UTATA: Nani alimuua Rais wa Congo, Laurent Kabila?

Kabisa Kwa watu tunaofuatilia historia hata kifo cha sassou nguesso pia ni propaganda za capitalism against socialism sis Kongo pekee maraisi wengi Africa wapo kwa manufaa ya wakubwa
 
CIA wameua marais wote wa Congo na marais wa nchi zote tajiri wa madini waliokufa kiutatanishi..ila kwenye process sasa hapo ndio watu kama kina kagame na kabila mtoto wametumika
Maneno yako yana kaukweli fulani hivi, ntarudi baadaye kukuonesha wapi nakubaliana na wewe
 
aljazeera kabla hawajaanza kazi ya kuosha mbwa, documentary zao zilitumia akili kubwa sana!!
baada tu ya Arab spring niliacha kuwatumia kama primary source ya habari. walikua wanamponda sana Gaddafi mpaka unajiuliza hawa ni aljazeera ama cnn,, syria kule wamebaki tu ku fabricate footage za aftermath za mashambulio ya sumu pum..bavu wale
 
Che Guevara aliwahi kumwambia Kabila "vijana wanaoendeza starehe yaani pombe na wanawake hawawezi kuleta ukombozi katika jamii ya masikini"

Aliongea hayo baada ya kuona harakati za mapambano katika kambi za wanamapinduzi wa hao ambao wengi wao walionekana wanaendekeza ulevi uliopitiliza na wanawake

Alijua kitakachofata ni usaliti
 
Back
Top Bottom