Overpopulation: A problem or not?

tfrunited

Member
Jun 26, 2019
10
2
Overpopulation is a major cause of most of the world’s problems. Whether it is a question of food shortage, lack of drinking water or energy shortages, every country in the world is affected by it – or will be. Partly thanks to the import of goods from abroad, any particular country is able to maintain its own welfare. But this cannot go on in an unlimited way. The world population is threatening to rise from the current 7 billion to 11 billion according to the UN. There is a good chance that more and more countries will need their own products themselves. All continents except Africa have a total fertility rate around 2 children per woman, but Africa has an alarming total fertility rate around 4, which will result in an African population around 4.4 billion in 2100 from the current 1.3 billion if nothing is done. The African population boom is unsustainable
and more action is needed to slow down the rapid population growth of Africa. If the problem won't be taken seriously enough by governments and other powerfull organisations, the result will be huge global environmental problems, terrorism, wars and massive global poverty everywhere. It will also harm the richest countries.

Our planet can offer a quality of life comparable to that enjoyed in the European Union to no more than 3 billion people. With a population of 11 billion, welfare per person on a world scale will drop to that of a poor farmer who can scarcely provide sufficient food for himself and knows nothing of welfare. The climate is changing – and it matters little whether this can be blamed on human activity or on changes in the solar system. The sea level only has to rise slightly in order to cause a great deal of valuable agricultural land to disappear.
Human beings have a tendency to want more and more welfare. World-wide the numbers of cars, planes and refrigerators are increasing before our very eyes. But there will come a time when population growth and welfare collide. There is a reasonably good chance that floods of people will trek all over the world searching for more food and welfare.

Technicians are only too happy to point to technology that has solutions to all our problems up its sleeve. Unfortunately technical solutions have not as yet been able to combat world hunger in any significant way. Wherever there is no recognition or solving of the problems on a worldwide scale, war and violence would seem to be inevitable: Everyone wants to survive.

The business world and the religions are generally only interested in population growth. Allowing welfare to shrink is often just as difficult for the rich as fleeing from poverty is for the poor. The only solution for the continuing population growth is more investments in the poorest regions of the world. Some African nations have decent total fertility rates, but in a large amount of African nations, women still have around 6 children on average, which is unsustainable. Some countries also have too low birth rates, like Singapore with a TFR around 1. A very fast population decline will also result in problems, a balanced total fertility rate between 1.5 and 2 is needed in every country for the best of the world.

Education, especially for women, and free contraception helped a lot of poor countries with a rapid increase in living standards. Kenya did a great job for example with taking its population growth problems seriously. In the 1970s, they had a TFR of 8 and it is estimated to be 2.3 in 2020. They became one of the highest developed African countries. In countries with the highest birth rates, women often don't have the freedom to choose their amount of children, with social and religious pressure, lack of contraception and lack of education. The $2.5 billion "Family Planning 2020" project, which was founded by Bill and Melinda Gates, takes the population growth problem seriously and invested in a large amount of money in free contraception for the poorest regions of the world. This way, women will have more freedom in their choice for the amount of children they want, which is a great step forward. The next step for the poorest African countries in economic development can only be taken when their population growth will decline fast. Fortunately, a lot of African governments also started to take the problem seriously, but they often lack funds to have a huge impact. I hope governments and organisations will invest more in Africa to decline its unsustainable rapid population growth.

Please also read these articles about population growth:

http://theconversation.com/niger-ha...te-and-that-may-be-a-recipe-for-unrest-108654
https://sciencing.com/environmental-problems-due-population-growth-8337820.html
https://ourworldindata.org/exports/population-growth-rates_v7_850x600.svg
https://www.who.int/news-room/detail/11-09-2018-global-hunger-continues-to-rise---new-un-report-says
https://www.eurekalert.org/pub_releases/2019-05/jhub-pif052019.php
https://www.familyplanning2020.org/

The problem is that demographic scientists said that the world has resources for 3 billion people if all want to have living standards like in the European Union or United States. We currently have 7 billion and will be growing to 11 billion if the huge population growth in Africa won't stop. Africa growing from 1.3 billion now to 4.4 billion in 2100 will result in global environmental problems, mass starvation, more mass poverty, wars, famines, unemployment and so on. Yes, Africa is large, but there's a limit of fertile land and resources. Economies can only develop when its birth rates are around 2.

