Nina mashaka na Bwana Inayat Kassam wa Kenya

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!

Jana pia pale Riverside 14 km sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.

Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!

Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?

Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!

Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
 
Kwamba ni geresha ili kufanikisha jambo gani?
 
Taka taka tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mwanaume 1.jpg
 
Hata mimi nimejiuliza...inakuwaje awepo kwenye matukio mawili ya kighaidi kwenye sehemu mbili tofauti na yaliyopishana kwa takribani miaka mitano?

Ndiyo, yawezekana ikawa ni sadfa tu.....ila hmmm.....

Hata hivyo, hongera zake. Alichokifanya ni ushujaa.
 
Kwa hali hii, wadada wazuri wataacha kupenda wazee kweli? Vijana hasa wa mijini kama Dar na Nairobi ni hoi na waoga wa kupindukia!
View attachment 996806
Dada lazima aje kulipa fadhila kwa kupandisha sketi juu, alafu anashusha kufuli chini! ALAFU ANASHIKA MAGOTI HUKU ANAZUNGUSHA NYONGA KIMUGONGO MUGONGO. Yaani hapo kama Captain America vile akiwa kazini
 
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!

Jana pia pale Riverside 14 kwa sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.

Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!

Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?

Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!

Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
Huyo ni Mwalimu wa maswali ya intelijensia na usalama na ana kampuni binafsi ya mambo ya ulinzi na usalama. Utakuta hizo sehemu zote kampuni yake inahusika kutoa ulinzi. Likitokea yeye ni kati ya watu wa mwanzo kujulishwa na ni mtu asiyengoja amri ya mtu mwengine.

Au kwa Dini yake tu?

Dah!
 
WEKA DINI KANDO KWANZA NDUGU!
 
Huyo ni Mwalimu wa maswali ya intelijensia na usalama na ana kampuni binafsi ya mambo ya ulinzi na usalama. Utakuta hizo sehemu zote kampuni yake inahusika kutoa ulinzi. Likitokea yeye ni kati ya watu wa mwanzo kujulishwa na ni mtu asiyengoja amri ya mtu mwengine.

Au kwa Dini yake tu?

Dah!
Kwa nini unapenda kuingiza udini hata kwenye mada isiyokuwa na uhusiano?
 
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo tekelezwa na Magaidi wa Al -Shaabab pale Westgate,Nairobi.Alipambana na alistahili zile heko!

Jana pia pale Riverside 14 km sikosei alifanya jambo fanani na lile alilopata kulifanya pale west gate katika Jiji hilo hilo,Nairobi.

Ninayo maswala mawili najiuliza huyo bwana kiintelinjesia kwa nini asichunguzwe kwanza hasa sababu ya kwanini mara zote katika matukio yale alikuwa sehemu ya watu waliofika mapema zaidi ya wengine na kuanza harakati za uokozi!

Je ni kweli ni msamaria mwema pekee?Je hana unasaba wowote na magaidi wale hasa kupitia utalamu wake wa mafunzo yale?

Kwanini kwa mfano jana ilikuwa rahisi mno kwa uzungu/weupe wake kudunguliwa kwa eneo na namna alivyokuwa kweupe na kuonekana na Magaidi wale?!

Hakika ninayo mengi ya kujiuliza kumhusu huyo bwana!Nashauli vyombo vya dola pale Kenya wamchunguze huyo Inyaat!Inawezekana uokozi wake ni GERESHA......!
WAMTILIE MASHAKA WAONE WATAKACHOPATA MAANA MAJASUSI HAWANA HURUMA UNAPOMZINGUA WAKATI AMEKUPA MSAADA KWA HIARI
 
Back
Top Bottom