The science of immortality: Sayansi ya kurefusha maisha

Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
1,262
2,191
Immortality haina maana ya kwamba kutokufa kabisa, bali kuishi miaka mingi/kurefusha muda wa kuishi. Kiumbe anaye ishi maelfu au mamia ya miaka kwenye ulimwengu, basi huyo kiumbe anakuwa ame experience "immortality life".

Zane Bartlett anasema tunaweza kuielewa dhana nzima ya immortality kwa kutumia "Hayflick Limit"which states that "the normal human cell can only replicate and divided forty to sixty times before it can not divide anymore, and will break down by programmed cell death or apoptosis".

Vile vile ukisoma katika vitabu , watu wa kale wa Misri, India ,Mashariki ya Kati na Greece wanaamini kwamba kama ilivyokuwa kwa "mere mortals" hata miungu pia iliishi milele. Tukirejea katika vitabu vya dini, utaona watu kama Adam aliishi miaka 930, Methuselah allishi miaka 969 na inasemekana ndiye mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wengine, vile vile king Gilgamesh mtawala wa mji wa Babylon aliweza kuishi mamia ya miaka, kwahiyo unaweza kuona hapo jinsi watu hao wa kale walivyoweza kuishi miaka mingi bila kufa. Lakini hapa linakuja swali ambalo tunaweza kujiuliza waliwezaje?, Kwa nini sasa hivi haiwezekani?, Japo katika Karne ya sasa tunaambiwa tule vizuri, tufanye mazoezi n.k, ili kuimarisha afya zetu, kama njia sahihi ya kutufanya tuisha kwa muda mrefu, njia ambayo haijafanikiwa naweza sema hivyo.

Kutokana na maswali hayo tunayojiuliza, hapa ndipo wana sayansi, madaktari, watafiti na geneticists wanapo pata mawazo na kuja na tafiti mbali mbali za kusaidia kuongeza kurefusha muda wa kuishi kwa binadamu to "radical degree" na vile vile kutaka kukifanya kifo kiwe ni kitu cha zama. Hizi zifuatazo ni baadhi ya points walizokuja nazo kuhusi sayansi ya "immortality"

-FROM MAN TO MACHINE
Katika kitabu chake cha "communion" mwana sayansi Whitley Strieber anasema "Grey's may have the ability to exist in a non physical, Ethereal, soul based state of immortality". Lakini vile vile anaendelea kusema kwamba biological robots wanaweza kupandikizwa au kutolewa tena nafsi, kwa pointi hii tunaweza kusema "science of immortality" imepiga hatua kubwa kwa sababu tunaona biological robots zinatengenezwa kwa sasa japo hazijafikia huwezo wa binadamu, lakini still zinaishi though ni "sophisticated bodies", hapa ndipo tunaona mifano ya robot kama "Sophia", kwahiyo hiyo yote inaonyesha mabadiliko ya kutoka mtu kwenda kwenye maisha ya "machine".

-NOT QUITE HUMAN ANYMORE
Hapa tunazungumuzia dhana nzima ya kumbadilisha binadamu kutoka hali moja kwenda nyingine. Kwenye hii concept tunakutana na kitu kinaitwa "transhumanism". Mwana sayansi Zoltan Istivan anafafanua "transhumanism" kwamba ni "beyond human", lakini vile vile anaendelea kusema "we are talking about us, as a species, becoming something amazing a new type human,post human, potentially, immortal and merging of man and highly advanced technology in ways that, currently, boggle the mind". Katika hii point ya transhumanism, wamejikita extensionists, techno-optimists, singularitarians, biohackers, roboticists na artificial intelligence proponents ambao wana endesha sayansi na teknolojia ya "radical" ili kuweza kuendeleza hali ya maisha ya binadamu.

-WE HAVE TO WORK OUT HOW THIS BACTERIA PREVENTS AGING
Ni kauli aliyoitoa mwana sayansi Anatoli Brouchkov wa Russia mwaka 2013 baada ya ku inject strain ya bacteria haina ya "Bacillus F" ambaye alipatikana kwenye mlima wa Mamontova Gora , na alikuwa na umri wa miaka million tatu na nusu na kugundua kwamba strains za huyo bacteria zina uwezo wa ku extend life, vile vile aliweza kuzitumia kwa mice na rat, flora na human blood cells na kugundua kwamba "fertility" na "life span" ziliongezeka kwa kuwawekea kiasi kidogo cha strains za hao bacteria. Vile vile mwana sayansi huyo anasema kwamba watu waliokuwa exposed na hilo eneo "life spin" yao iliongezeka pia.

