king salaza
Member
- Jan 29, 2017
- 80
- 65
Wakuu habarini za asubi nina imani wengi tu wazima wa afya nani wape pole wote wale ambao siku ya leo kwao hajaanza vema .
Wakuu swali langu ni juu ya umiliki wa silaha za kikemikali.
Je ni mataifa gani yana hatimiliki ya utengenezaji na umiliki wa silaha hizi .
Je ni kwanini baadhi ya mataifa kama Korea hayaruhusiwi kutengeneze wala kumili silaha hizi.
Mataifa yaliyo na ruksa ya kumiliki na kutengeneza silaha hizi zina mipango ya kuzitumia silaha hizi wakati gani na kwa makusudi yapi.
Mwisho ni kweli ipo technologia ya taifa kujikinga zidi ya silaha hizi/makombora haya.
Asenteni nategemie kushibisha ubongo wangu asubuhi na mapema kabisa.