What has God created since the last day of creation?

comred

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,875
2,000
Who would know this answer? Maybe someone who is in contact with the Almighty? Manabii/wachungaji/matapeli wetu

And if someone was in touch with the Almighty, I can think of better questions to be asking than what his achievements were since Genesis.

This is my question.
 
davisoni

davisoni

JF-Expert Member
May 3, 2014
384
500
Hao matapeli, zero brain waweke pembeni kwanza..
Nyote mnaoamini kwahuyu mungu wenu hamjawahi kujiuliza hili swali.?! au mzuka wa kuumba umemuisha..
Mkuu Jana tu huyo Mungu aliniponya,kwangu Mungu ni mwema na ananijali mno.Hayo mengine ngoja tuwasubiri kina prophet Tito wa milembe
 
comred

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,875
2,000
Mkuu Jana tu huyo Mungu aliniponya,kwangu Mungu ni mwema na ananijali mno.Hayo mengine ngoja tuwasubiri kina prophet Tito wa milembe
Alikuponya au ulikua unaillusinate tuu..
Wewe umejuaje uliponywa na mungu au kukariri ndio kumekuaminisha
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
799
250
Who would know this answer? Maybe someone who is in contact with the Almighty? Manabii/wachungaji/matapeli wetu

And if someone was in touch with the Almighty, I can think of better questions to be asking than what his achievements were since Genesis.

This is my question.
see he created everyhting and said everything is beautful and wonderfull ..after sixth day
 
davisoni

davisoni

JF-Expert Member
May 3, 2014
384
500
Alikuponya au ulikua unaillusinate tuu..
Wewe umejuaje uliponywa na mungu au kukariri ndio kumekuaminisha
Ni kukariri ndo kumenifanya kuamini.
Pia kuna mungu na Mungu hivi ni vitu viwili tofauti,wangu ni Mungu mwingi wa rehema na fadhili.
 
kopites

kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
5,665
2,000
Who would know this answer? Maybe someone who is in contact with the Almighty? Manabii/wachungaji/matapeli wetu

And if someone was in touch with the Almighty, I can think of better questions to be asking than what his achievements were since Genesis.

This is my question.
Ushatanguliza dharau kwenye swali lako,kwa hio unastahili ujibiwe upumbavu tu.
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
12,913
2,000
Nabii Tito analeta jibu sasa hivi
 
G

gasozi

Member
Jun 8, 2019
17
45
Hata mfanya biashara akishaiwezesha biashara yake hutegemea ijiendeshe hivyo na viumbe hai baada ya kuumbwa wanaendelea kujiumba hivyo usimchafue masikio Mungu kwa hayo maswali yako.
 
comred

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,875
2,000
see he created everyhting and said everything is beautful and wonderfull ..after sixth day
Alimsumulia nani haya yote..
Au ni hivi vitabu vyenu vya na waandishi ma Plagiarist na Hearsay zao..

Turudi kwenywe swali ni lipi aliloliumba kama yeye bado ni muumbaji au kashastaafu..?!
 
geniusbaraka

geniusbaraka

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
799
250
Kama kakuumba ww na mimi na kila mtu na kila kitu .. atashindwa kuweka maelezo hayo??
Alimsumulia nani haya yote..
Au ni hivi vitabu vyenu vya na waandishi ma Plagiarist na Hearsay zao..

Turudi kwenywe swali ni lipi aliloliumba kama yeye bado ni muumbaji au kashastaafu..?!
 
comred

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,875
2,000
Ni kukariri ndo kumenifanya kuamini.
Pia kuna mungu na Mungu hivi ni vitu viwili tofauti,wangu ni Mungu mwingi wa rehema na fadhili.
Ukiweza kutoa ushaidi wa huo uponyaji wako, hapo ndipo tuwaeza kuamini usemacho..
Kama ni hizo shuhuda zenu zakuigiza, pole sio wote utawapotosha na huu utapeli wenu
 
comred

comred

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
1,875
2,000
Kama kakuumba ww na mimi na kila mtu na kila kitu .. atashindwa kuweka maelezo hayo??
Uumbaji upo kwenye mawazo yako na dogmas ulizolishwa kanisani..

Wewe umezaliwa na mama yako ujaumbwa kama unavyo dhani..
Bila mama yako na mbegu ya Mzee wako usinge exist..

Bora uwatukuze wazazi wako na sio mungu ambae ni wakufikirika tuu
 
Top Bottom