mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 972
- 1,669
Wakuu habari?bila kupoteza muda napenda kujua hivi kwa nini upatikanaji wa dhahabu huongezeka sana msimu wa mvua kuliko msimu wa jua?nini huwa kinatokea? Na hko chini ni kitu gani kinachotengeneza hayo madini?asanteni