Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu

Kashi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
897
Reaction score
748
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo wanijuze kuhusiana na hili, hivi hili sanduku la agano lilikuwa na nini ndani yake na madhumuni yake yalikuwa nini? Kwa nini Makuhani ndio waliolibeba na wengine walitakiwa kikaa mbali? Kwa sasa sanduku hili bado lipo? Na kama lipo, lipo lipo mahala gani? . Karibuni kwa mjadala wadau, kwa uchache agano la kale limeongelea habari hii katika kitabu cha Yoshua na vitabu vingi vinginevyo.
 
Salute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.

Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”

Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia
 
Hii mada itakuwa nzuri sana na yenye faida kwangu pia.
 
Mkuu, maelezo yako yanatoa jibu ktk swali nililo uliza??

Nimependa kufahamu maana ya kupwa maji ni kupasuka bahari ktk pande mbili?

Sijahitaji kufahamu namna Bible ilivyo andikwa.
Kuna kitu watu hua hawaelewi ni jinsi ilivyokua katika kuandika vitabu ambavyo Leo vinajumuisha kitabu kimoja cha Biblia. Soma jinsi kitabu kimoja kimoja kilivyoandikwa na dhima ya yaliyomo utagundua Vinci ambavyo hufamu kuhusu biblia
 
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
 
Genius!!!!!
 
Hebu tupe history za waafrica zinazohusu creation tuone km zitafiti km za waisrael
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza

Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule

Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’

Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
 
Salute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.

Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”

Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia
Thanks nimeongeza kitu katika reserve store ya bulangata yangu.....kwa jinsi ilivyo ni wazi kabisa sanduku husika lilitoweshwa...swali je lilitoweshwa na nani
 
Mengi yanaongelewa kuhusu hili...
Hii ya kuwa lipo Ethiopia niliwahi sikia sana..kwa vile wanasema hapo ndipo zilipoanzia dini...huko uyahudini ni janja ya "muzungu" tu.. kutuweka chini watu weusi!
 
Sanduku la Agano ndani yake kulikuwa na Amri 10 za YHWH na maagizo yake kwa waisrael as mkataba (Torati) lakini kuhusu uwepo wake ni stories tata ila lilipotea baada ya uhamisho wa babeli na baada ya hapo halikuonekana but inasemekana Yeremia alilichukua na kulificha Mlima Sinai wengine wanasema lilichimbiwa katika mlima wa kalvar alipoteswa na kusulubiwa yesu wengine wanasema lilichimbiwa Katika hekalu la Yerusalem na kunastori kuwa mfalme herode agripa alilitafta sana na aliharibu ushahidi mwingi juu ya kristo Yesu
 
Salute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.

Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”

Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia

gud
 
Thanks nimeongeza kitu katika reserve store ya bulangata yangu.....kwa jinsi ilivyo ni wazi kabisa sanduku husika lilitoweshwa...swali je lilitoweshwa na nani
Halijulikani lilipo wala aliyelitowesha kama nilivyoelezea hapo juu
 
Salute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.

Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”

Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia
Hilo sanduku kumbe ni la kichawi, vitu vyote hivo
 
Back
Top Bottom