-DOING THE BEST TO TRY AND LIVE LONGER
Kwamba lazima tujaribu kutafuta namna ya kuishi muda mrefu, mwana sayansi Mario's Kyriazis ana amini kwamba kwa sasa ni ngumu sana kulitekeleza hilo, lakini anasisitiza kwamba iwapo "nanotechnology" itachukua nafasi kamili katika ulimwengu basi hata "immortality science" itakuwa imekamilika, anasema "right now, we are sorely limited to the far more conventional ways of trying to ensure we achieve long lives, such as eating healthily, engaging in excersice, not smoking cigarettes and taking supplement's. Research in the field of nanotechnology and stem cells may certainly have a bearing on how long, exactly, we might live for".

-IN ADDITION TO RADICAL LIFE EXTENSION, WE ARE GOING TO HAVE RADICAL LIFE EXPANSION
Tunaweza kuona jinsi gani computers kwa sasa zinaweza kuwa na uwezo wa kutafsri na kuchanganua mambo pasipo kusahau kufanya kazi kama Binadamu kwa asilimia fulani, kwahiyo kama uwezekano wa kufanya computer iwe kama binadamu upo basi tunaweza kusema kwamba kwa siku zijazo, mwanadamu anaweza kufanywa "immortal" at all. Mwana sayansi Ray Kurzwell anasema "that Will be a moment when we become immortal. Our minds will be uploaded into computers. We may even be able to live in both physical and a digital state, jumping from one to the other as we see fit" .

-UNVEILING THE YOUTH PILL
Huu ni utafiti uliofanywa na mwanasayansi Nancy Loyan Schuemann mwaka 2016 kwenye article yenye jina "A Fountain of Youth Pill May Be Available Soon" akiandika hivi "scientists had discovered that a combination of 30 supplements, including vitamin B,C and D, follic acid, cod liver oil, green tea extract, and more have reversed the effects of aging and prevent the loss of brain cells", kwahiyo tukiweza kutumia huo utafiti, mtu atakuwa akizeeka anarudi tena kwenye ujana, je itawezekana lini tusubiri tuone.

-ARV AND HIV/AID'S
Hebu fikiria miaka Ile kabla hivi vidonge havijagundulika, ilikuwa mtu akipata ukimwi tu siku zake za kuishi zilikuwa zinahesabika, lakini kwa sasa, watu wanatumia hivyo vidongo na wanaendelea kuishi miaka na miaka, na "objective" ya kuleta vidongo hivyo ni "kurefusha" maisha, kwahiyo kwa kuliangalia hilo, naona kabisa one day "immortality" itawezekana kwa mwanadamu.
 
Ahsante sana mkuu.
Ila kwa nilivyoelewa hapo ni mambo ambayo yanaweza kuchukua mda mrefu ikiwemo na kufanya tafiti nyingi zaidi. Ni mambo mazito ila yanawezekana
 
Yeah itachukua muda mrefu Sana, lakini itakuja kuwezekana, japo haliwezi kuwa Jambo la kuja siku za karibuni.
 
Ikiwezekana (Man made body immortality) atatokea chizi mmoja na kuilipua dunia yote kwa nuclear. Trust me.
Mkuu umenifanya nicheke sana. Ipo siku itawezekana lakini, kwa sababu hata "cloning" inayofanyika iwe ni gene au reproductive cloning , moja wapo ya intention yake ni immortality.
 
Lugha uliyotumia inaufanya uzi ueleweke kwa ugumu wa kutumia sayansi.

Ila kitu wanachokifanya wanasayansi siyo kigeni ni vile kuna jambo ambalo wanashindwa kulifanikisha kutokana na uhai wa binadamu.

Wanashindwa kujua uhai ukimtoka unaelekea wapi kutokana na chanzo cha uhai ili mwanadamu aweze kuishi muda mrefu zaidi.
 
Death makes life possible
 
Immortality haina maana ya kwamba kutokufa kabisa, bali kuishi miaka mingi/kurefusha muda wa kuishi. Kiumbe anaye ishi maelfu au mamia ya miaka kwenye ulimwengu, basi huyo kiumbe anakuwa ame experience "immortality life".

Zane Bartlett anasema tunaweza kuielewa dhana nzima ya immortality kwa kutumia "Hayflick Limit"which states that "the normal human cell can only replicate and divided forty to sixty times before it can not divide anymore, and will break down by programmed cell death or apoptosis".