Country - Total fertility rate - Population above 10 million

Niger 5.9 Yes
Mali 5.5 Yes
Somalia 5.5 Yes
Burundi 5.3 Yes
South Sudan 4.9 Yes
Uganda 4.9 Yes
Angola 4.8 Yes
Nigeria 4.7 Yes
Zambia 4.6 Yes
Burkina Faso 4.5 Yes
Guinea 4.5 Yes
Benin 4.4 Yes
Liberia 4.1 No
Malawi 4.1 Yes
Mozambique 4.1 Yes
Afghanistan 3.9 Yes
DR Congo 3.9 Yes
Senegal 3.9 Yes
Sierra Leone 3.9 No
Timor-Leste 3.9 No
Chad 3.8 Yes
Equatorial Guinea 3.8 No
Eritrea 3.8 No
Guinea-Bissau 3.8 No
São Tomé and Príncipe 3.8 No
Madagascar 3.7 Yes
Togo 3.7 No
Mauritania 3.6 No
Central African Republic 3.5 No
Rwanda 3.5 Yes
Sudan 3.5 Yes
Cameroon 3.4 Yes
Zimbabwe 3.4 Yes
Comoros 3.2 No
Congo 3.2 No
Ethiopia 3.2 Yes
The Gambia 3.2 No
Yemen 3.2 Yes
Côte d’Ivoire 3.1 Yes
Jordan 3.1 No
Tanzania 3.0 Yes
Iraq 2.9 Yes
Marshall Islands 2.9 No
Solomon Islands 2.9 No
Tonga 2.9 No
Tuvalu 2.9 No
Vanuatu 2.9 No
Papua New Guinea 2.8 No
Gabon 2.7 No
Ghana 2.7 Yes
Nauru 2.7 No
Philippines 2.7 Yes
Egypt 2.6 Yes
Samoa 2.6 No
Belize 2.5 No
Eswatini 2.5 No
Guatemala 2.5 Yes
Honduras 2.5 No
Kyrgyz Republic 2.5 No
Lao PDR 2.5 No
Lesotho 2.5 No
Oman 2.5 No
Tajikistan 2.5 No
Bolivia 2.4 No
Haiti 2.4 Yes
Israel 2.4 No
Pakistan 2.4 Yes
Cambodia 2.3 Yes
Fiji 2.3 No
Kenya 2.3 Yes
Kiribati 2.3 No
Micronesia 2.3 No
Syria 2.3 Yes
Botswana 2.2 No
Djibouti 2.2 No
Dominican Republic 2.2 Yes
Kuwait 2.2 No
Panama 2.2 No
Venezuela 2.2 Yes
Argentina 2.1 Yes
Bhutan 2.1 No
Cabo Verde 2.1 No
Ecuador 2.1 Yes
India 2.1 Yes
Kazakhstan 2.1 Yes
Mexico 2.1 Yes
Myanmar 2.1 Yes
South Africa 2.1 Yes
St. Vincent and the Grenadines 2.1 No
Turkey 2.1 Yes
Bangladesh 2.0 Yes
Brazil 2.0 Yes
Dominica 2.0 No
France 2.0 Yes
Grenada 2.0 No
Indonesia 2.0 Yes
Libya 2.0 No
Malaysia 2.0 Yes
Mongolia 2.0 No
Morocco 2.0 Yes
Nepal 2.0 Yes
New Zealand 2.0 No
Palau 2.0 No
Peru 2.0 Yes
Saudi Arabia 2.0 Yes
Sri Lanka 2.0 Yes
Turkmenistan 2.0 No
United States 2.0 Yes
Uruguay 2.0 No
Antigua and Barbuda 1.9 No
Colombia 1.9 Yes
DPR Korea 1.9 Yes
Guyana 1.9 No
Iceland 1.9 No
Ireland 1.9 No
Jamaica 1.9 No
Namibia 1.9 No
Paraguay 1.9 No
Suriname 1.9 No
Sweden 1.9 Yes
The Bahamas 1.9 No
Tunisia 1.9 Yes
Azerbaijan 1.8 Yes
Costa Rica 1.8 No
Denmark 1.8 No
El Salvador 1.8 No
Iran 1.8 Yes
Nicaragua 1.8 No
Norway 1.8 No
Qatar 1.8 No
Russia 1.8 Yes
Seychelles 1.8 No
St. Kitts and Nevis 1.8 No
United Kingdom 1.8 Yes
Algeria 1.7 Yes
Australia 1.7 Yes
Bahrain 1.7 No
Belgium 1.7 Yes
Brunei 1.7 No
Chile 1.7 Yes
Cuba 1.7 Yes
Czech Republic 1.7 Yes
Finland 1.7 No
Georgia 1.7 No
Latvia 1.7 No
Lebanon 1.7 No
Maldives 1.7 No
Netherlands 1.7 Yes
St. Lucia 1.7 No
Trinidad and Tobago 1.7 No
United Arab Emirates 1.7 No
Uzbekistan 1.7 No
Vietnam 1.7 Yes
Armenia 1.6 No
Barbados 1.6 No
Bulgaria 1.6 No
Canada 1.6 Yes
Estonia 1.6 No
Germany 1.6 Yes
Liechtenstein 1.6 No
Lithuania 1.6 No
Luxembourg 1.6 No
Montenegro 1.6 No
Romania 1.6 Yes
Slovenia 1.6 No
Albania 1.5 No
Austria 1.5 No
China 1.5 Yes
Moldova 1.5 No
Monaco 1.5 No
North Macedonia 1.5 No
San Marino 1.5 No
Serbia 1.5 No
Spain 1.5 Yes
Switzerland 1.5 No
Thailand 1.5 Yes
Ukraine 1.5 Yes
Andorra 1.4 No
Belarus 1.4 No
Bosnia and Herzegovina 1.4 No
Croatia 1.4 No
Cyprus 1.4 No
Greece 1.4 Yes
Hungary 1.4 No
Italy 1.4 Yes
Japan 1.4 Yes
Malta 1.4 No
Mauritius 1.4 No
Poland 1.4 Yes
Portugal 1.4 Yes
Slovak Republic 1.4 No
Korea 1.2 Yes
Singapore 1.2 No

