Any one who knows about Cambridge Analytical Scandal kindly explain to us

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
2,901
Points
2,000

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
2,901 2,000
Aisee ukisikia mabingwa wa kucheza na psychology ya jamii, kubadili mitazamo ya kundi kubwa katika jamii ndio hawa sasa

Anyone who know better about this wakuu naomba afunguke.

Hawa jamaa walisababishia scandal Facebook kwa kurelease data za watu binafsi kwa kampuni ili zitumike kwenye kampeni za kisiasa

Wameshiriki kwenye chaguzi za nchi nyingi sana Duniani ikiwemo Kenya, Ghana, nchi za Ulaya na Marekani kwenye uchaguzi wa mwaka 2015...

Sasa kikubwa zaidi wameshiriki hadi kwenye ishu ya Brexit. Ni kwamba they change the society view according to their perspective.

Naomba mwenye kuielewa kiundani wakuu atuandalie uzi wa hii kitu, nimeipenda sana.

" If you want to change the society first you have to break it, then you start to create it according towards the vision you want" Steve Bannon, Cambridge Analytical CEO
 

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Messages
2,901
Points
2,000

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2013
2,901 2,000
Dah hii kali, ngoja wakuje
Mkuu hawa jamaa ni ma genius,
Walianzisha campaign ya "DO SO" kwenye nchi moja wapo waliyoshiriki walibadili itazamo ya vijana kuhusu kupigia chama fulani kura na walifanikiwa

Pia campaign ya "CROOKED HILLARY" mwaka 2015 pia walifanikiwa sana kubadili mitazamo ya watu kuhusu Hillary Clinton

Sasa baadhi ya washiriki wa hizi campaign kwenye hii taasisi ya Cambridge analytical wamekiri kuhusika kwenye ishu ya BREXIT na wamekiri nia yao imefanikiwa kwa kiasi kikubwa ila walikaata kufunguka zaidi
 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,761
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,761 2,000
ndo maana wachina wana tight control ya internet, vijana wa kiasia wakikomalia jambo huwa ni wabishi na wanaweza kuandamana hata miaka 10 mpaka walipate.

Maandamano ya Tianmen square yaliufundisha utawala wa beijing somo kuwa usiwaruhusu wachina kuingia mtaani ni hatari, na ndo maana censorship ya internet kwenye nchi yao ni kubwa mno
 

THE BREED

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Messages
555
Points
1,000

THE BREED

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2019
555 1,000
Nadhani hata kauli ile ya "LOWASA!MABADILIKO!MABADILIKO!LOWASA!!"ITAKUWA NI WAO!!maana ccm waliteseka sana!!isingekuwa kipilimba na Makamba junior na kinana pale masaki!CHADEMA INGEKUWA NDANI!!!!!!
 

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
8,326
Points
2,000

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
8,326 2,000
Maandamano ya Tianmen square yaliufundisha utawala wa beijing somo kuwa usiwaruhusu wachina kuingia mtaani ni hatari, na ndo maana censorship ya internet kwenye nchi yao ni kubwa mno
Kuna mchina atayekuja andamana baada ya Tukio la Tianmen Square?..


labda huku Afrika!.
 

Forum statistics

Threads 1,379,101
Members 525,311
Posts 33,735,092
Top