Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
ZIJUE ATHARI ZA UCHAWI WA GHASKHINI KATIKA KAZI ZETU ZA KUJIPATIA KIPATO.jpg

Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mablimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali yanayoizunguka jamii yetu,iwe ni maradhi yanayotokana na nmazingira yanayotuzunguka au viumbe wenzetu wachawi na majini,leo tutauzungumzia uchawi wa GHASKHINI

Huu ni katika uchawi hatari sana hasa unapokusudiwa kuelekezwaa kwenye upande wa kazi ya mtu fulani ili kumuharibia asifanikiwe kwani uchawi huu una nguvu kubwa sana ya kusafiri haraka na kumuathiri aliyekusudiwa ndani ya muda mchache saana na hatimaye kusababisha madhara makubwa kwa mkusudiwa na hata waliopo pamoja nae kazini hapo.

JINSI WANAVYOFANYA UCHAWI HUU

~pindi wachawi wanapomkusudia kumfanyia fulani bin fulani uchawi huu basi kama kawaida inachukuliwa miti miwili inayotumika sana katika kazi hizi HANJARI NA FAIJAR baada ya kupata unga wa miti hyo miwili wanachanganya na mafuta ya mwili wa mtoto mchanga aliyefariki na kuzikwa

~wakishamaliza kuchanganya uchafu huo wakiwa uchi kama walivyozaliwa wanauweka mchnganyiko huo mbele yao na kuanza kusema maneno yao kwa wachawi wenzao kutoka katika jamii ya majini waliohasi ili wawasaidie kutekeleza kinachofanywa hapo(maneno hayo tuyaache tuu kwenye mabano kwa faida yetu sote)

~Basi wakiwa wanaendelea na kutamka maneno hayo yaliyojaa kufru nzitonzito na uchafu wa kila aina ghafla inaanza kutoka mionzi mfano wa moshi kwenye ule mchanganyiko wao na hapo wanautuma ''nenda kwa fulani bin fulani na ukamuharibie kazi zake au jambo lolote lingine wanalolikusudia wachawi hawa waliolaaniwa

~Basi mionzi hiyo inasafiri moja kwa moja na kwenda mpaka kwenye ofisi,kibarua,biashara au kazini kwa fulani na kujikita hapo

~Basi ndani ya muda mfupi inabadilisha mazingira ya kazi hiyo yote mazuri yanageuzwa kuwa mabaya zitaanza kuzuka chuki mara huyu anamchukia yule,watu wanafukuzwa kazi bila sababu za msingi,ukiingia kazini unaona ovyo tuu,unatamani kuacha kazi uliyoipata kwa shida bila hata sababu za msingi,biashara inakuwa ngumu ghafla,kufilisika na mionzi hiyo inafukuza kila mtu ambaye anaonekana kuwa na manufaa na wewe katika kazi yako

~Pia uchawi huo unapomuingia mtu mwilini unamshawishi mtu huyu kutumia kipato chake kwa matumizi ya kipuuzi na kushtuka pale pesa zinapokwisha,mfano unaweza kupanga malengo''nikipokea mshahara wangu ntanunua nyumba au kitu fulani lakini unapopata tuu zile pesa unajikuta unatumia mambo mengine mengine ya kiupuuzi au yatazuka magonjwa na matatzo amabayo utashughlika nayo na pesa ikiisha ndyo utakumbuka kuwa ulichokipanga hujakitimiza na kila siku mchezo ndyo huo huo.,

UTAMJUAJE MTU ALIYEATHIRIWA NA UCHAWI HUU

1.Mtu aliyeathiriwa na uchawi huu huwa ni mwenye hasira za ajabu na hupenda kutoa maamuzi ya kijinga kwa msukumo wa hasira zitokanazo na uchawi huo

2.Mtu aliyeathiriwa na uchawi huu huwa siku zote kazi zake zinayumba hafanikiwi na haziwezi kuwa sawa

3.Mtu aliyeathiriwa na uchawi huu huwa na ndoto hizi ndiyo ndoto amabazo atakuwa anaziota sana usingizini mwake
a)kuota anafukiwa kaburini(kuzikwa)

b)kufukuzwa na mnyama mkali

c) Kuota anauliwa

d)umepanda mnyama mkali na unatembea sehemu za jangwani

UKITAKA TIBA YA UCHAWI HUU
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Hakuna cha kuoka wala nini hata ukiokoka wachawi watakuroga tu.Kwanza ukioka wachawi wanawapenda wale watu waliokoka ndio watakuroga vizuri ili usipate kuamini kuwa umerogwa

Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.
 