As you can see, the poorest countries have the highest TFR. The richest countries have the lowest. We should invest more in education and free contraception for the poorest regions. This way, Africa can really develop.

Here's another article called "Africa’s high birth rate is keeping the continent poor":

No wonder Ebola na HIV zimekomaa sana Africa

Na sasa hivi chanjo za Hepatitis na Kansa za Vizazi kwa mabinti wadogo

Watu pesa hamna afu mnazaa sanaaa

Japo Mungu ndo alitutuma jmn tuijaze nchii
 
Hakuna kitu kama hicho, Over popoulation haiwezi na haitaweza kuwa tatizo hata siku moja abadan, wanaosema kuwa over population ni tatizo watakuwa na agenda yao mbaya dhidi ya ulimwengu.
 
Agenda yao mbaya dhidi ya ulimwengu ni ipi?
Hakuna kitu kama hicho, Over popoulation haiwezi na haitaweza kuwa tatizo hata siku moja abadan, wanaosema kuwa over population ni tatizo watakuwa na agenda yao mbaya dhidi ya ulimwengu.
 
NEW WORLD ORDER, kampeni zote zinazofanywa juu ya kile kinaitwa oveepopulation ni planned compaign ya kupunguza watu kuelekea new world order.

Over population haiwezi kuwa tatizo na haitakuwa tatizo, zalianeni kwa wingi ardhi ya Allaah ni kubwa mno ameitandaza kwa ajili yetu.

Achaneni na vioja vya makafiri
 
New world order ni nini?
Dunia itakua sehemu mbaya au salama zaidi ktk hiyo new world order?
Makafiri ni watu gani?
Mtu akizaa watoto wangapi wanahesabiwa ni wengi au wachache?
NEW WORLD ORDER, kampeni zote zinazofanywa juu ya kile kinaitwa oveepopulation ni planned compaign ya kupunguza watu kuelekea new world order.

