Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Kitabu kinahusu story ya bwana Oleg Gordievsky. Huyu jamaa alizaliwa mwaka 1938. Mwaka 1961 akajiunga na KGB na Kupostiwa Berlin. Alishuhudia ujenzi a ukuta wa Berlin, na hili lilimuacha na...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims,kenzy,deadboy, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu...
18 Reactions
73 Replies
9K Views
Wadau naomba kujua kwani nini inachukuwa karibu miezi 3 kwa Rais wa Marekani toka achaguliwe mpaka kuapishwa kwake? Je kuna taratibu gani zinazofanyika mpaka zinapelekea kuchukuwa muda huo?
3 Reactions
40 Replies
6K Views
The man known as “Tim Osman” was Osama bin Laden. (OBL) His alias “T.O.” name was assigned to him by the CIA during his tour of the U.S. & U.S. military bases in search of increasing political...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
It's about addition and subtraction! And I will describe it in the following 4 simple sentences; 1. If you add a negative number, it decreases your value. THEREFORE; Stop thinking negatively...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Dunia yetu ina mambo mengi ya asili na yasiyo ya asili ambayo yamefanya kuwa sehemu muafaka kwa binadamu kuishi na kuendesha maisha yake. Vitu hivi kwa ujumla wake vimefanya maeneo tofauti tofauti...
77 Reactions
110 Replies
29K Views
Wadau Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao. Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana...
17 Reactions
325 Replies
82K Views
Jiji la Gitarama hupatikana katikati ya nchi ya Rwanda, kwa makadirio kilomita arobaini na tano toka kwenye jiji kubwa nchini humo; jiji la Kigali, jiji pekee lililoitangulia Gitarama kwa ukubwa...
36 Reactions
192 Replies
35K Views
MAPENZI. JULIAS CAISER NI NANI?. Kama utakuwa ni mfuatiliaji wa mambo ya kihistoria basi jina la Julius Caesar litakuwa si geni masikioni mwako. Julius Caiser alikuwa mwanasiasa hodari na...
22 Reactions
54 Replies
12K Views
POINT BLANK: Watch your laptop, Mr President NKWAZI MHANGO THIS DAY St John’s NL, Canada WHEN it was announced that the DPP's laptop or electronic notebook was stolen, many thought it's...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Salam Wakuu ! Marais karibu Dunia nzima wana ADC wao kila wanapokwenda nadhani ni kutokana na umuhimu kwa Cheo cha Rais. Naomba ikiwa mtu anajua kwa undani hii tofauti mfano ni Rais wetu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
ASILI YA UBAYA NI NINI?. **************************** Asili ya Ubaya wa Kila kiumbe upo ndani ya Maumbile yake. Kwani hakuna kiumbe kilicho jiumba chenyewe, Kwa kuzingatia hilo, kiumbe aliye...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana jamvi, ni kitambo kidogo hatujaonaa humu jamvini. Nafikiri wotw wazima wa afya. Bila kuwaste timetuanze mada yetu hapo chini. Mungu alipoumba Dunia aliumba kwa makusudi yake na lengo...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Habari wana jamvi, Natumai tu wazima na tunaendelea na majukumu mbali mbali. Tupo hapa kujuzana, kukumbushan, na kutilia mkazo kwa yale machache kama sio mengi kadri MUNGU atavyoona yafaaa na...
5 Reactions
52 Replies
13K Views
Habari za wakati huu wanajamvi Leo katika harakati zangu za kujifunza nikakutana na nchi hii "the sovereign military order of malta" na haya ni maajabu yake 1.haina eneo la kijographia 2.ina...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Salaam,Wana-GREAT THINKERS... --Ni muda tena tukutane katika ukurasa huu tuweze kukumbushana kuhusu MISEMO YA WATU MAARUFU iliyosemwa kwa malengo ya :-Kuelimisha,kufariji,kuleta hamasa na...
19 Reactions
320 Replies
64K Views
Ndege ya kijeshi ya Israel F-35I iliyonunuliwa kutoka Lockheed huko Marekani ilidhihirisha kwamba kweli,haionekani kwenye radar yeyote, pale March 2018 ilipopenya na kuingia anga la Iran. Ndege...
3 Reactions
32 Replies
10K Views
USHAURI;Huu ni mwendelezo wa thread ya kwanza yenye title sawa na hii kama hujaisoma ni bora uitafute ili upate mtiririko wa matukio.Asante **Sehemu ya kwanza: Toka vita ya vietnam mpaka rais...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
RUJA Ignatova alijiita Malkia wa sarafu ya kidigitali al maarufu Crptocurrency, aliwaeleza watu kuwa amebuni sarafu ambayo itatoa ushindani kwa Bitcoin na kuwashawishi kuwekeza mabilioni ya fedha...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom