Inawezekana uumbaji wa binadamu ulifanywa kwa majaribio

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Nimekaa na kutafakari sana hasa nikitazama sisi waafrika na kulinganisja na watu wa mabara mengine kimaendeleo katika nyanja mbalimbali kama vile kiuchumi, kijamii na kiasia.

Sikuishia hapo tu bali nimejaribi kuwaza hata tofauti iliyopo kwa watu wa bara moja na bara lingine katika swala la maendeleo ya sayansi, na teknolojia kama vile katika uvumbuzi wa zana mbalimbali za kufanyia kazi, uvumbuzi wa vifaa,uvumbuzi wa madawa,n.k na hata katika swala zima la kujitawala(demokrasia,utawala bora,utawala wa sheria),n.k

Ninachokioana ni kuwa tofauti ya mambo haya yote inawezakana inategemea na ubora wa binadamu mwenyewe kulingana na bara anakopatikana binadamu huyo.

Hii inanifanya niwaze huenda binadamu tuliumbwa kwa majaribio na uumbaji wa kupata binadamu bora ulikamika baada ya majaribio matano ya awali na katika jaribio la sita ndio akapatikana binadamu bora kabisa.

Kwanini nafikiri kumekuwepo na majaribio sita?

Msingi wa fikra hii ni uwepo wa mabara sita katika hii dunia na maendeleo ya watu katika bara moja kulinganisha na watu wa bara lingine na pia tofauti ya rangi,kiakili,n.k wa watu kulingana na mabara haya.

Inawezekana kabisa kila bara lilipangiwa kupokea mtu wa jaribio namba fulani kuanzia jaribio namba moja mpaka jaribio namba 6.

Yaani mtu alieumbwa mwanzo kabisa(katika jaribio la kwanza) aliwekwa bara fulani na baada ya kuona mtu huyo ana mapungufu maboresho yakafanyika katika jaribio la pili na mtu huyo akahamishiwa katika bara namba mbili na utaratibu huu wa kufanya maboresho ukaendelea mpaka akapatikana binadamu mwenye ubora wa juu na huyu alipatikana katika uumbaji(jaribio la sita) na akawekwa katika bara namba sita.

Maboresho haya yote kuanzia lile la mwanzo mpaka lile la sita yalilenga kuboresha vitu mbalimbali katika mwili wa mwanadamu kama vile brain(kwa maana ya size ya ubongo,uwezo wa kufikiri,maarifa,n.k),rangi ya mwili, nywele,n.k. na huu huenda ndio msingi wa watu wa bara moja kutofautiana na watu wa bara lingine kiakili, rangi, teknolijia,n.k

Mtu wa jaribia la kwanza aliwekwa na kuishi katika bara fulani,mtu wa jaribio la pili(aliboreshwa zaidi) akawekea katika bara la pili na utaratibu ukaendelea hivyo hivyo mpaka mtu wa jaribio la mwisho akapatikana(alie bora kuliko wote kiakili,n.k) na akawekwa katika bara lake(bara namba sita).

Inawezekana pia hata ndani ya bara moja kulikuwa na stages ndogo za maboresho kulingana na regions ndani ya bara moja na ndio maana katika bara moja unakuta kuna region moja watu wake wako nyuma kulinganisha na wenzao ndani ya bara hilo hilo.

Kwa mfano, katika bara moja watu walioko kasikazi mwa bara hilo wana rangi tofauti na wenzao walioko kusini na pia wao walimudu hata kujenga ma-pyramid wakati wenzao wa kusini kabisa mwa bara hilo wakiwa bado wako nyuma sana kimaendeleo.

Ukiangali hata watu wanaopokana na watu wa hiyo region ya kaskazini japo wako bara tofauti ila angalau wanafanana kidogo kwa rangi na maendeleo kuliko wale walioko kusini kabisa mwa bara hilo.

Yaani kadri unavyoshuka kuelekea kusini mwa Bara hilo, ndivyo kiwango cha mandeleo cha watu nacho kinashuka including soccer.

Hata hivyo,muingiliano wa watu kutoka bara moja kwenda lingine baadae ndio kidogo ulileta mchanganyiko(machotara,,n.k)

Ningekuwa na uwezo ningefanya utafifiti ku-prove hii idea.

Ukitaka kujua mabara haya yalitoka wapi na yalipatikana vipi soma theory of continental drift.

NB:Creation here could be the work of nature that is so far beyond human understanding and not necessarily God.
 
