JWTZ, KDF: Wanawake kazini

JWTZ, KDF: Wanawake kazini

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
33,019
Reaction score
91,806
As-salaam alaykum, Amani iwe nanyi.

Leo ninawaletea picha za video na picha mnato kuhusu namna wanawake wanavyojihusisha katika majeshi ya ulinzi na usalama.

Nitajikita hapa Afrika mashariki huku nikiangazia nchi mbili zinazotumia lugha ya kiswahili katika kuwasiliana.

Tunaanza na video hii hapa

JWtz
DSC7284.jpg
 
Hahaha...hawa wamevalia uniform kama za AP
 
hatuna airforce mkuu tuna jeshi la anga!! kama hilo ndio lenu la anga huko kwenu mmekwisha
Na mbona wanatumia dreamliner kusafiri? Napiga hesabu Kama ni KDF wanatumia KQ ama Jeshi la Marekani kutumia Delta Airlines...Does JWTZ really have military planes?
 
Back
Top Bottom