Over population haiwezi kuwa tatizo na haitakuwa tatizo, zalianeni kwa wingi ardhi ya Allaah ni kubwa mno ameitandaza kwa ajili yetu.

Achaneni na vioja vya makafiri
 
Overpopulation is a major cause of most of the world’s problems. Whether it is a question of food shortage, lack of drinking water or energy shortages, every country in the world is affected by it – or will be. Partly thanks to the import of goods from abroad, any particular country is able to maintain its own welfare.
Wenzenu wanaogopa nyinyi kuongezeka kwenu kwa kuwa wao hawana uwezo wa kuzaana, nyinyi mnabwia tuu theories bila ya kujua kiini chake.
 
Tatizo wote mnaliangalia swala hili katika uono tofauti. Ninachoamini mimi ni kwamba mother nature has her ways in controlling the population. Like S shaped growth curve ya bacteria binadamu nayo ipo hivyo hivyo. Up there, there is always a way for mother nature to control us. Kama binadamu tutashindwa kusolve hii issue like the advanced species we claim to be, then mother nature will take care of that. And believe me she always does...
 
Wana matatizo ya nguvu za kiume?
Kwa nini wanaogopa sisi kuongezeka kwetu?
Wenzenu wanaogopa nyinyi kuongezeka kwenu kwa kuwa wao hawana uwezo wa kuzaana, nyinyi mnabwia tuu theories bila ya kujua kiini chake.
 
Kama unasema "Kama binadamu watashindwa ku solve hii issue" uono wako tofauti ni upi hapo? Sio ndio maana kuna birth control plans na initiatives nyinginezo!
Tatizo wote mnaliangalia swala hili katika uono tofauti. Ninachoamini mimi ni kwamba mother nature has her ways in controlling the population. Like S shaped growth curve ya bacteria binadamu nayo ipo hivyo hivyo. Up there, there is always a way for mother nature to control us. Kama binadamu tutashindwa kusolve hii issue like the advanced species we claim to be, then mother nature will take care of that. And believe me she always does...
 
Wana matatizo ya nguvu za kiume?
Kwa nini wanaogopa sisi kuongezeka kwetu?
Vyakula vingi vinavyohitajika mwilini ili kuwa na nguvu za kiume, emotional balance, kujizuia na magonjwa n.k havipatikani nchi za baridi. Vyakula hivi huchukuliwa Afrika na Amerika ya kusini, kama pupulation ikiongezeka sehemu hizo wao hawataweza pata vyakula hivyo.

Pia kuna udhaifu wa kinasaba, miili yao haiwezi kuhimili misukosuko ya kiasili mfano joto kali, magonjwa na tabu nyingi. Na kutokana na utamaduni wa kijali vitu badala ya watu, wanatumia muda mwingi kuchuma badala kujenga familia. Kwa hiyo ni jambo la muda tuu kwa wao kutoweka, hivyo wanachofanya ni kuweka mazingira ili watu wa mabara mengine wapungue ili kusiwe na ushindani wa malighafi/chakula/maji hapo baadae.
 
1.Joto kali kama ilivyo baridi kali sio misukosuko ya kiasili,wenye akili wameweza kutengeneza heaters na majokufu/AC kukubali a na hali zote mbili.
2.Kama magonjwa yanawasumbua zaidi wazungu kwa nini Africa ndio inaongoza kwa vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza,yanayozulika na kutibika?
3.Kama wanajali vitu zaidi, Hospitali bora, reli na barabara nzuri,shule na vyuo bora, food stamps n.k vinajengwa na kuwekwa kwa ajili ya nani huko kwao?
4.Kwa nini waogope ushindani wa malighafi kutokana na watu kuzaliana Afrika wakati wao ndio soko kuu na la uhakika la malighafi hizo kwa Waafrika wenyewe wanaozizalisha?
China nayo ambayo ina sera ya watoto wawili kwa familia moja inaogopa ushindani gani wa malighafi?
5.Wakati Ulaya Ilipokuwa na birth rate kubwa karne ya 13-14 kabla ya kufika mabara mengine walikuwa wanapata wapi hivyo vyakula?
Ni udhaifu wa kinasaba, miili yao haiwezi kuhimili misukosuko ya kiasili mfano joto kali, magonjwa na tabu nyingi. Pia kutokana na hali utamaduni wa kijali vitu badala ya watu, wanatumia muda mwingi kuchuma badala kujenga familia.

