Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,355
-Wakuu,naomba kuuliza,hivi wale jamaa wanaokua wamemzngira rais kikwete wanakua wamevaa suti nyeusi huwa ni makomandoo,tiss au wanajeshi wa kawaida tu?
-Suala lingine ningependa kufahamishwa nin maana ya vetting system?maana kuna mdau humu niliwahi kuona ameandka kwamba katka uchaguzi mkuu wowote,kura wanazokua wamepga wananchi huwa haziamui mshndi ila huwa ni changa la macho but vetting ndo huwa inaamua nani awe raisi,so ningependa mnipe elimu kuhusu hyo vetting system.