Unapatwa na jambo lolote. Ukiokoka hujikwai.huumwi.nyoka hawezi kukuuma.huibiwi. kuna mambo ya kibinadamu ambayo mungu hashirikishwi.
 
Huwezi kujadili mambo ya rohoni kwa kutumia ufahamu wako halafu ujajiita uko rohoni. Mambo ya kibinadamu ni yapi? Kuruka kwenye mifagio, kunuia uovu kwa uchawi na kuwanga ni ya kibinadamu? Kama jinsi hayo yanafanyika katika ulimwengu wa giza na kwa nguvu za shetani, vivyo hivyo Habari za Mungu ni zaidi sana kuliko habari za kibinadamu na za kishetani.

Usidanganyike. Unahitaji kujifunza kabla hujakosea kwa makusudi.
 
View attachment 330764

Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mablimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali yanayoizunguka jamii yetu,iwe ni maradhi yanayotokana na nmazingira yanayotuzunguka au viumbe wenzetu wachawi na majini,leo tutauzungumzia uchawi wa GHASKHINI

Huu ni katika uchawi hatari sana hasa unapokusudiwa kuelekezwaa kwenye upande wa kazi ya mtu fulani ili kumuharibia asifanikiwe kwani uchawi huu una nguvu kubwa sana ya kusafiri haraka na kumuathiri aliyekusudiwa ndani ya muda mchache saana na hatimaye kusababisha madhara makubwa kwa mkusudiwa na hata waliopo pamoja nae kazini hapo.

JINSI WANAVYOFANYA UCHAWI HUU

~pindi wachawi wanapomkusudia kumfanyia fulani bin fulani uchawi huu basi kama kawaida inachukuliwa miti miwili inayotumika sana katika kazi hizi HANJARI NA FAIJAR baada ya kupata unga wa miti hyo miwili wanachanganya na mafuta ya mwili wa mtoto mchanga aliyefariki na kuzikwa

~wakishamaliza kuchanganya uchafu huo wakiwa uchi kama walivyozaliwa wanauweka mchnganyiko huo mbele yao na kuanza kusema maneno yao kwa wachawi wenzao kutoka katika jamii ya majini waliohasi ili wawasaidie kutekeleza kinachofanywa hapo(maneno hayo tuyaache tuu kwenye mabano kwa faida yetu sote)

~Basi wakiwa wanaendelea na kutamka maneno hayo yaliyojaa kufru nzitonzito na uchafu wa kila aina ghafla inaanza kutoka mionzi mfano wa moshi kwenye ule mchanganyiko wao na hapo wanautuma ''nenda kwa fulani bin fulani na ukamuharibie kazi zake au jambo lolote lingine wanalolikusudia wachawi hawa waliolaaniwa

~Basi mionzi hiyo inasafiri moja kwa moja na kwenda mpaka kwenye ofisi,kibarua,biashara au kazini kwa fulani na kujikita hapo

~Basi ndani ya muda mfupi inabadilisha mazingira ya kazi hiyo yote mazuri yanageuzwa kuwa mabaya zitaanza kuzuka chuki mara huyu anamchukia yule,watu wanafukuzwa kazi bila sababu za msingi,ukiingia kazini unaona ovyo tuu,unatamani kuacha kazi uliyoipata kwa shida bila hata sababu za msingi,biashara inakuwa ngumu ghafla,kufilisika na mionzi hiyo inafukuza kila mtu ambaye anaonekana kuwa na manufaa na wewe katika kazi yako

~Pia uchawi huo unapomuingia mtu mwilini unamshawishi mtu huyu kutumia kipato chake kwa matumizi ya kipuuzi na kushtuka pale pesa zinapokwisha,mfano unaweza kupanga malengo''nikipokea mshahara wangu ntanunua nyumba au kitu fulani lakini unapopata tuu zile pesa unajikuta unatumia mambo mengine mengine ya kiupuuzi au yatazuka magonjwa na matatzo amabayo utashughlika nayo na pesa ikiisha ndyo utakumbuka kuwa ulichokipanga hujakitimiza na kila siku mchezo ndyo huo huo.,

UTAMJUAJE MTU ALIYEATHIRIWA NA UCHAWI HUU

1.Mtu aliyeathiriwa na uchawi huu huwa ni mwenye hasira za ajabu na hupenda kutoa maamuzi ya kijinga kwa nmsukumo wa hasira zitokanazo na uchawi huo

2.Mtu aliyeathiriwa na uchawi huu huwa siku zote kazi zake zinayumba hafanikiwi na haziwez kuwa sawa

3.Mtu aliyeathiriwa na uchawi huu huwa ndoto hizi ndiyo ndoto amabazo atakuwa anaziota sana usingizini mwake
a)kuota anafukiwa kaburini(kuzikwa)

b)kufukuzwa na mnyama mkali

c)unauliwa

d)umepanda mnyama mkali na unatembea sehemu za jangwani

UKIKA TIBA YA UCHAWI HUU BONYEZA HAPA.Mawasiliano
Watu wengne bhana sijui mpoje, kwani huwezi kutangaza biashara yako kwa njia ambayo hata mtu asitishike ama kuogopa? Sema tu mim dkt. Nani sijui natokea mbinga ni mtabibu wa kienyeji/ramli napatkana songea natibu maradhi, umasikini na ujinga, umemaliza na watu wanaelewa!!
 
Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.
Huku nilipo ninao Wakristo waliokoka kwa jina la Yesu wanayo matatizo kibao wengine wao wananifuata mimi niwasaidie kuwatatulia matatizo yao na wapo walokole wanaonifuata niwasaidie kuwatatulia shida zao itakuwa wewe unaye sema kuwa umeokoka unajidanganya na maneno wanayo yasema wachungaji utaokoka na huku shida zitakufuata kila sehemu na huku ukijigamba kuwa umeokoka utakapo kuwa na mtatizo utanitafuta na huku unasema kuwaambia watu kuwa umeokoka.
 
Watu wengne bhana sijui mpoje, kwani huwezi kutangaza biashara yako kwa njia ambayo hata mtu asitishike ama kuogopa? Sema tu mim dkt. Nani sijui natokea mbinga ni mtabibu wa kienyeji/ramli napatkana songea natibu maradhi, umasikini na ujinga, umemaliza na watu wanaelewa!!
Sijatangaza Biashara mimi kwani hapo kuna biashara gani niliyo tangaza? mbona unanizulia na jambo ambalo sijalisema? Mimi sio Mtibabu wa kienyeji kwanza sheria za Mtandao hauruhusiwi kujitangaza kuwa wewe ni mtibabu wa kienyeji utaweza kufungwa mimi wala sijakulazimisha uweke Comments zako ninakuona unaingilia mambo ambayo hayakuhusu bora ungelinyamaza kimya ingelikuwa ni bora zaidi kuliko kutaka kujibishana na mimi. Kama huna kitu cha kusema bora unyamaze kimya kuliko kuropoka na maneno yasiyokuwa na faida yoyete ile.
 
Hakuna cha kuoka wala nini hata ukiokoka wachawi watakuroga tu.Kwanza ukioka wachawi wanawapenda wale watu waliokoka ndio watakuroga vizuri ili usipate kuamini kuwa umerogwa
Ukiokoka na ukimtumikia Mungu kiukweli hakuna mchawi wala nani atakayekusumbua dunia hii kwa kutumia nguvu za giza.. uchawi hauna kitu hata kidogo mbele ya mtu mwenye Imani
 
Huku nilipo ninao Wakristo waliokoka kwa jina la Yesu wanayo matatizo kibao wengine wao wananifuata mimi niwasaidie kuwatatulia matatizo yao na wapo walokole wanaonifuata niwasaidie kuwatatulia shida zao itakuwa wewe unaye sema kuwa umeokoka unajidanganya na maneno wanayo yasema wachungaji utaokoka na huku shida zitakufuata kila sehemu na huku ukijigamba kuwa umeokoka utakapo kuwa na mtatizo utanitafuta na huku unasema kuwaambia watu kuwa umeokoka.

Wewe unamtofautishaje mtu aliyeokoka na yule anayesema ameokoka na kumbe bado? Wewe ndiye unajidanganya. Hakuna shetani yeyote kati ya mashetani yako aliye juu ya MUNGU. Hilo sahau. Unajuae kwamba wanaokuja kwako mchawi, huku wakisema wameokoka ni kweli wameokoka? Unapima vipi imani zao kama ziko katika maneno yao?

Mzizi angalia. Hivi ni watu wangapi hat katika ulimwengu wako wa kichawi ama huu wa kawaida ambao wanajiita ni wachawi ama waganga lakini siyo? Wewe, wala shetani, wala wafalme, wala mamlaka wala utawala wowote hauwezi kubatilisha UKUU WA MUNGU KATIKA KRISTO YESU. NAOMBA USAHAU NA HATA SIKU MOJA USIJILINGANISHE NA KRISTO. KAMA VILE MCHAWI AMBAVYO NI LAZIMA AROGE, KRISTO NI MWOKOZI NA LAZIMA AOKOE UTAKE USITAKE.

Wewe cheza kwenye anga zako tu na hao unaowaweza lakini kamwe KIWANGO CHA KRISTO SIYO CHAKO WALA SI CH A HUYO SHETANI UNAYEMSIFIA!.
 
Hakuna cha kuoka wala nini hata ukiokoka wachawi watakuroga tu.Kwanza ukiokoka wachawi wanawapenda wale watu waliokoka ndio watakuroga vizuri ili usipate kuamini kuwa umerogwa
Hahahahah mkuu nimejikuta nacheka kwa sauti
 
Ukiokoka na ukimtumikia Mungu kiukweli hakuna mchawi wala nani atakayekusumbua dunia hii kwa kutumia nguvu za giza.. uchawi hauna kitu hata kidogo mbele ya mtu mwenye Imani
Hakuna Kuokoka na kumtumikia Mungu ndio hutoweza kudhurika na wachawi imani yako ndio inavyokutuma. Kitu hicho cha mambo ya uchawi kwenye Biblia kuna habari zinazo husiana na wachawi na Nabii Musa alipambana na wachawi wa Farao itakuwa wewe na mimi eti tuokoke ndio uchawi hautaweza kutudhuru imani potofu hizo Muombe Mungu akuılinde na nguvu za wachawi ni viumbe wabaya sana katika ulimwengu wetu. Unaweza kuokoka na ukadhurika na nguvu za uchawi kinachotakiwa ni kumuomba Bwana Mungu peke yake ndio mwenye uwezo wa kukulinda wewe na nguvu za uchawi. Sio kiumbe mwengine yoyote yule usiombe ukarogwa utarogeka tu. Muombe Bwana Mungu mmoja peke yake ndio mwenye uwezo wa kukulinda na nguvu ya uchawi sio kiumbe mwengine yoyote hawezi kuzuia nguvu ya uchawi.
 
Wewe unamtofautishaje mtu aliyeokoka na yule anayesema ameokoka na kumbe bado? Wewe ndiye unajidanganya. Hakuna shetani yeyote kati ya mashetani yako aliye juu ya MUNGU. Hilo sahau. Unajuae kwamba wanaokuja kwako mchawi, huku wakisema wameokoka ni kweli wameokoka? Unapima vipi imani zao kama ziko katika maneno yao?

Mzizi angalia. Hivi ni watu wangapi hat katika ulimwengu wako wa kichawi ama huu wa kawaida ambao wanajiita ni wachawi ama waganga lakini siyo? Wewe, wala shetani, wala wafalme, wala mamlaka wala utawala wowote hauwezi kubatilisha UKUU WA MUNGU KATIKA KRISTO YESU. NAOMBA USAHAU NA HATA SIKU MOJA USIJILINGANISHE NA KRISTO. KAMA VILE MCHAWI AMBAVYO NI LAZIMA AROGE, KRISTO NI MWOKOZI NA LAZIMA AOKOE UTAKE USITAKE.

Wewe cheza kwenye anga zako tu na hao unaowaweza lakini kamwe KIWANGO CHA KRISTO SIYO CHAKO WALA SI CH A HUYO SHETANI UNAYEMSIFIA!.

Amen
 
Back
Top Bottom