Kwa hiyo ni jambo la muda tuu kwa wao kutoweka, hivyo wanachofanya ni kuweka mazingira ili watu wa mabara mengine wapungue ili kusiwe na ushindani wa malighafi/chakula/maji hapo baadae.
 
1.Joto kali kama ilivyo baridi kali sio misukosuko ya kiasili,wenye akili wameweza kutengeneza heaters na majokufu/AC kukubali a na hali zote mbili.
Siongelei watu wachahe wenye uwezo naongelewa idadi kubwa ya watu kwa pamoja (collectively), sio wote wenye uwezo kulipia umeme ndiyo maana kuna states nyingi Marekani wana sheria ya cold weather rule inayozuia wananchi kukatiwa umeme wakati wa baridi hata kama wanadeni kubwa.
2.Kama magonjwa yanawasumbua zaidi wazungu kwa nini Africa ndio inaongoza kwa vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza,yanayozulika na kutibika?
Magonjwa siyo lazima yawe ya kipindupindu, ADHD, DHD, kansa na stress pia ni magonjwa ambayo kwa kiasi yanatokana na vyakula visivyo na virutubisho asilia (GMO). Again, naongelea miaka mingi ijayo naomba unielewe.
3.Kama wanajali vitu zaidi, Hospitali bora, reli na barabara nzuri,shule na vyuo bora, food stamps n.k vinajengwa na kuwekwa kwa ajili ya nani huko kwao?
Nilichomaanisha ni kuwa hawataki kuzaa watoto wakiwa vijana, wanazaa baadae sana ambapo mayai ya mwanamke yapo hatarini kuwa na genetic disorder, sasa unapokuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaopata mtoto wa kwanza akiwa na umri kuanzia miaka 40 unakuwa na taifa lenye watoto wengi wenye down syndrome na hivyo kuwa na hatari ya kizazi ambacho siyo producive huko mbeleni.
4.Kwa nini waogope ushindani wa malighafi kutokana na watu kuzaliana Afrika wakati wao ndio soko kuu na la uhakika la malighafi hizo kwa Waafrika wenyewe wanaozizalisha?
Wanaogopa kwakuwa wamejifunza kutoka China ambayo imeendela kwa haraka sana katika kipindi cha miaka 30 tuu bila kunyonya nchi yoyote kama wao walivyofanya kwenye utumwa na ukoloni kwa kuwa tuu China ina idadi kubwa ya watu.
China nayo ambayo ina sera ya watoto wawili kwa familia moja inaogopa ushindani gani wa malighafi?
China walidanganywa na hiyo sera zamani lakini umeona sera ya mtoto mmoja ilivyowaharibu? Sasa hivi male to female ratio ni kubwa kuliko inavyotakiwa na hii ni hatari sana kwa amani ya nchi ndiyo maana China wameamua kuwaruhusu wanaume waende nje ya china ili kuleta uwiano na wameondoa ile sera yao ya mtoto mmoja.
 
