Binaural beats: kwa relaxation, kumbukumbu nzuri, ndoto

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,461
2,267
Naileta hii hoja, ntatoa ujuzi wangu nilionao juu ya hizi Binaural beats, kwa wenye ujuzi zaidi wanaweza kuchangia, criticizing pia inaruhusiwa, ni kwa ajili ya watu kujifunza na kuweza kufikia sehemu kupata muafaka.

Inasemekana ubongo hua katika state tofauti tofauti kulingana na kitu unachofanya, kuna siku mtu hua ana hamu sana ya kusoma na hata akisoma anajikuta anaelewa vizuri hata problem solving skills ghafla zinakua juu (hii ndio waswahili wanaita kaamkia upande wa kulia) lakini pia kuna siku mtu anakua down kabisa hata kiinachoufundishwa hakielewi, hapa pia ubongo unakua katika state tofauti, wataalam wanasema inategemea na frequency of vibration katika ubongo,

Binaural beats zinajulikana kama apparent sounds yaani ni sauti mbili tofauti ambazo zinavibrate katika frequency mbili tofauti ambazo zimeunganishwa pamoja, mfano sauti moja ni 310Hz na nyingine 300Hz, tofauti yao ni 10Hz, basi inasababisha ubongo kwa yule msikilizaji kuvibrate katika frequency hiyo ila under certain conditions.

Hizi binaural beats hutumika katika mambo mbalimbali yenye faida ikiwemo kusaidia watu kua na kumbukumbu nzuri na hata kujifunza pia, improve athletic perfomance, relaxation kwa watu ambao mawazo mengi au wanaofanya meditation, kuacha addiction flani mfano wavuta sigara, kwa wanaopenda lucid dreaming pia, kuna beats zake za kustimulate lucid dreaming, (Lucid dreaming - ndoto ambazo unaota huku ukijitambua na unaweza ukaimanipulate ile ndoto unavyotaka, wengi hua inawatokea na ni ndoto wanakua wanaikumbuka, ntatoa post nyingine kuingia deep zaidi kwenye lucid dreaming)
kupunguza pain, memories ambazo zimekuarepressed kuweza kuzivuta karibu, watu wenye anxiety na nyingine nyingi

Sasa utazitumiaje hizi beats ili kuachieve results hizo, kwanza LAZIMA uwe na ear/headphones ambazo ni stereo, na ziwe na quality nzuri, sitoshauri zile bass earphones ambazo wengi hutumia siku hizi, pili unahitaji uwe na binaural beat yenyewe ambapo nyingi zinapatikana online, ila inahitaji umakini maana wapo wanaotengeneza binaural beats ila si kitaalam ambapo inaweza isileta tena desired effect ikasababisha kichwa kuuma, i prefer itunes ila kwa asiyeweza anaweza tumia youtube na akapata quality nzuri tu...
Chati ifuatayo inaeleza kila beat na effect yake
HzGamma wavesHigher mental activity, including perception, problem solving, fear, and consciousness
13–39 HzBeta wavesActive, busy or anxious thinking and active concentration, arousal, cognition, and or paranoia
7–13 HzAlpha wavesRelaxation (while awake), pre-sleep and pre-wake drowsiness, REM sleep, Dreams
8–12 HzMu wavesMu rhythm, Sensorimotor rhythm
4–7 HzTheta wavesDeep meditation/relaxation, NREM sleep
< 4 HzDelta wavesDeep dreamless sleep, loss of body awareness
Uzuri wa binaural beats ni kua wewe una relax alafu unaacha zenyewe zinafanya kazi yake, huna kazi ya ziada, ila note wakati unasikiliza binaural beats ni vema ukiwa labda nyumbani au sehemu umerelax, ni vizuri ukiwa umefumba macho kama meditation au waweza kua umefumbua macho lakini unaconcentrate kwenye kitu kimoja tu mfano kijiko kilichopo mezani, unatulia then ndani ya muda flani mara nyingi hua dakika kuanzia 5-15 mtu anaanza kuexperience effect hiyo.