Tatizo letu waafrika ni yale maendeleo ya wazungu ndiyo yanayotuchanganya kwa kutamani tu kuwa kama wao,na ndiyo maana kasoro na matatizo yetu yamekuwa yakionekana sana tofauti na hao wazungu maana hayo maendeleo yao yanafanya tusione kasoro na matatizo yao.

Hivyo ukichanganya utofauti wa rangi zetu na zao basi ndiyo tunajiona watu tofauti kabisa na tunaishia kujilaani na kujiwazia kila aina ya upuuzi kuhusu sisi.

Nafikiri laiti waafrika tungekuwa na rangi kama zao na tusingekuwa tunatamani kuwa kama wao basi sidhani kama tungewaona wazungu ni watu wa ajabu na tukajilaani.
 
Tatizo letu waafrika ni yale maendeleo ya wazungu ndiyo yanayotuchanganya kwa kutamani tu kuwa kama wao,na ndiyo maana mwisho wa kasoro na matatizo yetu yamekuwa yakionekana sana tofauti na hao wazungu hayo maendeleo yao yanafanya tusione kasoro na matatizo yao.

Na kwa hali hiyo ukichanganya utofauti wa rangi zetu na zao basi tunaishia kujilaani na kujiwazia kila aina ya upuuzi kuhusu sisi.

Nafikiri laiti waafrika tungekuwa na rangi kama zao na tusingekuwa tunatamani kuwa kama wao basi sidhani kama tungewaona wazungu ni watu wa ajabu na tukajilaani.
Tukubali tu wenzetu walijaliwa.
 
Kuna kipindi katika historia ya mwanadamu, Mwarabu alikuwa Bora kuliko mzungu ktk kila nyanja.
Kuna kipindi Muajemi/Irani alikuwa bora kuliko mtu yoyote.
Kuna kipindi mchina chini ya Genkel Khan alikuwa bora kuliko mtu yoyote.
Kuna kipindi miji mingi ya afrika ilikuwa civilized kuliko Hata London.
Mji wa kwanza Ulaya kuwa civilized huko spain, uliendelezwa na waarabu/waafrika kutokea north afrika..

Kama Mungu angeruhusu mtu mmoja awekwe kama Sample ya Ushuhuda wa vizazi vyote (Yaani asife kwa kipindi chote) basi angeeleza haya mambo vizuri zaidi.

Hadi sasa naamini Civilization and development has nothing to do with Race,Colour and continents
 
Kuna kipindi nilisoma sehemu Mwalimu J.K. Nyerere alisema "Tulifanya makosa sana kuipa thamani pesa(karatasi)"...
Babu yangu(msukuma) alikua na ng'ombe zaidi ya 500 alikua tajiri haswaa!..Alipokufa watoto wake (wazee wetu) wakagawana kila mtu akauza apate pesa(karatasi) sasa wengine wanategemea mikopo bank kuishi!!..Hizi ndo akili za kikwetu, so sad!..
 
Tatizo letu waafrika ni yale maendeleo ya wazungu ndiyo yanayotuchanganya kwa kutamani tu kuwa kama wao,na ndiyo maana kasoro na matatizo yetu yamekuwa yakionekana sana tofauti na hao wazungu maana hayo maendeleo yao yanafanya tusione kasoro na matatizo yao.

Hivyo ukichanganya utofauti wa rangi zetu na zao basi ndiyo tunajiona watu tofauti kabisa na tunaishia kujilaani na kujiwazia kila aina ya upuuzi kuhusu sisi.

Nafikiri laiti waafrika tungekuwa na rangi kama zao na tusingekuwa tunatamani kuwa kama wao basi sidhani kama tungewaona wazungu ni watu wa ajabu na tukajilaani.
Watu hamtaki kukubali ukweli.

Tafakari:Tumepewa maliasili kama madini lakini hata kutambua kuwa madini ni mali hatukujua na hata teknolojia ya kuyatafuta madini hatuna na hata tukiyapata hayo madini hatuwezi kuya-process mpaka yaende kwa wazungu.Huu ni mfano mmoja tu miongoni mwa mingi.

Tukubali tu sisi uwezo wetu uko chini na hata elimu tunayopata leo hii imetoka kwao.

Watu mnakuja na vimifano vya mambo madogomadogo kujaribu kutetea wakati hata hizo nguo mlizovaa zimetoka huko kwa wenzetu.

