An Orator
Member
- Jul 8, 2018
- 34
- 87
*JE, UNAMFAHAMU MTU ALIYEGUNDUA MITIHANI YA DARASANI?*
Kuna utata katika swala hili. Wapo watu wanatajwa kuwa mmojawapo ndiye aliyegundua mitihani ya darasani.
Fatilia ufafanuzi wangu.
Ofcourse kuna huo Mkanganyiko unaoendelea kwenye social platforms kuwa Bwana Henry Mishel ndio mtu wa kwanza kuanzisha/kugundua mitihani (inventor of examinations). Ukweli ni kwamba huyo mtu jina lake kamili alikuwa anaitwa Henry Kimball Hadley alizaliwa huko Marekani tarehe 20 Desemba, 1871 na alifariki tarehe 6 Septemba, 1937 alipata umaarufu mkubwa kwa kazi yake ya kutunga/kubuni vitu lakini kazi kubwa iliyompatia kipato ilikuwa ni kazi ya kutengeneza vifaa vya ufumaji. Hakuna habari nyingine inayoelezea kuwa aliwahi kugundua mitihani.
Kuna Bwana mwingine naye anaitwa Henry Detlev Fishel huyu naye kwa kipindi fulani amekuwa akifananishwa kuwa ndiye mtu aliyegundua mitihani. Ukweli ni kwamba huyu alikuwa Psychotherapist in New York.
Pengine Prof. Henry A. Fischel naye alisemwa semwa na baadhi ya waandishi na wafatiliaji wa mambo ya kale kuwa aligundua mitihani lakini ukweli ni kwamba huyu alikuwa ni Profesa wa Emeritus of Near Eastern Languages and Culture at Indiana University. Baadae alibobea kwenye mafundisho ya Dini hasa kwenye Jewish Studies na kupata umaarufu mkubwa kiasi cha kuwa Head of Religious Studies Department at Indiana University. Hata hivyo alizaliwa November, 20, 1913 na alifariki March 20, 2008 ni kizazi cha karne ya 21.
*Ukweli kuhusu mitihani*
Mitihani si ya karne hizi za 15-21) mitihani imeanza siku nyingi. Ukiambiwa China wapo mbele kimaendeleo ni vizuri ukaelewa . Watu wa kwanza kugundua na kutumia mitihani walikuwa ni wachini chini ya Utawala wa Sui Dynasty kati ya mwaka 605 AD wakati ikiitwa Ancient China na mitihami hiyo ilikuwa inaitwa Imperial Examinations....mitihani ya tabaka tawala. Actually, mitihani hii ililenga kuwapima baadhi ya watu kuona kama wata-fit kwenye governmental positions.
Lakini baadae alipokuja kutawala mdogo wake aliyeitwa Qing Dynasty kati ya miaka 1300 alifutilia mbali mitihani kwa madai kuwa inapunguza furaha kwa watahiniwa (spoil the fun of candidates life).
Baadae wazungu waliiga kwa wachina. Kati ya mwaka 1806 suala la mitihani lilichukuliwa kwa uzito na Tawala la Waingereza (Her Majesty Civil State)ambapo sasa wao waliboresha na kuweka alama za kufaulu na kufeli. Mtindo huu wa mitihani waliundeleza kwenye 'Makoloni' yao yote na hasahasa kupeleka mashuleni zaidi kwa kupima ufaulu wa wanafunzi. Tofauti na wachina ambao wao hawakuamini ktk kupima uwezo wa mtoto darasani badala yake wao walimpima yule mtu anayetaka kupewa madaraka serikalini hasa katika nafasi za wakuu wa majimbo (Head of Province )kwetu huku wanaweza kuwa Wakuu wa Wilaya na Mikoa.
Elimu ya Mwingereza ndio sasa iliyosambaa sehemu zote Duniani na ndio inayotumika hata sasa licha ya kuwepo na syllabus ambazo zilikuja kugunduliwa na Marekani miaka ya hivi karibuni.
*Aliyeharibu furaha ya watu ni Mwingereza kwa kulazimisha mitihani kutumika darasani*
An Orator of all the Orators.