Ni kwa nini tunaamini kuwa mungu yupo ? ? ?

LIFE HELP

Senior Member
Nov 29, 2012
149
70
NI KWA NINI TUNAAMINI KUWA MUNGU YUPO ? ? ?
TAFSIRI : Mungu ni kitu au uwezo aidha hakionekani chenye uwezo mkubwa sana kuliko wa binadamu wa kawaida katika matendo na matokeo ya matendo yake duniani.
KWA NINI YUPO ;
UCHAWI : Sababu kama kuna uchawi duniani na unathibitika wazi basi patakuwepo na nguvu kubwa Zaidi na dhidi ya huo uchawi.
MAZINGAOMBWE : Nadhani kila mmojawetu anayajua aidha alishawahi kuyaona mazingaombwe kitu ambacho kwa akili ya binadamu wa kawaida hawezi elewa kinachotokea hii inathibitisha kuwa hapa duniani pana uwezo wa namna nyingi pia kwa maana hiyo lazima patakuwepo mungu yaani mwenye mamlaka na hao wote na uwezo kuliko wote au muumbaji wao.
MIUJIZA INAYOWEZATOKEA BINAFSI : Pana watu wanatokewa na miujiza mbali mbali japo kwa uchache sana kiasi kwamba ukimsimulia mtu hawezi kuamini ila tu wewe mwenyewe.
NDOTO BINAFSI ZENYE UTABIRI : Wapo watu wachache wenye karama ya utabiri aidha kwa kuota jambo na kutokea kwa siku chache tu zifuatazo mfano mm mwenyewe niliwahi kuota maafa makubwa ya chombo kuzama majini baada ya siku mbili hv ndio MV BUKOBA ikazama wakati huo na mengine mengi kadhaa.
UTABIRI WA VITABU TAKATIFU (BIBLIA): Hii inaeleweka pia KUTIMIA KWA UNABII
MAONO BINAFSI YENYE UTABIRI MCHANA : Mfano unaliongelea jambo au mtu dakika kdg tu inatokea hata kama ilikuwa haijawahi tokea kwa muda mrefu sana.
KUWEPO KWA BIBLIA NA VITABU VINGNE TAKATIFU NA UPATIKANAJI WAKE DUNIANI :
SIXTH SENSE KWA BINADAMU: Kama yaliotokea kwenye tukio la TSUNAMI kuna baadhi ya wanyama walipata hisia kabla na wakaweza kukimbia na waliokoka.
- Pia kuna baadhi yetu unaweza pata ishara Fulani mwilini mwako za kuashilria matukio Fulani kabla ya taarifa yeyote hasa matukio kama ya kilio/msiba unaokuhusu na hata ishara za kupata mapato makubwa/pesa n.k.
IMANI YA MAOMBI NA MATOKEO YAKE: Wapo watu wenye IMANI kubwa kwa mungu wao na akiomba kile anachoomba lazima anakipata au kutokea.
 
Back
Top Bottom