Leo hii tuna mito,mabonde na maziwa lakini bado tunalia njaa na tunaomba misaada kutoka nje tena sometimes kutoka katika nchi ambazo hazina mito,maziwa na mabonde mengi kama nchi zetu za kiafrika.

Gas ya huko Mtwara ugunduzi wake ulifanywa na wageni na hata mitambo ya kui-process na kuisafirisha imefanywa na wageni na kwa ujinga wetu tumeingia mikataba ya hovyo yenye utata!

Leo hii hata Mmarekani akitaka kumvamia Mkorea ni lazima ajipange kisawasawa tofauti kabisa na atakapotoka kumvamia Mwarabu alieko bara la Asia au Mwafrika alieko bara la Afrika.

Tukubali huu ukweli ingawa unaumu.
 
Mkuu hoja yangu ya msingi ni kwamba sie hatuoni kasoro na matatizo ya hao wazungu kwa sababu ya hayo maendeleo waliyonayo,na hali hiyo ndiyo imetuathiri tuone wazungu ni viumbe wa ajabu na ni bora kuliko sie.

Mfano japo tunajua kuwa huko kwao wazungu kuna masikini wa kutupa kama afrika na hadi ombaomba wapo ila bado kichwani kwetu kila tukimuona mzungu tunafikiri ana hela tu na maisha mazuri.
 
kama wewe ni muumini wa dini ukisema "inawezekana mwanadamu alifanywa kwa majaribio" utakuwa umepingana na reason ya kuumbwa kwake kama vinavyoelezea vitabu hivyo.. kwamaana hayupo kwaajili ya kutekeleza wajibu wa muumbaji wake bali yupo kwa kujaribiwa!
unafikiria nini lengo la jaribu hilo..?
na baada ya jaribu nini kitafuata..?
na ni nani amemuumba binadamu ili kufanya jaribu..?

kama ni yule aandikwae kwenye vitabu ndio anajaribu basi atakuwa amekosea sana pale anaposema watenda dhambi wataenda motoni!kwa maana hii aliumba kwa kujaribu hivyo hakuwa hakika na kazi yake hivyo alivyoviumba vinamapungufu!!... (mweka mada hapa kuna uelekeo fulani upo ama unaufuata sioni kama ni mmbaya)

kuhusu kuwezekana ndio inawezekana binadamu akawa ameumbwa kwa majaribio lkn kwanini hizo races ambazo hazifai hazitoweki ibaki inayofaa au bado tupo majaribuni..?(najaribu kuleta changamoto, to make it perfect usijefikiri napinga)
 
Kama umeamua kuwaza 'kuumbwa' basi huna haja ya kua na mawazo yako mengine maana kuumbwa ni mafunzo tunayopata kwenye vitabu vya dini...Mungu aliumba wanadamu wawili wengine wote ni kuzaliana hivyo huna haja ya kuleta mawazo mengine wakati yeye mwenyewe muumbaji kaeleza alivyofanya...
Lakini pia ukifuata science basi idea yako hata haikaribii jinsi science of evolution inavyoelezea...wala haikaribii science ya genetics hata kidogo sasa sijui mawazo yako unayaegamiza katika mtazamo upi wa kisayansi haifit labda kama utaleta ugunduzi wako na pia ukileta ugunduzi wa kisayansi hutakiwi tena kusema 'kuumbwa' maana hamna kitu kama hicho kisayansi maana utahitaji kuelezea alieumba yeye ni nani?yupo wapi?uelezee pia na yeye anasema nini juu ya uumbaji wake...na ushahidi wa uwepo wake...
Ukielekezea kwenye dini pia huko ni upande uliojikamilisha na uliojipambanua labda kama kuna dini mpya unataka kuleta maana za sasa zinaelezea kila kitu na hamna majaribio wala sijui waliumbwa watu sita.
 
