Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 276
KUZALIWA NA KUFA KWA CIA WA ZAMANI WA MAREKANI SADDAM HUSSEIN
-Mwaka 1959 Sadam Hussein alielekea Misri baada ya kushindwa mapinduzi ya kumuondoa rais General Qassim.
-A lipokuwa Cairo Misri inadaiwa Saddam Hussein kutembelea ofisi za ubalozi wa marekani na kukutana na CIA mara kadhaa kwa ajili ya kuuangusha utawala wa Jenerali Qassim
-Baada ya kurejea Iraq, CIA walimpangishia nyumba katika mtaa wa Ali-Rashid karibu na ofisi za wizara ya ulinzi ya serikali ya Iraq lengo ni kujua mienendo ya waziri husika.
-Mwaka 1963 Rais Jeneral Qassim anauawa katika mapinduzi ya kwanza yanayotokana na msuguano wa ndani wa chama cha Ba’ath. Mara baada ya mapinduzi haya, Marekani inatajwa kuwa nchi ya kwanza kuikubali serikali mpya ya mapinduzi.
-Baada ya kuingia kwa serikali mpya, tayari makampuni makubwa ya kimagharibi yakaingia Iraq, kampuni hizo ni kama Mobil kampuni ya mafuta kutoka marekani, Bechtel- kampuni ya ujenzi ya Marekani pamoja na British Petroleum .
Kwa undani zaidi Tazama hii makala fupi hapa chini kwa kubofya hii link.