Nakaribisha wenye ujuzi zaidi, mchango, criticizing pa kurekebisha, etc...

Ni mada ndefu nimejaribu kila ninavyoweza kuifupisha, ntatoa updates zaidi kwa atakayekua interested,
 
Nafahamu hasa ya kwamba ubunifu, kujifunza, nk huwa ni wa kiwango cha hali ya juu pale 'mind' inapokuwa relaxed, nimetumia hizo beats lakini kiukweli sikupata matokeo niliyoyataka kwani ubongo ukishazoea basi, hata hivyo ni hapa jf nilipojifunza kutumia bangi, kiasi kidogo tu weekly ninasoma zaidi ya Schrodinger! LOL!
 
Google!
 
kushindwa kuachieve effect uliyohitaji ni either hujatumia earphones, au kama umetumia basi quality ya earphone iko low, nashauri earphones angalau za kuanzia 10k+ Stereo sound. Pia kuna kufungua beats ambazo hazijatengenezwa kitaalam au ni feki, wengine hutengeneza beat fake na kuweka kwenye internet ili wapate views mfano youtube ili wapate hela, so yahitaji umakini unapokua unadownload. Kama ni concentration basi ni vema kufanya ukiwa unafanya kama ni kusoma au kitu unachotaka ukocentrate to.
 
Hii kwa ajili ya relaxation na kuleta feeling ya kua happy

Hii kwa ajili ya awareness

Note nimesema sikiliza kwa stereo headphones.
 
Last edited by a moderator:
Ili kuleta matokeo 100%,ni lazima usikie kila chombo (instrument).Halafu uwe ktk mazingira ya utulivu ya peke yako!
 
Sijakutana na ya hivyo, wanapenda kutumia beats za polepole sana maana mtu huwezi kua unataka kua relaxed afu wakakuwekea mdundo wa kiafrika nadhani mawazo yako yote yatahama
 
Mkuu umenikumbusha Schlodinger Equation A-level PCM,da!

Nafahamu hasa ya kwamba ubunifu, kujifunza, nk huwa ni wa kiwango cha hali ya juu pale 'mind' inapokuwa relaxed, nimetumia hizo beats lakini kiukweli sikupata matokeo niliyoyataka kwani ubongo ukishazoea basi, hata hivyo ni hapa jf nilipojifunza kutumia bangi, kiasi kidogo tu weekly ninasoma zaidi ya Schrodinger! LOL!
 
Mkuu Dreson4,please fafanua kidogo kuhusu Lucid dreaming.Mi huwa zinanitokea sana. Kuna wakati naweza ota napigana na mtu au a beast,halafu huwa naweza kujua na kujiambia kwamba hii ni ndoto tu na hata nikifa sitokufa kweli! Basi huwa napata ujasiri wa kumfanyizia huyo mtu au beast mpaka nikamshinda. Na wakati mwingine nikiona nimezidiwa huwa naweza kujiambia,hamka hapa upo ndotoni tu,na huwa naweza kuamka! Ki ufupi huwa naweza kijua nipo ndotoni na huweza ku control kinachoendelea. Hii inatokana na nini? Faida na hasara zake ni nini? Naomba maujuzi yako kwa hili.
 
Naomba unielezee vizuri hasa kwa mtu anaependa kusoma na kwa ajili ya kupata mood ya kusoma sana na kukumbuka.
Plz
 
Naileta hii hoja, ntatoa ujuzi wangu nilionao juu ya hizi Binaural beats, kwa wenye ujuzi zaidi wanaweza kuchangia, criticizing pia inaruhusiwa, ni kwa ajili ya watu kujifunza na kuweza kufikia sehemu kupata muafaka.