Kujiona sisi sio bora/Hatujiwezi ndicho walichotaka, ndio maana wakatengeneza aina zote za anasa/pesa ziwe za kwao.
ili tuamini bila pesa, huwezi kuishi
 
kama wewe ni muumini wa dini ukisema "inawezekana mwanadamu alifanywa kwa majaribio" utakuwa umepingana na reason ya kuumbwa kwake kama vinavyoelezea vitabu hivyo.. kwamaana hayupo kwaajili ya kutekeleza wajibu wa muumbaji wake bali yupo kwa kujaribiwa!
unafikiria nini lengo la jaribu hilo..?
na baada ya jaribu nini kitafuata..?
na ni nani amemuumba binadamu ili kufanya jaribu..?

kama ni yule aandikwae kwenye vitabu ndio anajaribu basi atakuwa amekosea sana pale anaposema watenda dhambi wataenda motoni!kwa maana hii aliumba kwa kujaribu hivyo hakuwa hakika na kazi yake hivyo alivyoviumba vinamapungufu!!... (mweka mada hapa kuna uelekeo fulani upo ama unaufuata sioni kama ni mmbaya)

kuhusu kuwezekana ndio inawezekana binadamu akawa ameumbwa kwa majaribio lkn kwanini hizo races ambazo hazifai hazitoweki ibaki inayofaa au bado tupo majaribuni..?(najaribu kuleta changamoto, to make it perfect usijefikiri napinga)
Races za awali aliziacha zizaliane na hakutaka kuzifuta ila alipanga zitaishi kwa msaada wa watu kutoka mabara yenye watu walioboreshwa zaidi.Hii ndio sababu sisi huku Africa tunaishi kwa misaada ya wazungu na hata teknolijia tunaitegemea itoke kwa watu wa mabara mengine.

Vile vile Muumba/nature ilituweka katika mabara yenye changamoto zinazolingana na uwezo wetu wa kiakili,kiuchumi,n.k

Mfano:Hivi sisi waafrika tungekuwa katika yale mabara/nchi ambazo kuna matetemeko ya mara kwa mara na huu umasikini wetu maisha yetu yangekuwaje?

Mfano mwingine:Mungu alijua ili na sisi Waafrika tuweze kuishi kwenye hii dunia ni lazima tupewe maliasili amabazo zingetusaidia kiuchumi.

Lakini pia alijua ni lazima tutategemeana hivyo sisi akatupa maliasili na watu wa mabara mengine akawapa teknolijia ili wote tuweze kuishi kwa kutegemeana

Jiulie ingekuwaji kama watu wa mabara mengine wangepewa uwezo wa kuwa na teknolojia pamoja na hizo maliasili kama madini sisi tungepata wapi fedha au tungemuuzia nani maliasili hizi?

Angalia hata Waarabu wa bara la Asia walipewa mafuta lakini teknolojia ya kuchimba mafuta hayo inatoka Ulaya.

Watu wa mabara ya ulaya hakupewa maliasili nyingi kama sisi ila kwakuwa walipewa uwezo wa kiakili basi wakaweza kuwa na teknoljia ambayo wanatuuzia sisi.

Tulipewa maliasili nyingi kwasabu kuliko wazungu kwasabubu ya uwezo wetu mdogo wa kimaarifa ili tuitumie kama mtaji kwa kuwaauzia watu wa mabara mengine wenye maarifa zaidi ila nao kwa makusudi hakupewa kila kitu ili wanunue maliasili kutoka kwetu ili nasi tupate fedha.

Kwa kifupi,hatukupewa maarifa lakini tukajaliwa maliasili na waliopewa maarifa nao kwa makusudi hawakujaliwa maliasili ili waje tuwaauzie.

Huu ni mfano mmoja tu unaohuausu zaidi maliasili.
 
Kuna kipindi katika historia ya mwanadamu, Mwarabu alikuwa Bora kuliko mzungu ktk kila nyanja.
Kuna kipindi Muajemi/Irani alikuwa bora kuliko mtu yoyote.
Kuna kipindi mchina chini ya Genkel Khan alikuwa bora kuliko mtu yoyote.
Kuna kipindi miji mingi ya afrika ilikuwa civilized kuliko Hata London.
Mji wa kwanza Ulaya kuwa civilized huko spain, uliendelezwa na waarabu/waafrika kutokea north afrika..

Kama Mungu angeruhusu mtu mmoja awekwe kama Sample ya Ushuhuda wa vizazi vyote (Yaani asife kwa kipindi chote) basi angeeleza haya mambo vizuri zaidi.

Hadi sasa naamini Civilization and development has nothing to do with Race,Colour and continents
Upo vizuri kwenye historia nilitaka nichangie ila nimeghairi maana umeishatoa jibu nililotaka kuliandika
 
Mkuu hoja yangu ya msingi ni kwamba sie hatuoni kasoro na matatizo ya hao wazungu kwa sababu ya hayo maendeleo waliyonayo,na hali hiyo ndiyo imetuathiri tuone wazungu ni viumbe wa ajabu na ni bora kuliko sie.

