Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Ukweli juu ya mchezo wa Jumanji

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,196
Reaction score
10,708
Habarini za uzima wakuu, naomba kuleta kwenu uzi huu unaohusu mambo kidogo juu ya mchezo wa Jumanji ambao umepelekea mpaka kutolewa kwa movie mbili zenye matukio ya kufanana.
Karibuni.
Kwa wale ndugu zangu wanaofuatilia movie ni matuamaini yangu kuwa umekwisha kupitia movie ya Jumanji ya Desemba 15 mwaka 1995, pamoja na ile ya tarehe 5 Desemba mwaka 2017 huku tukitegemea ujio wa Jumanji 3 mwaka huu tarehe 12 Desemba.
Twende kwenye mada haswa:
Jumanji ni mchezo ya kimiujiza au yenye kuhusisha masuala ya giza.Jumanji , ni neno la kizulu lenye maana ya “many effects”, au kwa kiswahili "madhara mengi". Ni miongoni mwa michezo hatari pamoja na Ouija. Ni mfano wa mchezo wa draft ila huu ni kitabu kinachofunguliwa ili mchezo uanze.
Kutokana na taarifa za siri sana kutoka vyama vya siri inadaiwa kuwa Jumanji ni zao la watu wawili, hawa ni waaguzi na wachawi wawili katika daraja la juu sana. Mmoja ni kutoka Afrika na mwingine ni Muingereza katikati ya miaka ya 1800. Hawa jamaa walikuwa ni mashabiki na wapenzi sana wa masuala ya kishetani. Na walitamani kutengeneza kitu ili iwe kama ukumbusho wa mapenzi yao kwenye fani ya nguvu za giza. Pia walipewa nguvu na msukumo mkubwa ulitokana na ile hali ya wazungu kupenda kutembea maporini na misitu mikubwa al maarufu kama Safaris ndani ya falme za kiafrika kwa wakati huo. Ingawa mwanzoni nia yao ilikuwa njema kwani walitaka kuwazungusha tu mwisho wapoteze hamu ya kuja tena Afrika, ila baadaye mchezo ukawa ni wa kuleta hata kifo na ulemavu.
Ijapokuwa wao ndo walikuwa kama sample ya kujaribu mchezo huo ila matokeo yakawa hasi kwani ndo ilikuwa kifo chao. Mwanzoni walitamani pia wapate maisha ya milele wakiwa ndani ya mchezo huo. Yaani inasemekana wamekwisha kufariki ila katika huo mchezo wapo hai.
Ubaya wa mchezo huu:
1. Kuna wanyawa wakali ambao nia yao na kuua na sio kujeruhi bila hata ya sababu.
2. Kuna mimea ambayo ni ya ajabu yaani inaweza kukujeruhi na hata kukutoa uhai.
3. Kuna misukule pamoja na viumbe kama majitu makubwa yenye kuwinda muda wote.
4. Ukicheza mchezo huu kwa miaka 10 huku tunaweza kuona ni kama nusu siku tu.
Kwa sasa inaaminika mchezo huu upo mikononi mwa Royal Family ya Uingereza.
Kwa sasa nitaishia hapo.
Asante sana!!!!
I stand to be corrected popote pale.
JUMANJI-WELCOME-TO-THE-JUNGLE-Official-Trailer-2-YouTube-1.jpeg
 
Uuu kwaiyo royal famil wanacho hiki kitabu

I stand to be corrected popote pale.View attachment 1092109
 
Sijaelewa jinsi unavyo chezwa
Mkuu naomba kukueleza kuwa jumanji ni mfano wa draft ambao umefanywa na kufunga kama kitabu.
Jinsi ya kucheza:
Mhusika akifungua kitabu hicho moja kwa anaingia ndani ya ulimwengu mpya ambao ndani yake kuna mission unapewa yenye lengo kuu moja la kusurvive Tu. Ndani ya ulimwengu huu mhusika atawindwa zaidi ya mnyama. Na wawindaji ni majitu makubwa sana pamoja na wanyama wa kutisha pamoja na mimea.
I hope nimekujibu swali lako mkuu......
 
Hapa sasa nimeelewa ...so shurti ni lazima mchezaji uwe na nguvu za kichawi ndio utaweza kumudu kucheza huo mchezo right ?
 
Sio kweli jumanji ni mtiririko wa vitabu vya bwana .......
Chris Van Allsburg,ambavyo vilikua ni kwa ajili ya watoto mbali na hicho kitabu chake chenye kuhusu hadithi hiyo ya jumanji pia alitoa zhatura,the polar exprc n.k....jumanji ni kitabu alichotoa miaka ya 1981 na mwaka 1995 kikanakiliwa katika movie hiyo jumanji ni hadithi tu myth ambayo ilikua ni kwa ajili ya watoto.

220px-Chris_van_Allsburg_-_Northborough_MA_12-2011.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom