Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Habari zenu. natumai ni wazima wa afya lakini wale ambao hawako fresh.Nawapa pole. Thread hii inaweza isikupe majibu ya maswali yako mengi ambayo umatafuta majibu na ukakosa lakini inaweza kukupa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu nimefuatilia kuhusu mpango wa hizi secret societies wa kuestablish mpango wao wa One World Order. Kwa taarifa tu ni kuwa kwa sasa mpango wao uko ktk hatua za mwisho na nchi pekee...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakuu kama swali linavyouliza hapo juu; Nimekuwa nikipata mkanganyiko mkubwa pale ambapo nakutana na mjadala unaoelezea chanzo au mwanzo wa dhambi. Nadharia ya kwanza ni kuwa chanzo cha dhambi...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
https://sw.wikipedia.org/wiki/Dinosaria_wa_Tendaguru Kuna kijitabu kiliochotolewa mnamo mwaka 1998 kuhusu dinosauri ambao mifupa yao yalipatikana pale Tendaguru, Lindi. Jina la Tendaguru ni...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, Miliwahi kusikia kutoka kwa wahenga wakisema, saa ambayo mtu alizaliwa ndiyo hufa katika saa hiyo hiyo. Kuna ukweli wowote hapo?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kutokana na wimbi la mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kote nchini inashauriwa kuwa kila kituo cha polisi ijengwe mortuary ili maiti zote zinazotokana na mauaji ya polisi zihifadhiwe huko...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Njia iliyotumika: Malori yenye baruti vilipushi yalitumika kutekeleza mashambulio mbele ya balozi. Idadi ya waathirika: Zaidi ya watu 300 (Tanzania na Kenya) waliuwawa huku 4000 wakijeruhiwa...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Bustani (dunia) yetu ni simulation, unawezaje kurekebisha kanuni ya uhai wako na ku-play in matrix. Huwezi kurekebisha code(msimbo) wako kwa unasoma tu. Lazima urekebishe data(ufahamu) wako...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
hii ni picha ya dunia iliyotokana na CGI,na nyingine nyingi kama tunaweza kushare,unaweza kutazama kwa umakini picha halisi na isiyo halisi yaani za kuundwa na computer kupelekea kufanana kama...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Kheri nusu shari kuliko shari kamili, wanaoukuja kuchukua vitambulisho vya taifa ni kama heading inavyosema ni vizuri kuchukua hatua kabla ya ajali. Je wameukana uraia wao huko walikotoka. Vyombo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hebu tusome hadithi hizi za kushangaza kuhusiana na makundi ya mafia. Ukijisikia kuchangia, wewe changia, lakini dhumuni kuu ni kuelimishana na kupass time kwani leo ni jumatatu,wengi bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ni swali dogo fikirishi kidogo . leo hii ukiulizwa wamisri bila shaka kabisa utasema ni waarabu. ukiulizwa wazambia utasema ni waafrika. ukiulizwa wamarekani/faransa utasema ni wazungu. ukiulizwa...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari wakuu, Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake...
15 Reactions
325 Replies
27K Views
Jana wakati nipo katika mizunguko yangu pale Kawe - Dsm lilitokea jambo ambalo nilikuwa nasikia katika hadithi za vijiweni but for the first time nlikuwa katika scene iliyomuhusisha kijana mmoja...
12 Reactions
59 Replies
10K Views
Almost half of the global population believes in the concept of re-incarnation. This is a belief of the soul re-living the physical life after the death of an individual. The form and status of...
4 Reactions
215 Replies
31K Views
Kwanini Marekani ! Kila Kichwa Cha Mtu Duniani Anasema Yake Kwa Amerika Ivi Nchi Ya Marekani Wanategemea Nini Haswa Kwa Ubabe Wake Ambacho Ukikipata Hicho Umemuua Mwamerika Ni Nini Icho Na...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Excluding few freethinkers and philosophers, good number of human race believe in scriptures. Can somebody give me the logical reasons behind this fate..?
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wakuu! Nimeanzisha uzi huu kujaribu kutoa utetezi kinyume na hoja inayopinga uwepo wa Mungu kwa hoja kwamba ulimwengu huu unathibitisha kwamba 'Mungu mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote'...
2 Reactions
97 Replies
9K Views
Mnyama huyu hufahamika pia kwa jina la ndovu au kwa lugha ya kigeni huitwa Elephant, lakini pia jina lake la kisayansi hufahamika kama Loxodanta Africana. Tembo ndio mnyama pekee ambaye ni...
15 Reactions
73 Replies
33K Views
Back
Top Bottom