Mfano japo tunajua kuwa huko kwao wazungu kuna masikini wa kutupa kama afrika na hadi ombaomba wapo ila bado kichwani kwetu kila tukimuona mzungu tunafikiri ana hela tu na maisha mazuri.
Remember exceptions are always as it is the case even in various scientific laws
 
Nimekaa na kutafakari sana hasa nikitazama sisi waafrika na kulinganisja na watu wa mabara mengine kimaendeleo katika nyanja mbalimbali kama vile kiuchumi, kijamii na kiasia.

Sikuishia hapo tu bali nimejaribi kuwaza hata tofauti iliyopo kwa watu wa bara moja na bara lingine katika swala la maendeleo ya sayansi, na teknolojia kama vile katika uvumbuzi wa zana mbalimbali za kufanyia kazi, uvumbuzi wa vifaa,uvumbuzi wa madawa,n.k na hata katika swala zima la kujitawala(demokrasia,utawala bora,utawala wa sheria),n.k

Ninachokioana ni kuwa tofauti ya mambo haya yote inawezakana inategemea na ubora wa binadamu mwenyewe kulingana na bara anakopatikana binadamu huyo.

Hii inanifanya niwaze huenda binadamu tuliumbwa kwa majaribio na uumbaji wa kupata binadamu bora ulikamika baada ya majaribio matano ya awali na katika jaribio la sita ndio akapatikana binadamu bora kabisa.

Kwanini nafikiri kumekuwepo na majaribio sita?

Msingi wa fikra hii ni uwepo wa mabara sita katika hii dunia na maendeleo ya watu katika bara moja kulinganisha na watu wa bara lingine na pia tofauti ya rangi,kiakili,n.k wa watu kulingana na mabara haya.

Inawezekana kabisa kila bara lilipangiwa kupokea mtu wa jaribio namba fulani kuanzia jaribio namba moja mpaka jaribio namba 6.

Yaani mtu alieumbwa mwanzo kabisa(katika jaribio la kwanza) aliwekwa bara fulani na baada ya kuona mtu huyo ana mapungufu maboresho yakafanyika katika jaribio la pili na mtu huyo akahamishiwa katika bara namba mbili na utaratibu huu wa kufanya maboresho ukaendelea mpaka akapatikana binadamu mwenye ubora wa juu na huyu alipatikana katika uumbaji(jaribio la sita) na akawekwa katika bara namba sita.

Maboresho haya yote kuanzia lile la mwanzo mpaka lile la sita yalilenga kuboresha vitu mbalimbali katika mwili wa mwanadamu kama vile brain(kwa maana ya size ya ubongo,uwezo wa kufikiri,maarifa,n.k),rangi ya mwili, nywele,n.k. na huu huenda ndio msingi wa watu wa bara moja kutofautiana na watu wa bara lingine kiakili, rangi, teknolijia,n.k

Mtu wa jaribia la kwanza aliwekwa na kuishi katika bara fulani,mtu wa jaribio la pili(aliboreshwa zaidi) akawekea katika bara la pili na utaratibu ukaendelea hivyo hivyo mpaka mtu wa jaribio la mwisho akapatikana(alie bora kuliko wote kiakili,n.k) na akawekwa katika bara lake(bara namba sita).

Inawezekana pia hata ndani ya bara moja kulikuwa na stages ndogo za maboresho kulingana na regions ndani ya bara moja na ndio maana katika bara moja unakuta kuna region moja watu wake wako nyuma kulinganisha na wenzao ndani ya bara hilo hilo.

Kwa mfano, katika bara moja watu walioko kasikazi mwa bara hilo wana rangi tofauti na wenzao walioko kusini na pia wao walimudu hata kujenga ma-pyramid wakati wenzao wa kusini kabisa mwa bara wakiwa bado wako nyuma.

Ukiangali hata watu wanaopokana na watu wa hiyo region ya kaskazini japo wako bara tofauti ila angalau wanafanana kidogo kwa rangi na maendeleo kuliko wale walioko kusini kabisa mwa bara hilo.

Yaani kadri unavyoshuka kuelekea kusini mwa Bara hilo, ndivyo kiwango cha mandeleo cha watu nacho kinashuka including soccer.

