Ufafanuzi tafadhali: Walinzi wa Rais wanaokuwa na vibegi vinakuwa na nini?

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,242
36,281
Hodi humu, nimetoroka MMU kidogo nipate ufafanuzi...

Jana nilioangalia tukio la uwanja wa ndege ukifunguliwa rasmi na mkuu wa nchi. Mambo mengi yalitukia pale Ila naombeni mnifafanulie kitu kimoja....

Kati ya walinzi wa mkuu kuna wanaume 2 huwa wanakuwa wameshika vibegi vyeusi mkononi kama vya laptop hivii... Na wanakuwa wawili mmoja upande mmoja mwingine kwingine.

Hawa nimewaona mara kadhaa mkuu akiwa kwenye matukio ya kuzindua au hafla flani flani.

He, hivyo vibegi huwa na nini? Kwanini wawe navyo wawili 2. Kama ni kwa ajili ya ulinzi kwa nini wasiende kidijitali kutumia vitu vya kidijitali maana hapo naona kama wapo analogy....

Au ni pesa ikitokea mkuu anataka kumpa mtu cash kwa sapraisi kama milioni hivii....

Mwenye ufahamu anieleweshe tafadhali.

Kasie Mahaba Matata.
 
2020 iko karibu hivyo lazima atembee na bulungutu la kuhonga wakati wowote ule anapojisikia kufanya hivyo.

Naipenda sana hii Kauli isemayo KUNA UNAYOYAJUA NA YALE USIYOYAJUA sijui ni nani aliibuni.
 
Back
Top Bottom