Vile vile ukisoma katika vitabu , watu wa kale wa Misri, India ,Mashariki ya Kati na Greece wanaamini kwamba kama ilivyokuwa kwa "mere mortals" hata miungu pia iliishi milele. Tukirejea katika vitabu vya dini, utaona watu kama Adam aliishi miaka 930, Methuselah allishi miaka 969 na inasemekana ndiye mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wengine, vile vile king Gilgamesh mtawala wa mji wa Babylon aliweza kuishi mamia ya miaka, kwahiyo unaweza kuona hapo jinsi watu hao wa kale walivyoweza kuishi miaka mingi bila kufa. Lakini hapa linakuja swali ambalo tunaweza kujiuliza waliwezaje?, Kwa nini sasa hivi haiwezekani?, Japo katika Karne ya sasa tunaambiwa tule vizuri, tufanye mazoezi n.k, ili kuimarisha afya zetu, kama njia sahihi ya kutufanya tuisha kwa muda mrefu, njia ambayo haijafanikiwa naweza sema hivyo.

Kutokana na maswali hayo tunayojiuliza, hapa ndipo wana sayansi, madaktari, watafiti na geneticists wanapo pata mawazo na kuja na tafiti mbali mbali za kusaidia kuongeza kurefusha muda wa kuishi kwa binadamu to "radical degree" na vile vile kutaka kukifanya kifo kiwe ni kitu cha zama. Hizi zifuatazo ni baadhi ya points walizokuja nazo kuhusi sayansi ya "immortality"

-FROM MAN TO MACHINE
Katika kitabu chake cha "communion" mwana sayansi Whitley Strieber anasema "Grey's may have the ability to exist in a non physical, Ethereal, soul based state of immortality". Lakini vile vile anaendelea kusema kwamba biological robots wanaweza kupandikizwa au kutolewa tena nafsi, kwa pointi hii tunaweza kusema "science of immortality" imepiga hatua kubwa kwa sababu tunaona biological robots zinatengenezwa kwa sasa japo hazijafikia huwezo wa binadamu, lakini still zinaishi though ni "sophisticated bodies", hapa ndipo tunaona mifano ya robot kama "Sophia", kwahiyo hiyo yote inaonyesha mabadiliko ya kutoka mtu kwenda kwenye maisha ya "machine".

-NOT QUITE HUMAN ANYMORE
Hapa tunazungumuzia dhana nzima ya kumbadilisha binadamu kutoka hali moja kwenda nyingine. Kwenye hii concept tunakutana na kitu kinaitwa "transhumanism". Mwana sayansi Zoltan Istivan anafafanua "transhumanism" kwamba ni "beyond human", lakini vile vile anaendelea kusema "we are talking about us, as a species, becoming something amazing a new type human,post human, potentially, immortal and merging of man and highly advanced technology in ways that, currently, boggle the mind". Katika hii point ya transhumanism, wamejikita extensionists, techno-optimists, singularitarians, biohackers, roboticists na artificial intelligence proponents ambao wana endesha sayansi na teknolojia ya "radical" ili kuweza kuendeleza hali ya maisha ya binadamu.

-WE HAVE TO WORK OUT HOW THIS BACTERIA PREVENTS AGING
Ni kauli aliyoitoa mwana sayansi Anatoli Brouchkov wa Russia mwaka 2013 baada ya ku inject strain ya bacteria haina ya "Bacillus F" ambaye alipatikana kwenye mlima wa Mamontova Gora , na alikuwa na umri wa miaka million tatu na nusu na kugundua kwamba strains za huyo bacteria zina uwezo wa ku extend life, vile vile aliweza kuzitumia kwa mice na rat, flora na human blood cells na kugundua kwamba "fertility" na "life span" ziliongezeka kwa kuwawekea kiasi kidogo cha strains za hao bacteria. Vile vile mwana sayansi huyo anasema kwamba watu waliokuwa exposed na hilo eneo "life spin" yao iliongezeka pia.

-DOING THE BEST TO TRY AND LIVE LONGER
Kwamba lazima tujaribu kutafuta namna ya kuishi muda mrefu, mwana sayansi Mario's Kyriazis ana amini kwamba kwa sasa ni ngumu sana kulitekeleza hilo, lakini anasisitiza kwamba iwapo "nanotechnology" itachukua nafasi kamili katika ulimwengu basi hata "immortality science" itakuwa imekamilika, anasema "right now, we are sorely limited to the far more conventional ways of trying to ensure we achieve long lives, such as eating healthily, engaging in excersice, not smoking cigarettes and taking supplement's. Research in the field of nanotechnology and stem cells may certainly have a bearing on how long, exactly, we might live for".

-IN ADDITION TO RADICAL LIFE EXTENSION, WE ARE GOING TO HAVE RADICAL LIFE EXPANSION
Tunaweza kuona jinsi gani computers kwa sasa zinaweza kuwa na uwezo wa kutafsri na kuchanganua mambo pasipo kusahau kufanya kazi kama Binadamu kwa asilimia fulani, kwahiyo kama uwezekano wa kufanya computer iwe kama binadamu upo basi tunaweza kusema kwamba kwa siku zijazo, mwanadamu anaweza kufanywa "immortal" at all. Mwana sayansi Ray Kurzwell anasema "that Will be a moment when we become immortal. Our minds will be uploaded into computers. We may even be able to live in both physical and a digital state, jumping from one to the other as we see fit" .

-UNVEILING THE YOUTH PILL
Huu ni utafiti uliofanywa na mwanasayansi Nancy Loyan Schuemann mwaka 2016 kwenye article yenye jina "A Fountain of Youth Pill May Be Available Soon" akiandika hivi "scientists had discovered that a combination of 30 supplements, including vitamin B,C and D, follic acid, cod liver oil, green tea extract, and more have reversed the effects of aging and prevent the loss of brain cells", kwahiyo tukiweza kutumia huo utafiti, mtu atakuwa akizeeka anarudi tena kwenye ujana, je itawezekana lini tusubiri tuone.

-ARV AND HIV/AID'S
Hebu fikiria miaka Ile kabla hivi vidonge havijagundulika, ilikuwa mtu akipata ukimwi tu siku zake za kuishi zilikuwa zinahesabika, lakini kwa sasa, watu wanatumia hivyo vidongo na wanaendelea kuishi miaka na miaka, na "objective" ya kuleta vidongo hivyo ni "kurefusha" maisha, kwahiyo kwa kuliangalia hilo, naona kabisa one day "immortality" itawezekana kwa mwanadamu.
Kwanza kabisa, immortal maana yake ni kutokufa.

Mortal = kitu kinachoweza kufa.

Immortal= kisichokufa. Ile Im inakanusha.

Ninsawa na

Possible = kinachowezekana.

Impossible = kisichowezekana.

Sasa, kusema immortal maana yake si kutokufa kabisa ni sawa na kusema impossible maana yake si kutowezekana kabisa.

Tafuta neno jingine, matumizi yako ya neno immortal yameharibu maana halisi ya neno.
 
"Body immortality" unaiongeleaje iyo nadharia
 
It's abracadabra and pseudoscuence bullshit.

Talk to me about extending the human lifespan to hundreds of years, or even a thousand years, I will listen to you. The science to achieve this is not very far fetched, at least on a small scale using a lot if synthetic bioligy and genetic modification, especially using CRISPR.

Professor Yuval Noah Harari tqlks about this in "Sapiens: A Brief History of Humankind" and "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow"

Talk about immortality, I will hear quackery and alchemy.

For starters, it is against the fundamental laws of physics and biology.
 
Mkuu umenifanya nicheke sana. Ipo siku itawezekana lakini, kwa sababu hata "cloning" inayofanyika iwe ni gene au reproductive cloning , moja wapo ya intention yake ni immortality.
Na wanasema zipo aina tatu za cloning. Ile ya androids( Robotic machines) ambayo imeruhusiwa, na kuna ile ya GMO (Genetics Modified) na ingine ya tatu. Hizi mbili zinapingwa vita vikali, coz hazina uhalisia na zinahatarisha maisha ya watu, ingawa marekani na nchi zilizoendelea wanazichezea mno...na zinasadikiwa kuwahusisha aliens na viumbe wa ajabu (reptiles, etc)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa, immortal maana yake ni kutokufa.

Mortal = kitu kinachoweza kufa.

Immortal= kisichokufa. Ile Im inakanusha.

Ninsawa na

Possible = kinachowezekana.

Impossible = kisichowezekana.

Sasa, kusema immortal maana yake si kutokufa kabisa ni sawa na kusema impossible maana yake si kutowezekana kabisa.

Tafuta neno jingine, matumizi yako ya neno immortal yameharibu maana halisi ya neno.
Hilo ni neno sahihi. Acha kupindisha maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom