Habarini wana jamvi
kama heading inavyosema, katika jukwaa hili tumekuwa tukisisitizana kuhusu usomaji wa vitabu, basi naomba tushirikiane pia katika hili ili kuongeza knowledge
Are there any...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Hii ni documentary inayoonyesha jinsi kituo cha anga cha kimataifa (ISS) kinavyofanya kazi, jinsi wanaanga wanavyoishi kuanzia kula, kujisaidia na mengineyo.
Maswali yanaendelea....
Mungu ndiye chanzo cha yote[kwa wale wanaoamini] je ndio chanzo cha mbegu ya uasi wa shetani?
Kwanini laana ya Mungu iendelee kutafuna vizazi hata vizazi kwa kosa...
Habarini wana jamvi!
Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini...
By Andrew M. Mwenda
Let me do what politicians always do – claim they run for office due to popular demand. Many people have been asking me to comment on the heightened tensions between Uganda...
Sote waislamu na wakristu tunaamini katika maisha baada ya kifo.Pia kwa sisi wakristu tunaambiwa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,which means hakutakuwa na kuzaana.
Sasa najaribu kujiuliza,huko...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Kuhusu vita ya US na nchi za Magharibi dhidi ya Waislam wa Afghanistan, Ukweli ni huu. Siri ambayo haiwekwi wazi leo naiweka wazi.
Haikuwa vita ya ugaidi au ya kuwa US wanawapenda Sana wa...
wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa.
9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la...
habari great thinkers.
Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya...
Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama...
The Marijuana Conspiracy
The Real Reason why Hemp is Illegal
by Doug Yurchey
And I will raise up for them a plant of renown, and they shall be no more consumed with hunger in the land...
Habari za wakati huu wana Jamii Forums. Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, japo linaweza kuonekana kama halina mantiki kwa baadhi yenu ila ningependa kulileta kwenu. Hii dhana ya Mwaafrika...
Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama.
Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha...
Karibuni katika mfululizo wa Makala kuhusu UJASUSI WA KIDINI. SEHEMU YA KWANZA.
WAJESUITI ( Jumuia au jamii ya YESU)
Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini...
Nadhani ni wengi tumewahi kuisikia au hata kuiona picha maarufu duniani hasa kwa waumini wa dini ya kikristo ya THE LAST SUPPER iliochorwa na mtu anaedhaniwa kuwa miongoni mwa watu wenye akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.