lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,383
habari wakuu .
Kiukweli ninachangamoto katika utambuzi wa Tarehe yangu ya kuzaliwa na mwezi. japo mwaka unatambulika. nahii ilitokana na kutopata data kamili kutoka kwa mlezi.
sasa naomba kujua ni vipi naweza tambua vitu hivi kirahisi? japo katika kusomasoma machapisho yanayohusu NYOTA, nikagundua tabia zangu zina link na nyota mbili(NGE(scorpion) na KONDOO(aries) ). hapa ndipo zinanichanganya kabisa maana hzo nyota mbili zina uwinano mkubwa karibu asilimia 98. sasa msaada kwenu wakuu kuna namna yoyote yakuweza tambua tarehe au mwezi nliozaliwa ili niende sawa.maa hata birthday yangu hua nakisia kisia tu bila mpangilio. na kuamua kujifanyia mwezi wowote kama kufurahia uwepo DUNIANI.