1.Umeme sio luxury Ulaya kama ilivyo Africa,ni bidhaa ya kawaida inayopatikana kwa wingi kwa kila mtu(Wanauzalisha kupitia nyuklia,coal,gas,mafuta,maji,upepo,jua)
2.Magonjwa uliyotaja(hasa ni disorders) mbona hazihusiahani kabisa na vyakula?
3.Wastani wa mwanamke kuzaa Ulaya ni miaka 27 Kwa mataifa 22,na machache yaliyobaki ni miaka 33
4. Kwa nini India yenye Idadi sawa ya watu na China haijaendelea kwa haraka kama China?
5.Katika elimu ya population ni Male-Female ratio gani ambayo inapendekezwa ili kuhifadhi Amani?
Ulisoma au kusikia wapi kwamba China imeruhusu wanaume waende nchi nyingine ku balance hiyo ratio?
Ni kiasa gani cha wanawake wa China wanaondoka nchini kwao kwenda kuishi na kuoelewa mataifa mengine?
6.Kwa nini wazungu wa America ya kusini,ya Kati,na Mexico ambapo bado kuna kiwango kikubwa cha umaskini wanazaliana kwa kiwango kikubwa kuliko wenzao wa Ulaya, Canada na US waliondelea zaidi?
7.Kwa nini Russia yenye nishati ya kutosha,vyakula, rasimali nyingi (haitegemi rasimali kutoka nje,inajitosheleza kwa kiwango kikubwa),serikali yao pia inalipa wanawake wanaozaa lakini ni nchi yenye birth rate ndogo zaidi Ulaya/Asia?.
Siongelei watu wachahe wenye uwezo naongelewa idadi kubwa ya watu kwa pamoja (collectively), sio wote wenye uwezo kulipia umeme ndiyo maana kuna states nyingi Marekani wana sheria ya cold weather rule inayozuia wananchi kukatiwa umeme wakati wa baridi hata kama wanadeni kubwa.

Magonjwa siyo lazima yawe ya kipindupindu, ADHD, DHD, kansa na stress pia ni magonjwa ambayo kwa kiasi yanatokana na vyakula visivyo na virutubisho asilia (GMO). Again, naongelea miaka mingi ijayo naomba unielewe.

Nilichomaanisha ni kuwa hawataki kuzaa watoto wakiwa vijana, wanazaa baadae sana ambapo mayai ya mwanamke yapo hatarini kuwa na genetic disorder, sasa unapokuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaopata mtoto wa kwanza akiwa na umri kuanzia miaka 40 unakuwa na taifa lenye watoto wengi wenye down syndrome na hivyo kuwa na hatari ya kizazi ambacho siyo producive huko mbeleni.

Wanaogopa kwakuwa wamejifunza kutoka China ambayo imeendela kwa haraka sana katika kipindi cha miaka 30 tuu bila kunyonya nchi yoyote kama wao walivyofanya kwenye utumwa na ukoloni kwa kuwa tuu China ina idadi kubwa ya watu.

China walidanganywa na hiyo sera zamani lakini umeona sera ya mtoto mmoja ilivyowaharibu? Sasa hivi male to female ratio ni kubwa kuliko inavyotakiwa na hii ni hatari sana kwa amani ya nchi ndiyo maana China wameamua kuwaruhusu wanaume waende nje ya china ili kuleta uwiano na wameondoa ile sera yao ya mtoto mmoja.
 
1.Umeme sio luxury Ulaya kama ilivyo Africa,ni bidhaa ya kawaida inayopatikana kwa wingi kwa kila mtu(Wanauzalisha kupitia nyuklia,coal,gas,mafuta,maji,upepo,jua).
Sijasema ni luxury ila hapa US watu wengi tuu wanashindwa kulipia umeme, kumbuka watu milioni 40 US ni masikini.
2.Magonjwa uliyotaja(hasa ni disorders) mbona hazihusiahani kabisa na vyakula?
Matatizo ya ADHD na wenzake yanatokana na imbalance ya brain chemistry ambayo hutokana na kukosekana kwa building blocks za kuwezesha mwili kutengeneza chemicals zinazotakiwa. Unaweza pendelea kuita disorder ila ni magonjwa tuu kwakuwa ugonjwa wowote ni disorder ya mwili kufanya kazi sawia.

Vyakula vingi US siyo vya asili, vingi vina kemikali nyingi kutoka kwenye pesticides na presevatives na vyakula vingine vimerutubishwa kinasaba (genetic engineered), hivyo mtu akila hapati virutubisho sahihi. Mavyakula yana ma hydocaborn ya long chain ya ajabu ajabu, sasa mwili unashindwa kujua mimeng'enyo gani itumike (enzymes) ili ku extract nutrients. Kwa hiyo mtu anakosa virutubisho sahihi na matokea yake anapata kansa na madudu ya ajabu ajabu.
3.Wastani wa mwanamke kuzaa Ulaya ni miaka 27 Kwa mataifa 22,na machache yaliyobaki ni miaka 33
Natumaini unafahamu kuwa mayai ya uzazi mwanamke anazaliwanayo (hatengenezi), na anapofikia umri wa miaka 30 zaidi ya robo tatu yanakuwa yameharibika. Hivyo kwa wastani ulioutoa bado ni asilimia kubwa sana ya wanawake itakayo athirika na kusababisha kupungua kwa population katika kipindi cha miaka 100 ijayo.
4. Kwa nini India yenye Idadi sawa ya watu na China haijaendelea kwa haraka kama China?
Hilo ni jambo la sera za nchi. China hawakuwa na michezo michezo ya demokrasia kwenye maendeleo, wao ukikosea unauwawa, sasa India wanamichanganyiko ya mambo mengi ikiwemo matabaka kwenye jamii. Hayo yote yanazorotesha maendelao.

5.Katika elimu ya population ni Male-Female ratio gani ambayo inapendekezwa ili kuhifadhi Amani?
Ulisoma au kusikia wapi kwamba China imeruhusu wanaume waende nchi nyingine ku balance hiyo ratio?
Ni kiasa gani cha wanawake wa China wanaondoka nchini kwao kwenda kuishi na kuoelewa mataifa mengine?
Vitu vingine sio mapaka upigiwe tarumbeta masikioni ndio uelewe nini kinaendelea, wachina hata wakifanya kosa wakiwa nje ya nchi yao, serikali yao haisaini makaratasi ili warudishwe kwao. Wanaume wa kichina wamejazana kila nchi Afrika wakitafuta fursa lakini huoni wanawake.

Kuhusu ugomvi kutokana na kuwa na wanaume wengi hilo halina hata mjadala, hiyo ndiyo asili. Ukichunguza ugomvi mwingi utakuta vyanzo ni wanawake. Mtu atatafuta pesa ili awe na status ya kupata mwanamke fulani, atanunua gari, nguo nzuri, nyumba kubwa ili tuu apate mwanamke mzuri, wazae watoto na mlolongo ujirudie. Sasa unapokuwa na wanawake wachache maugovi ya hapa na pale yanakuwa mengi na nchi badala ya kufanya maendeleo inatumia muda mwingi kutatua magogoro. kumbuka naongelea mamilioni ya watu hapa.
6.Kwa nini wazungu wa America ya kusini,ya Kati,na Mexico ambapo bado kuna kiwango kikubwa cha umaskini wanazaliana kwa kiwango kikubwa kuliko wenzao wa Ulaya, Canada na US waliondelea zaidi?
Unamaana gani kusema wazungu wa Amerika ya kusini?
7.Kwa nini Russia yenye nishati ya kutosha,vyakula, rasimali nyingi (haitegemi rasimali kutoka nje,inajitosheleza kwa kiwango kikubwa),serikali yao pia inalipa wanawake wanaozaa lakini ni nchi yenye birth rate ndogo zaidi Ulaya/Asia?.
Pupolation ya Russia ilipungua kutokana na anguko la Sovieti, wengi walikimbia nchi yao, wengine walikufa kutokana na hali mbaya ya uchumi.

Fertility rate yao siyo ndogo kuliko Ulaya, Norway, Switzland, Denmark,Germany wanayo rate ndogo kuliko Russia.
 
Kila mwanamke wa Tanzania anahitaji angalau kuwa na watoto wangapi ili tuweze kuwa na idadi ya kutosha ya watu kujaza vizuri hospitali zetu,shule zetu,ili tuweze kuwa na teknolojia zetu wenyewe kuvuna rasilimali zetu wenyewe,ili tuweze kununua na kuchakata malighafi zetu wenyewe pamoja na kuwa soko la bidhaa zetu wenyewe,ili tuweze kulima ardhi yote ambayo haifanywii kazi kutokana na uchache wetu ili mwisho wa siku tuendelee kama China kutokana na wingi wetu?

Back
Top Bottom