Inasemekana ubongo hua katika state tofauti tofauti kulingana na kitu unachofanya, kuna siku mtu hua ana hamu sana ya kusoma na hata akisoma anajikuta anaelewa vizuri hata problem solving skills ghafla zinakua juu (hii ndio waswahili wanaita kaamkia upande wa kulia) lakini pia kuna siku mtu anakua down kabisa hata kiinachoufundishwa hakielewi, hapa pia ubongo unakua katika state tofauti, wataalam wanasema inategemea na frequency of vibration katika ubongo,

Binaural beats zinajulikana kama apparent sounds yaani ni sauti mbili tofauti ambazo zinavibrate katika frequency mbili tofauti ambazo zimeunganishwa pamoja, mfano sauti moja ni 310Hz na nyingine 300Hz, tofauti yao ni 10Hz, basi inasababisha ubongo kwa yule msikilizaji kuvibrate katika frequency hiyo ila under certain conditions.

Hizi binaural beats hutumika katika mambo mbalimbali yenye faida ikiwemo kusaidia watu kua na kumbukumbu nzuri na hata kujifunza pia, improve athletic perfomance, relaxation kwa watu ambao mawazo mengi au wanaofanya meditation, kuacha addiction flani mfano wavuta sigara, kwa wanaopenda lucid dreaming pia, kuna beats zake za kustimulate lucid dreaming, (Lucid dreaming - ndoto ambazo unaota huku ukijitambua na unaweza ukaimanipulate ile ndoto unavyotaka, wengi hua inawatokea na ni ndoto wanakua wanaikumbuka, ntatoa post nyingine kuingia deep zaidi kwenye lucid dreaming)
kupunguza pain, memories ambazo zimekuarepressed kuweza kuzivuta karibu, watu wenye anxiety na nyingine nyingi

Sasa utazitumiaje hizi beats ili kuachieve results hizo, kwanza LAZIMA uwe na ear/headphones ambazo ni stereo, na ziwe na quality nzuri, sitoshauri zile bass earphones ambazo wengi hutumia siku hizi, pili unahitaji uwe na binaural beat yenyewe ambapo nyingi zinapatikana online, ila inahitaji umakini maana wapo wanaotengeneza binaural beats ila si kitaalam ambapo inaweza isileta tena desired effect ikasababisha kichwa kuuma, i prefer itunes ila kwa asiyeweza anaweza tumia youtube na akapata quality nzuri tu...
Chati ifuatayo inaeleza kila beat na effect yake
HzGamma wavesHigher mental activity, including perception, problem solving, fear, and consciousness
13–39 HzBeta wavesActive, busy or anxious thinking and active concentration, arousal, cognition, and or paranoia
7–13 HzAlpha wavesRelaxation (while awake), pre-sleep and pre-wake drowsiness, REM sleep, Dreams
8–12 HzMu wavesMu rhythm, Sensorimotor rhythm
4–7 HzTheta wavesDeep meditation/relaxation, NREM sleep
< 4 HzDelta wavesDeep dreamless sleep, loss of body awareness
Uzuri wa binaural beats ni kua wewe una relax alafu unaacha zenyewe zinafanya kazi yake, huna kazi ya ziada, ila note wakati unasikiliza binaural beats ni vema ukiwa labda nyumbani au sehemu umerelax, ni vizuri ukiwa umefumba macho kama meditation au waweza kua umefumbua macho lakini unaconcentrate kwenye kitu kimoja tu mfano kijiko kilichopo mezani, unatulia then ndani ya muda flani mara nyingi hua dakika kuanzia 5-15 mtu anaanza kuexperience effect hiyo.

Nakaribisha wenye ujuzi zaidi, mchango, criticizing pa kurekebisha, etc...

Ni mada ndefu nimejaribu kila ninavyoweza kuifupisha, ntatoa updates zaidi kwa atakayekua interested,

Watu wengine wajitokeze jamani
 
Back
Top Bottom