Hata hivyo,muingiliano wa watu kutoka bara moja kwenda lingine baadae ndio kidogo ulileta mchanganyiko(machotara,,n.k)

Ningekuwa na uwezo ningefanya utafifiti ku-prove hii idea.

NB:Creation here could be the work of nature that is so far beyond human understanding and not necessarily God.
Umewaza na kufananisha Binadamu na computer from 486 pentium 1 hadi 4 pentium M n.k
 
Races za awali aliziacha zizaliane na hakutaka kuzifuta ila alipanga zitaishi kwa msaada wa watu kutoka mabara yenye watu walioboreshwa zaidi.Hii ndio sababu sisi huku Africa tunaishi kwa misaada ya wazungu na hata teknolijia tunaitegemea itoke kwa watu wa mabara mengine.

Vile vile Muumba/nature ilituweka katika mabara yenye changamoto zinazolingana na uwezo wetu wa kiakili,kiuchumi,n.k

Mfano:Hivi sisi waafrika tungekuwa katika yale mabara/nchi ambazo kuna matetemeko ya mara kwa mara na huu umasikini wetu maisha yetu yangekuwaje?

Mfano mwingine:Mungu alijua ili na sisi Waafrika tuweze kuishi kwenye hii dunia ni lazima tupewe maliasili amabazo zingetusaidia kiuchumi.

Lakini pia alijua ni lazima tutategemeana hivyo sisi akatupa maliasili na watu wa mabara mengine akawapa teknolijia ili wote tuweze kuishi kwa kutegemeana

Jiulie ingekuwaji kama watu wa mabara mengine wangepewa uwezo wa kuwa na teknolojia pamoja na hizo maliasili kama madini sisi tungepata wapi fedha au tungemuuzia nani maliasili hizi?

Angalia hata Waarabu wa bara la Asia walipewa mafuta lakini teknolojia ya kuchimba mafuta hayo inatoka Ulaya.

Watu wa mabara ya ulaya hakupewa maliasili nyingi kama sisi ila kwakuwa walipewa uwezo wa kiakili basi wakaweza kuwa na teknoljia ambayo wanatuuzia sisi.

Tulipewa maliasili nyingi kwasabu kuliko wazungu kwasabubu ya uwezo wetu mdogo wa kimaarifa ili tuitumie kama mtaji kwa kuwaauzia watu wa mabara mengine wenye maarifa zaidi ila nao kwa makusudi hakupewa kila kitu ili wanunue maliasili kutoka kwetu ili nasi tupate fedha.

Kwa kifupi,hatukupewa maarifa lakini tukajaliwa maliasili na waliopewa maarifa nao kwa makusudi hawakujaliwa maliasili ili waje tuwaauzie.

Huu ni mfano mmoja tu unaohuausu zaidi maliasili.
Mchizi acha kamba mabara yote yana Mali na madini ya kutosha... white pepole ni Tamaa tu kutaka vya wengine.. Niulize nchi gani haina Mali au madini au mafuta iliyoendelea uwe unachunguza habari kabla hujaudhibitishia uma unaokusukiliza.. kuharibu watu akili sio tabia nzuri.
 
Nisome vizuri.Nimekwambia sisi tumejaliwa maliasili nyingi zaidi yao na si kusema wao hawana kabisa.

Kumbuka sababu za kuwepo ukoloni zilikuwa ni pamoja na kutafua masoko na maliasili kwa ajili ya viwanda huko Ulaya na ukweli huu unaipa nguvu zaidi hoja yangu kuwa ilipangwa tuishi kwa kutegemeana.

Hata mafuta wamepewa Waarabu kwa wingi zaidi kuliko watu wa mabara yote ila teknolojia ya kuchimba na ku-process hayo mafuta ni kutoka zaidi barani Ulaya.

Watu wa mabara ya Ulaya na Marekani walipewa uwezo wa kugundua na kutengeneza vyombo vya moto na mitambo mbalimbali inayoendeshwa kwa mafuta lakini mafuta hayo wana-import kutoka kutoka nchi za kiarabu.

Sisi Waafrika kutokana na mapungufu yetu kiuumbaji tunashindwa hata kutumia maliasili zetu vizuri kujiletea maendeleo tofauti na Waarabu wanavyoweza kutumia mafuta kujiletea maendeleo japo huko ni jangwa.

Haya mambo sio yametokea tu kwa bahati mbaya bali nature ilipanga ili kuwezesha watu katika kila bara kuishi kwa kutegemea walichojaliwa.

.
 
Back
Top Bottom