Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,063
- 2,873
Habari za kulipuka bomu katika kanisa huko arusha zimenisikitisha na kunitia hofu. Najiuliza mabomu huwa yanauzwa dukani kama Bastola au hutengenezwa kienyeji? Nilifuatilia sana ile habari ya Bomu uko Boston marekani nikajifunza kuwa lilitengenezwa kutokana na Sufuria ( Pressure Cooker).
Je elimu hii ya kutengeneza mabomu hutolewa shuleni? Japo nilisoma Chemistry kidogo ya O Level sikuwahi kukutana na elimu hii. Naomba serikali itafute kwa makini haya mabomu hutoka wapi ili tusiendelee kuumizana na kuuana. Kama kuna kiwanda kisakwe na kufungwa kabisa.