Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,832
- 141,125
Hivi vyombo vya usalama vya Tanzania huwa vinachukua na kuhifadhi DNA za wahalifu?
Hivi huwa hata wanajaribu kuchukua DNA [pale inapowezekana] kwenye eneo la tukio la uhalifu?
Hivi huwa hata wanajaribu kuchukua DNA [pale inapowezekana] kwenye eneo la tukio la uhalifu?