Bora kufa

Bora kufa

The Genius

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
828
Reaction score
2,109
Mnamo mwaka 1803 katika kisiwa cha Mtakatifu Simon (St. Simon Island) Kundi wa watu wa kabila la Igbo kutoka Nigeria waligoma na kuanzisha vurugu ndani ya jahazi ambalo walikuwa wakisafirishwa kama watumwa.

Licha ya kuwa walifungwa nyororo lakini waliazisha virugu, wakaweza kudhibiti jahazi lile na kutia nanga kwenye kisiwa cha St. Simon. Waliweza pia kuua baadhi ya wale
Mabeberu.

Watu wale wa kabila la Igbo, kuliko kupelekwa utumwani, waliamua kutembea kwa mstari huku waliwa na minyororo kuelekea baharini, walitembea na kuzama taratibu hadi kupotea kabisa na kufariki. Wakati wanatembea, waliimba nyimbo za kabila la Igbo.

Ni kisa maarufu sana na kwangu mimi ni cha kishujaa kabisa kwani ni bora kufa kuliko kufanywa mtumwa.
FB_IMG_1618832211884.jpg
 
Mnamo mwaka 1803 katika kisiwa cha Mtakatifu Simon (St. Simon Island) Kundi wa watu wa kabila la Igbo kutoka Nigeria waligoma na kuanzisha vurugu ndani ya jahazi ambalo walikuwa wakisafirishwa kama watumwa.

Licha ya kuwa walifungwa nyororo lakini waliazisha virugu, wakaweza kudhibiti jahazi lile na kutia nanga kwenye kisiwa cha St. Simon. Waliweza pia kuua baadhi ya wale
Mabeberu.

Watu wale wa kabila la Igbo, kuliko kupelekwa utumwani, waliamua kutembea kwa mstari huku waliwa na minyororo kuelekea baharini, walitembea na kuzama taratibu hadi kupotea kabisa na kufariki. Wakati wanatembea, waliimba nyimbo za kabila la Igbo.

Ni kisa maarufu sana na kwangu mimi ni cha kishujaa kabisa kwani ni bora kufa kuliko kufanywa mtumwa.View attachment 1756473
Zamani ni utumwa lakini nowdays ni survival for the fittest. Ni kama mlango (door) na ufunguo(key). If you don't shape you mind to face a certain challenge in your life. You will never unlock that challenge. So it means you will fail to overcome it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom