbukua ile story ya mnugu aliyekutwa Arusha miaka ya tisini. Alikuwa analima bangi kumbe alikuwa fugitive. FBI files wanasimulia mkasa wake jamaa alikuwa gang leader in states...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Majuma kadhaa yalopita, The Bold aliweza kuandika Thread inayomhusu D.B.Cooper,jamaa ambae aliweza kuiteka ndege ya Boeing mnamo mwaka 1971 na kisha kuomba apewe dollar lak 2 ambazo alipewa na...
17 Reactions
99 Replies
66K Views
Habari wana JF, Leo, nimevutiwa kuandika makala hii, inaohusiana na maswala ya kukua na kuanguka kwa mataifa kwa madhumuni ya elimu kwa wasiojua (kwa wanaojua iwe ukumbusho). NB: Ntatumia mifano...
4 Reactions
15 Replies
6K Views
UTANGULIZI Habari za jioni wana jukwaa pendwa kufuatia maoni kwenye huu uzi Wafahamu viumbe watatu wa kutisha wa baharini - JamiiForums kuna baadhi ya watu walinitaka niandae uzi maalum ili...
12 Reactions
57 Replies
16K Views
Leo tujikumbushe skendo iliyolitikisa taifa la Marekani hasa familia ya Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton kuhusiana kimapenzi na mfanyakazi wa Ikulu Monica Lewinsky.Wengi tumesahau lakini ni...
33 Reactions
73 Replies
24K Views
Salaam. Huwa nawaona walinzi wawili wa Mh. Rais wamebeba mabegi wanatembea nayo karibu kabisa na Mh. Rais kila aendapo. Yale mabegi huwa ni ya nini ? Yamebaba nini ?
2 Reactions
65 Replies
20K Views
The unknown that awaits us in the future can be unsettling, we're living in an era where our conditions, capabilities and understandings are progressing so fast and in so many different...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ungependelea Mwili wako upitie hali ipi siku ya kifo chako, Udongoni au kwenye moto mkali Nimekuwa na huu mjadala na baadhi ya marafiki wangu wa karibu kwani tupo katika Mazingira ya hospitali na...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Katika pitapita zangu mitandaoni nimeona watu wengi wakibeza aina ya ulinzi apatiwao rais wetu kwa sasa. Kila raisi duniani ni lazima alinde kwa namna yoyote ile, napenda weka mifano ya pita...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
"Na ndani yake ilionekana damu ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi". Ufu 18:24. Rejea pia usome Danieli 7:25 kisha Est 3:8-10 kisha_fuatana_nami Ni nani huyo muuaji? (Sikia...
11 Reactions
285 Replies
46K Views
Dr.Joshua Grubb (PhD) mtaalamu wa saikolojia alifanya utafiti katika chuo kikuu cha Western Reserve kutaka kujua sababu mojawapo inayochangia watu wasifisafinikiwe kutimiza Malengo waliyojiwekea...
18 Reactions
23 Replies
4K Views
The World's Top 10 Arms Exporting Countries In 2018 The world’s ten biggest arms exporting countries made armament transfers worth more than $25bn in 2018. Army-technology lists the top ten arms...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom