Tujadili kuhusu binadamu na ubinafsi

Tujadili kuhusu binadamu na ubinafsi

souljar

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
855
Reaction score
1,850
Habari wanaJf, nizame straight kwenye mada mtanisamehe kwenye uhandishi mbovu dhumuni content ifike na tujadili.

Tukiwa kama binadamu wote tumeumbwa na choyo na ubinafsi ya kiasi ndani yetu especially mama/dada zetu na mara nyingi hii inakuwa kwa manufaa ya familia na watoto wake.

Sipo kuzungumzia hilo nataka tujadili na tutafakari jinsi binadamu tulivyo wabinafsi kwenye baadhi ya matukio kwenye maisha yetu.

KIFO
Kila binadamu ataonja umauti ili hatuwezi kulikwepa na mara nyingi watu wanakuwa na uchungu na hata wengine kukufuru kwa mwenyezi Mungu, swali linakuja kwanini isiwe sherehe ya kumuaga tu na watu wakacheza, kuimba na vingine vinavyo ashiria sherehe?
Ubinafsi wetu uko pale tunavyo uliza na kuuzunika kwanini mwenzetu katuacha.

Je kwanini tusifurahie ametuacha na ameenda sehemu salama na yenye pumziko la milele. Katoweka kwenye haya matatizo ya magonjwa, vita, mafuriko, ajari na mengine mengi matatizo ya dunia, tukisema ni wabinafsi tunamlilia kwasababu ametuacha sisi kwenye matatizo ya dunia nitakuwa nimekosea?

MAPENZI
Kila binadamu anahaki ya kupenda na kupendwa duniani,tutapigania kwa kile tunayempenda kwa kila namna mpaka upate itaji la moyo(mapenzi).

Tumekuwa tukijiangalia wenyewe kwenye swala la mapenzi kiasi mtu wa pili hatutaki kujua anavojisikia juu yetu, its in human nature na uko sawa kabisa.

Vijana wengi tumejikuta tumepitia maumivu na upanga wa mapenzi kutokana na ubinafsi,

Mfano: Unabinti unampenda sana na yeye anakupenda na unajua hauwezi mtimizia ndoto zake sio kwakupenda ili ametokea familia duni na wewe ndio unapambani kutoka kimaisha, hapo kipimo chako cha kumpenda nikumwambia ukweli au kumuacha apate ataye weza mfanikisha ndoto zake na ikitokea binti akifanya maamuzi ya kuwa na mtu anayemuona ataweza kumfikisha kwenye ndoto zake basi inakuwa maamuvu upande wa pili.

Je nikisema kuwa na mahusiano na binti kwa mfano huo sio kuvunja ndoto zake na kuziba fursa kwake?

CONCLUSION: Tuwe tunaupendo, tuwe na hofu ya Mungu lakini tusiache kufikiria upande wa pili wa karata na tusiacha ubinafsi ututawale.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kifo, watu wanakufa hatujui wanaenda wapi ? Na wanakutana na mambo gani huko waendako, mtu ulikuwa unaongea nae kila siku hafu kesho unaambiwa amekufa , hakuoni wala hakusikii na hujui mtaonana lini, na ni kweli Kuna kuonana Tena, ndo mana watu tunalia kwa uchungu, kwa sababu hatujui nini nikafuata sekunde ijayo na maisha yajayo.

Mapenzi , hapa kwenye mapenzi watu wanaendesha na vichwa vya chini, dudu inatunatuna na k nayo inatunana tuna. Shauku ya kutaka kujua raha yake ndo inasababisha watu waingie katika mapenzi hata kama huyo mtu ana future nae,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuniaminisha ata kama hatujui anapoenda au kuna nini, do you think it will be better or worse than on Earth?

Kuhusu mapenzi ndio mule mule kama hauna future, state your terms and conditions on the table. Huwezi niambia sababu yako ya papuchu ndio umfelishe mwenzako ndoto zake, hauoni ni act of selfishness hiyo!?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom