Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
NI KWA NINI TUNAAMINI KUWA MUNGU YUPO ? ? ? TAFSIRI : Mungu ni kitu au uwezo aidha hakionekani chenye uwezo mkubwa sana kuliko wa binadamu wa kawaida katika matendo na matokeo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu? huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana...
8 Reactions
41 Replies
13K Views
Imeandaliwa na John Haule wa Rumours Africa Ndugu msomaji, Leo nitazungumzia aina za viganja. Unajua, unaweza ukamjua mtu mwenye tabia ya udokozi kwa kumwangalia tu viganja vyake? Leo naomba...
1 Reactions
152 Replies
113K Views
Katika maisha ya mwanadam kuna baadhi ya mambo ambayo majibu yake huwa hayako wazi na hata ufananuz wake huwa sio rahisi. Baadhi ya maswali hayo ni haya: 1.Uhakika/Uthibitisho wa...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
-Wakuu,naomba kuuliza,hivi wale jamaa wanaokua wamemzngira rais kikwete wanakua wamevaa suti nyeusi huwa ni makomandoo,tiss au wanajeshi wa kawaida tu? -Suala lingine ningependa kufahamishwa nin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kulipuka bomu katika kanisa huko arusha zimenisikitisha na kunitia hofu. Najiuliza mabomu huwa yanauzwa dukani kama Bastola au hutengenezwa kienyeji? Nilifuatilia sana ile habari ya Bomu...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Gazeti la Marekani Cristian Science Monitor lilinakili maneno ya Bw.Patrison ambae alipongeza Jamuhuri ya Kiislam ya Iran kuinasa RQ170 mwaka ulopita akisema: Kunaswa kwa mara nyengine tena ndege...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu mtu kwamba ni mtu. Ni kitu gani haswa kinachomfanya yeye aonekane ni tofauti na vitu vingine. Na inavyo onekana yeye ndiye anaye control vitu vyote...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
UNA AMBIWA NDICHO KILICHOTUMIKA KUMPELELEZA DOGO KIDUKU MAARUFU KAMA RAIS KIM WA NORTH KOREA BAADA YA MAREKANI NA NDUGU ZAKE KUSHINDWA KUPATA CHOO CHAKE KIPINDI WALIPOKUTANA NA RAIS...
27 Reactions
77 Replies
21K Views
Moja kwa moja tukianza na jasusi huyu ajulikanaye kama RICHARD Sorge anahesabika kama jasusi mwerevu kuliko wote katika karne ya 20. Jasusi huyo Mrusi na mwalimu wa hujuma alifanya kazi dunia...
10 Reactions
45 Replies
15K Views
Nadharia za kijasusi karibu zote zinamsimamo unaofanana, japo zinaweza kutofautiana mwelekeo tu kulingana na tukio, Tukio kama la mauaji, ujambazi ama la ugaidi kiuchunguzi yanaweza kufanana kwa...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Kama kichwa kinavyosema hapo juu, tukisoma kwenye vitabu vitakatifu kuhusu uumbaji tunaona kuwa Mungu alituumba kwa udongo (mavumbi). Biblia na Quran zote zitakubaliana kuwa Adam...
1 Reactions
123 Replies
20K Views
Leo nimefikiria swali moja; Je, mimi ni mwili au ni roho? Nimefikiria kinachotokea mpaka mtoto anazaliwa nimeshindwa kupata jibu. Hebu fikiria kama nilivyofikiri mimi. Utagundua mwili ni kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
[emoji707]Abraham Lincoln alichaguliwa kwenye baraza la wabunge mnamo 1846 [emoji745]John F Kennedy alichaguliwa katika baraza la bunge mnamo mwaka 1946 [emoji707]Abraham lincoln alichaguliwa...
10 Reactions
49 Replies
13K Views
Upo mpango mahsusi wa kuiharibu familia. Mtafaruku unao onekana leo kati ya baba na mama na baba na mama na watoto, si wa bahati mbaya,ni mpango ulioandaliwa na Sinagogi la Shetani kwa siri na kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamuziki wa michano 2pac alifariki baada ya kupigwa risasi tarehe 7/11/1996, Las Vegas USA akiwa na Umri 25. Sasa toka hapo, kumekuwa na mijadala huku baadhi ya mashabiki na watu wa karibu...
5 Reactions
12 Replies
10K Views
Plans for the East African Community (EAC) integration might not bear fruit in the near future as the relations between Tanzania and Rwanda continue to deteriorate...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli? Christians wengi wana akili ndogo sana...
18 Reactions
183 Replies
28K Views
Kwenye mitandao ya kijamii niliona kua kuna maandamono yaliyo ratibiwa na baadhi ya wananchi wa USA kwenda area 51 kushuudia kama kweli kuna uwepo wa viumbe wa ajabu huko. Na maandamono hayo...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
"Katika dunia ya leo ambayo silaha za Kinyuklia zimeyafanya majeshi yasiwe na umaana wowote ule, ugaidi pekee ndiyo silaha yetu kuu" - Jenerali Aleksandr Sakharovsky mkuu wa idaya ya kijasusi wa...
20 Reactions
58 Replies
13K Views
Back
Top Bottom