Katika intelijensia, sayansi haisemi uongo

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Sayansi haisemi uongo, Ila uongo unaweza kujitengenezea sayansi yake.
Uchunguzi wa kimahakama wa matukio ya uhalifu ni uchunguzi wa kisaynsi unaolenga kukusanya ushahidi usio na shaka na kisha kuwapata wahalifu. Taaluma hii ni ngumu, tofauti na inavyoonekana kwenye filamu na riwaya.

Kanuni moja mujimu ni kwamba, kila muhalifu anaacha alama; hii ni kanuni maarufu kutoka kwenye maandiko ya mtaalamu wa sayansi hii, Dr. Edmond Locard.
Kila muhalifu anaacha alama anapofanya uhalifu wake, alama ambayo itatumika kumkamata.

Anakamatwaje? Uwezo wa timu ya uchunguzi, fedha, muda, ari ya kufanya kazi, ushirikiano baina ya wanataaluma mbalimbali na zana za kufanyia kazi ya uchunguzi - ni mamno yanayoathiri mchakato wa uchunguzi wa kimahakama. Ikiwa mambo hayo yatafanywa kuwa bora, basi wahalifu halisi watakamatwa.

Ikiwa muhalifu naye anajua mbinu za uchunguzi, basi anaweza kupoteza ushahidi na kuwachanganya wachunguzi - lakini alama za uhalifu kamwe hazifutiki.

Mtu mmoja alimuua mwanamke mmoja na kumtupa porini. Muuaji alivaa kificha uso, na glavu, kisha baada ya mauaji aliketeza kila kitu alichovaa kwa moto. Lakini hakujua, wakati dada huyo alipokuwa akipambania maisha yake, alifanikiwa kumfinya yule muuaji usoni. Vipande vidogo vya seli ya ngozi vilivyokutwa kwenye kucha za marehemu vilipimwa DNA, na muuaji alipatikana.

Unaweza kukimbia, lakini huwezi kujificha dhidi ya sayansi; panapo muda wa kutosha, uwezo wa kitaalum, zana za kisasa, ari, siha, utashi na moyo wa kufanya kazi...muhalifu atapatikana.
 
g

gd
 
msomaji nimesoma hii na mimi sijakubali asilimia mia juu ya makala nyingi nilizokwisha kuzisoma zinazo husu mambo mengi ikiwemo na hayo ya uharifu wa kuua
 
Mhalifu anapokuwa anafanya uhalifu anakuwa na woga, hapo ni lazima aache alama! Kama kuna mtu ana ushahidi wa matukio ya uhalifu yaliyofanywa bila wahalifu kukamatwa alete ushahidi wake
 
walimtundulisu tundulisu wacko wapi na ni akina nani?
 
Hakuna mkuu fanya ujanja wote ila alama lazima utaacha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio likifanyika kwa umakini mpana nakuambia huachi kitu si lazima kufanya uharifu uende wewe..
Mfano niandae kemikali sumu niitume kwako Kama zawadi nahakikisha sitii fingerprint zangu kemikalii siinunui natengeneza uhusika naweka sio wangu ili kukuchanganya naweka mtu wako wa karibu au mtu usie mfahamu Kama ndie mtumaji no any trace mzigo unashikwa kwa njia ya kutoweka fingerprint zangu na ili nichanganye zaidi naandika vitu vyenye maana ila havieleweki hata kidigo muandiko wa kuprinti sio wa mtu!!
Nahakikisha nawaza vyema process zote mpk hatima nini nitafanya hadi mzigo kukufikia na ili kuchanganya zaidi nahakikisha mzigo unashikwa na fingerprint nyingi ila sio ya kwangu hata punje😂
Nakuambia hivi watadaba wengine ila sio mimi wataloa ndevu mpk waseme hili tunamuachia shetani😂
Usifikiri haiwezekani ndugu.. mfano ni haohao wataalum wanafahamu mbinu walizonazo na wanatambua udhaifu wa hizo mbinu ndugu.
 
Nilikuwa nakutega wewe ni muhalifu
Tukio likifanyika kwa umakini mpana nakuambia huachi kitu si lazima kufanya uharifu uende wewe..
Mfano niandae kemikali sumu niitume kwako Kama zawadi nahakikisha sitii fingerprint zangu kemikalii siinunui natengeneza uhusika naweka sio wangu ili kukuchanganya naweka mtu wako wa karibu au mtu usie mfahamu Kama ndie mtumaji no any trace mzigo unashikwa kwa njia ya kutoweka fingerprint zangu na ili nichanganye zaidi naandika vitu vyenye maana ila havieleweki hata kidigo muandiko wa kuprinti sio wa mtu!!
Nahakikisha nawaza vyema process zote mpk hatima nini nitafanya hadi mzigo kukufikia na ili kuchanganya zaidi nahakikisha mzigo unashikwa na fingerprint nyingi ila sio ya kwangu hata punje
Nakuambia hivi watadaba wengine ila sio mimi wataloa ndevu mpk waseme hili tunamuachia shetani
Usifikiri haiwezekani ndugu.. mfano ni haohao wataalum wanafahamu mbinu walizonazo na wanatambua udhaifu wa hizo mbinu ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nakutega wewe ni muhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha! Uhalifu wa kuiba vijitu enzi za utotoni Kama saa au kopo tu😂😂
Sahivi umebakia wa mademu weka manzi yako nimuibe namaneno utafikiri mi ndo niliyatunga! Niweza muaminisha dunia ni yangu na akaamini ila kwa Siri kubwa😂😂
 
Tukio likifanyika kwa umakini mpana nakuambia huachi kitu si lazima kufanya uharifu uende wewe..
Mfano niandae kemikali sumu niitume kwako Kama zawadi nahakikisha sitii fingerprint zangu kemikalii siinunui natengeneza uhusika naweka sio wangu ili kukuchanganya naweka mtu wako wa karibu au mtu usie mfahamu Kama ndie mtumaji no any trace mzigo unashikwa kwa njia ya kutoweka fingerprint zangu na ili nichanganye zaidi naandika vitu vyenye maana ila havieleweki hata kidigo muandiko wa kuprinti sio wa mtu!!
Nahakikisha nawaza vyema process zote mpk hatima nini nitafanya hadi mzigo kukufikia na ili kuchanganya zaidi nahakikisha mzigo unashikwa na fingerprint nyingi ila sio ya kwangu hata punje
Nakuambia hivi watadaba wengine ila sio mimi wataloa ndevu mpk waseme hili tunamuachia shetani
Usifikiri haiwezekani ndugu.. mfano ni haohao wataalum wanafahamu mbinu walizonazo na wanatambua udhaifu wa hizo mbinu ndugu.
Aisee.....!! Mkuu na mashine ya ku-print utatengeneza mwenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.....!! Mkuu na mashine ya ku-print utatengeneza mwenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba wewe hivi ntashindwa kwenda sehemu ya kuprinti hapo nitapata na fingerprint za mwenye kuprinti halafu nahakikisha hakuna kamera na sio sehemu napotambulika ni kazi ndogo ila yenye umakini mkubwa isiyochukua dk kumi ataishika karatasi hakikisha huishiki wewe yeye ndo ataiweka kwenye bahasha wewe utashika bahasha ambayo tena utakuja ibadilisha!! Usije ukasema mi muhalifu😂😂
 
Back
Top Bottom